Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
- Thread starter
-
- #61
Kwisha kabisa. Lissu nyang'anyang'aChadema imekwisha na imeanguka kama ilivyoanguka CUF iliyokuwa ya maalim seif nadhan Tz wale wa upinzani ambao lengo na nia yao ni kuindosha ccm madarakan yafaa kubadili mrengo wa chama kikuu cha upinzani, chadema hakuna tena kitu kwisha habari yao
Lissu alisoma Ulaya sio mgeni wa huko.Chadema ishaanguka kitambo sana, Lissu hawezi tena kuishi Tanzania ni kama vile waafrica waliochomoka kwenda ulaya na kusahau kwao sasa ameramba ya ulaya Tz atakuja kwa kuzugazuga tu
Ni vigumu kiongozi wa upinzani kuishi ulaya wananchi anaowapigania wako Africa Tanzania, siasa za kiafrika inabidi uwe na mtawala jino kwa jino muda wote angalau amsha amsha na watu wako sio leo unahamishia siasa kwenye Youtube, kwa matumaini utaiondoa ccm madarakan never..,
- Kwani kusafiri Kwa Tundu Lissu, ndio kusema upinzani umeisha nchini?
- HIVI UNAJUA MBOWE alikuwa nje ya Tanzania kuanzia Kwa takriban miezi kadhaa kuanzia mwaka 2020 mwishoni hadi 2021
- Mtu asisafiri? Kusafiri ni kosa?
Kwa hiyo ulichoandika ndio "Kizingu"Kama imekuuma chomoa chifu sio yako hiyo....Kiswahili cha nini wakati sheria na mikataba yote bungeni imeandikwa kwa Kizingu?
Badala ya kuibua hoja na sera yeye anaonyesha makovuHuyo lopolopo amegonga mwamba,kammiss bwana Robert Amsterdam
Anatibiwa nini kisichopona? Sio kwamba yale mashoga yanayomtumikisha huko beligiji yamemkumbuka mwenzao hivyo hana budi kuitikia wito?We hangaika na Chalamila kule kwenu, Lissu alishasema atarudi tena na tena Ubelgiji kwa masuala binafsi na matibabu
Alichokijia kwake kimefanikiwa..wewe umepima kipimo gani?Waswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium.
Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa kachemsha mwenyewe. Hata kuondoka kwake hakuna viongozi wa chama walioenda kumsindikiza.
Pole sana Lissu, wakati mwingine utajifunza.
View attachment 2519055
Sababu ni kugombana na mbowe, pia hana sera, na mwisho kabisa watu wamempuuzaSasa wewe unajua karudi kwa sababu gani mpaka useme kachemsha?
- bado hujajenga hoja kisomiNi vigumu kiongozi wa upinzani kuishi ulaya wananchi anaowapigania wako Africa Tanzania, siasa za kiafrika inabidi uwe na mtawala jino kwa jino muda wote angalau amsha amsha na watu wako sio leo unahamishia siasa kwenye Youtube, kwa matumaini utaiondoa ccm madarakan never..,
Watanzani nadhan wajipange kivyengine, otherwise ni long live the KING, ccm is there to stay
Ulisema wewe na nani? Kama unaona kazi wanayofanya kina Lisu ni nyepesi Ingia wewe front, umekatazwa na nani?Tulisema huyu Lissu amesharamba Asali tokea alipokutana na mama kule belgium na sasa hataweza tena kuishi Tz., kinachoendelea saiv ni zugazuga tu kwa wafuasi wa Chadema., Mbowe ilibidi afikie Ikulu break ya kwanza alipotoka jela
Watanzania bado tutabaki tunahitaji viongozi madhubuti wa Upinzani kuiondoa ccm madarakani., walikuwa wanamsema maalim seif sana kwamba alikuwa anatumika kumbe ilikuwa ni suala la muda tu
Tuliwambia gia ya Chadema walioanza nayo ya kumtukana Magufuli ilikuwa lazima wafeli tu, Magufuli anaongelewa vibaya jamii forums tu lakini ukienda mtaani na mikoani ukiongea vibaya juu ya Magufuli,watu wanakutizama tu.Mpaka Sasahivi watanganyika bado wanaitaji mtu kariba ya Magufuli mkali asiye cheka na kima.Chadema walikuwa wanasema aliwazuia kufanya mikutano lakini wanawafuasi wengi mtaani,Samia amewarusu wamefanya mikutano mitatu tu,wameona mapokeo ya watu siyo yale ya 2015 ya enzi za kina Slaa ambapo watu walikuwa wanatamani kulala uwanjani kusubiria mikutano,ambaya zaidi wakaanza kushindana na marehemu Magufuli hapo ndipo walipochemka kabisa, Sasahivi watu wanataka kusikia unasaidiaje mwananchi kutoka kwenye maisha haya ya mfumuko wa bei, mchele kg kutoka 1200-4000,uduma za jamii zimerudi nyuma, watoto wameanza kukalia mawe mambo ambayo tulikuwa tumeanza kuyasahau, wakati kuna tozo na mikopo kibao.Chadema inabidi wajipange kuongelea masuala/matatizo ya jamii sio Magufuli,mbaya wao alikuwa ccm nasio Magufuli.Waswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium.
Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa kachemsha mwenyewe. Hata kuondoka kwake hakuna viongozi wa chama walioenda kumsindikiza.
Pole sana Lissu, wakati mwingine utajifunza.
View attachment 2519055
Kafanikiwa nn? Kuonyesha makovu? Makovu hata zuwena anayoAlichokijia kwake kimefanikiwa..wewe umepima kipimo gani?
Hakuna kampeni kwa sasa..
Mbona mlinda legacy cc countywide anasema ameshindwa siasa bongo kwakua hana hoja imebid arud Belgium? Ila wachunga ng'ombe kiukwel ushamba ni asil yao!!Makamu mwenyekiti wa CHADEMA,Tundu Antipas Lissu ameondoka nchini kuelekea Ubelgiji kucheck afya yake na kuhuisha VISA yake inayokaribia kwisha muda wake
Tundu Lissu atarejea nchini baada ya Wiki mbili
Source Jambo TV
Kweli aheri ukose vyote upate akili. Yaanji Lisu kurudi Tanzania, uliambiwa hatakiwi kusafiri nje ya nchi?Waswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium.
Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa kachemsha mwenyewe. Hata kuondoka kwake hakuna viongozi wa chama walioenda kumsindikiza.
Pole sana Lissu, wakati mwingine utajifunza.
View attachment 2519055
Unajua sababu ya lissu kurudi ghafla ubelgiji?;Kweli aheri ukose vyote upate akili. Yaanji Lisu kurudi Tanzania, uliambiwa hatakiwi kusafiri nje ya nchi?
Hivi Rais huwa hasafiri nje ya nchi?
Waziri mkuu huwa hasafiri nje ya nchi?
Makamu wa Rais huwa hasafiri nje ya nchi?
Mawaziri huwa hawasafiri nje ya nchi?
Mbowe huwa hasafiri nje ya nchi?
Wafanyabiashara huwa hawasafiri nje ya nchi?
Wanafunzi huwa hawasafiri nje ya nchi?
Wataalam mbalimbali huwa hawasafiri nje ya nchi?
Au mwenzetu wewe tangu uzaliwe hujawahi kusafiri nje ya nchi?
JF kweli imekusanya na waliokosa hata akili ndogo kabisa. Hivi ni lini utaweza kuleta hoja ya maana hata ukaonekana angalao pengine una ile average IQ?
Wewe umekosa utimamu. Hujitambui. Ndiyo maana wakati hoja zako ni zile ambazo zinaweza kuletwa na mtu asiye na akili wala uelewa wowote kwenye Ulimwengu wa maarifa mengi.Kiko wapi? Tulisema na kuonya, Kiko wapi?
Unajua kwa nn kaondoka ghafla?
- Mimi na wewe nani hawezi kufikiria?
- wewe ndio huwezi kufikiria Kwa sababu umekuja na hitimisho bila utafiti, ulitakiwa ujue sababu ya Lissu kusafiri, na sio kuja na hitimisho lisilo na utafiti eti 'Mbio za sakafuni'
- kwani kusafiri ni kosa? Ukiwa kiongozi huruhusiwi kusafiri kabisa?
Kwa hiyo Rais kwa mfano akisafiri kwenda nje ya nchi anakuwa amekoma kuwa Rais? Ni lini utakua? Maana inaonekana umekua mwili lakini kichiwani ni kuchanga sana.Kwali alikuja kufanya nn? Si alisema amekuja kuwapigania watu. Vipi mapigano yameshindikana?
Jamaa linapenda sifa za kijinga, ameona anapuuzwa ameamua kurudi kwa beberu.
Marehemu amempiga KO.
Nimesha jibu tayari!.