Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

Hayo ya Kumsindikiza mtu ni ushamba na kupoteza muda...., Inabidi wananchi tuwe na akili na busara tusikilize ni nini kinaongelea na sio kuacha shughuli eti unamsindikiza mtu..., Hayo ni zama za Kale....
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA,Tundu Antipas Lissu ameondoka nchini kuelekea Ubelgiji kucheck afya yake na kuhuisha VISA yake inayokaribia kwisha muda wake

Tundu Lissu atarejea nchini baada ya Wiki mbili

Source Jambo TVz
Tulisema huyu Lissu amesharamba Asali tokea alipokutana na mama kule belgium na sasa hataweza tena kuishi Tz., kinachoendelea saiv ni zugazuga tu kwa wafuasi wa Chadema., Mbowe ilibidi afikie Ikulu break ya kwanza alipotoka jela

Watanzania bado tutabaki tunahitaji viongozi madhubuti wa Upinzani kuiondoa ccm madarakani., walikuwa wanamsema maalim seif sana kwamba alikuwa anatumika kumbe ilikuwa ni suala la muda tu
 
Chadema hamna Akili kabsaa....huyu mtu kaja kwa ajili ya kuweka Nguvu kwenye kupambania katiba ipatikane akiwa na mwazo ya kushilikiana na Wachadema wenzie.
Kakuta Mbowe kashalamba Asali,Myika keshalambishwa Asali,Kina Mdee wamehamia Ccm chama hakina nguvu tena Mbowe kwenye ufunguzi wa Mikutano ya vyama kapanda stagen kalewa kajishaua akijua labda bado ni DJ.
Lissu bora harudi hana msahada wwte
Najifunze kuandika Kiswahili kwanza toka kwa mumeo ndio ujenge hoja.
Msahada ndio kitu gani anti?
 
Hayo ya Kumsindikiza mtu ni ushamba na kupoteza muda...., Inabidi wananchi tuwe na akili na busara tusikilize ni nini kinaongelea na sio kuacha shughuli eti unamsindikiza mtu..., Hayo ni zama za Kale....
Alafu mbaya zaidi unamsindikiza mwanaume mwenzio.
 
Kwani toka aje si hata mwezi hajafikisha?
Nilijuwa tu Tundu Lissu atadai ametishiwa ili arudi belgium au atadai madaktari wake wamemwita, Watanzania wafaa waelewe Tundu Lissu sasa ni raia belgium na tayari ana benefits nyinyi analipwa kama walivyo raia wa kule apa kujidai anarud siju mikutano ni kuzugazuga tu
 
Chadema imekwisha na imeanguka kama ilivyoanguka CUF iliyokuwa ya maalim seif nadhan Tz wale wa upinzani ambao lengo na nia yao ni kuindosha ccm madarakan yafaa kubadili mrengo wa chama kikuu cha upinzani, chadema hakuna tena kitu kwisha habari yao
 
Hayo ya Kumsindikiza mtu ni ushamba na kupoteza muda...., Inabidi wananchi tuwe na akili na busara tusikilize ni nini kinaongelea na sio kuacha shughuli eti unamsindikiza mtu..., Hayo ni zama za Kale....
Acha kuwa sungura kwani kumsindikiza kuna tofauti na kumpokea??? [emoji23][emoji23][emoji23] Eti ushamba na kupoteza muda kwahiyo mlipompokea mlikuwa washamba na mlipoteza muda??? Kweli nyie wazee Wa kubadili gia angani AKA Nyumbuzzzzz[emoji16][emoji16]
 
Kwanza Toka amerudi Cha maana kipi kafanya? Naona Chadema haijapata impacts yeyete chanya ya Kisiasa.
 
Back
Top Bottom