Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu amegombana na mboweSerikali ilikuwa inafeli Sana kuwabania chadema, ilitakiwa since day one wawaache tu
Hawana nguvu tena, hawana ishu,
Karudi sababu amekosa hoja za kuongea. Lipumba alisema mtu hachaguliwi uraisi sababu eti alipigwa risasiKwani wakati anarejea bongo alikuambia hata rudi tena Ubelgiji?!
Na kama kwelu amerudi anakuwa amevunja sheria gani??
Na akirejea tena bongo usisahau kutujuza!.
Mzee wa faragha ameona wabongo hawaelewekiTeh teh mkuu ndiyo mwanao lakini
Anaondoka
Ova
Alijua akipambana na Magufuli ataweza.mwisho kaweka mpira kwapaniAlionywa toka mwanzo asije kwa gia ya kumponda magufuli. Matokeo yake kajichimbia kaburi. Asahau tu habari ya siasa.
Alafu ww kuna kipindi ulipotea sana. Itakuwa ulipewa ukuu wa wilaya!!??Wewe zipo inatosha kabisa. Mimi hata sijui faida kuwa nazo, wewe unajuwa?
Kuunga mkono ushoga ndiyo kuwa na akili?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lissu bila jina Magufuli hana pointi nyingine. Sasa kakuta mwenyekiti kijiko kimejaa asali hana cha kupinga maana kila kona Rais anawafunika na wanachama wengi wa chadema wamegeuka cha wa mama.
Tulisema huyu Lissu amesharamba Asali tokea alipokutana na mama kule belgium na sasa hataweza tena kuishi Tz., kinachoendelea saiv ni zugazuga tu kwa wafuasi wa Chadema., Mbowe ilibidi afikie Ikulu break ya kwanza alipotoka jelaMakamu mwenyekiti wa CHADEMA,Tundu Antipas Lissu ameondoka nchini kuelekea Ubelgiji kucheck afya yake na kuhuisha VISA yake inayokaribia kwisha muda wake
Tundu Lissu atarejea nchini baada ya Wiki mbili
Source Jambo TVz
Najifunze kuandika Kiswahili kwanza toka kwa mumeo ndio ujenge hoja.Chadema hamna Akili kabsaa....huyu mtu kaja kwa ajili ya kuweka Nguvu kwenye kupambania katiba ipatikane akiwa na mwazo ya kushilikiana na Wachadema wenzie.
Kakuta Mbowe kashalamba Asali,Myika keshalambishwa Asali,Kina Mdee wamehamia Ccm chama hakina nguvu tena Mbowe kwenye ufunguzi wa Mikutano ya vyama kapanda stagen kalewa kajishaua akijua labda bado ni DJ.
Lissu bora harudi hana msahada wwte
Alafu mbaya zaidi unamsindikiza mwanaume mwenzio.Hayo ya Kumsindikiza mtu ni ushamba na kupoteza muda...., Inabidi wananchi tuwe na akili na busara tusikilize ni nini kinaongelea na sio kuacha shughuli eti unamsindikiza mtu..., Hayo ni zama za Kale....
Lissu amegombana na mbowe
Nilijuwa tu Tundu Lissu atadai ametishiwa ili arudi belgium au atadai madaktari wake wamemwita, Watanzania wafaa waelewe Tundu Lissu sasa ni raia belgium na tayari ana benefits nyinyi analipwa kama walivyo raia wa kule apa kujidai anarud siju mikutano ni kuzugazuga tuKwani toka aje si hata mwezi hajafikisha?
Acha kuwa sungura kwani kumsindikiza kuna tofauti na kumpokea??? [emoji23][emoji23][emoji23] Eti ushamba na kupoteza muda kwahiyo mlipompokea mlikuwa washamba na mlipoteza muda??? Kweli nyie wazee Wa kubadili gia angani AKA Nyumbuzzzzz[emoji16][emoji16]Hayo ya Kumsindikiza mtu ni ushamba na kupoteza muda...., Inabidi wananchi tuwe na akili na busara tusikilize ni nini kinaongelea na sio kuacha shughuli eti unamsindikiza mtu..., Hayo ni zama za Kale....
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Unaangaika sana.Ulitaka akaishi kwa Bibi yako