Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

Chadema imekwisha na imeanguka kama ilivyoanguka CUF iliyokuwa ya maalim seif nadhan Tz wale wa upinzani ambao lengo na nia yao ni kuindosha ccm madarakan yafaa kubadili mrengo wa chama kikuu cha upinzani, chadema hakuna tena kitu kwisha habari yao
Kwisha kabisa. Lissu nyang'anyang'a
 
Chadema ishaanguka kitambo sana, Lissu hawezi tena kuishi Tanzania ni kama vile waafrica waliochomoka kwenda ulaya na kusahau kwao sasa ameramba ya ulaya Tz atakuja kwa kuzugazuga tu
Lissu alisoma Ulaya sio mgeni wa huko.
 
  • Kwani kusafiri Kwa Tundu Lissu, ndio kusema upinzani umeisha nchini?
  • HIVI UNAJUA MBOWE alikuwa nje ya Tanzania kuanzia Kwa takriban miezi kadhaa kuanzia mwaka 2020 mwishoni hadi 2021
  • Mtu asisafiri? Kusafiri ni kosa?
Ni vigumu kiongozi wa upinzani kuishi ulaya wananchi anaowapigania wako Africa Tanzania, siasa za kiafrika inabidi uwe na mtawala jino kwa jino muda wote angalau amsha amsha na watu wako sio leo unahamishia siasa kwenye Youtube, kwa matumaini utaiondoa ccm madarakan never..,

Watanzani nadhan wajipange kivyengine, otherwise ni long live the KING, ccm is there to stay
 
Waswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium.

Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa kachemsha mwenyewe. Hata kuondoka kwake hakuna viongozi wa chama walioenda kumsindikiza.

Pole sana Lissu, wakati mwingine utajifunza.

View attachment 2519055
Alichokijia kwake kimefanikiwa..wewe umepima kipimo gani?
Hakuna kampeni kwa sasa..
 
Ni vigumu kiongozi wa upinzani kuishi ulaya wananchi anaowapigania wako Africa Tanzania, siasa za kiafrika inabidi uwe na mtawala jino kwa jino muda wote angalau amsha amsha na watu wako sio leo unahamishia siasa kwenye Youtube, kwa matumaini utaiondoa ccm madarakan never..,

Watanzani nadhan wajipange kivyengine, otherwise ni long live the KING, ccm is there to stay
- bado hujajenga hoja kisomi
-hilo jino kwa jino Mbona Lissu amefanya Sana na anaendelea kufanya
  • Umejua Lissu atakaa Huko alikoenda kwa Muda gani mpaka uje useme ni siasa za You tube?
  • Lissu amerudi Kutoka Belgium ametoa Hoja zake mmezijibu ngapi? Mpaka anasafiri Leo hii hakuna hata Hoja moja mliyojibu.
 
Tulisema huyu Lissu amesharamba Asali tokea alipokutana na mama kule belgium na sasa hataweza tena kuishi Tz., kinachoendelea saiv ni zugazuga tu kwa wafuasi wa Chadema., Mbowe ilibidi afikie Ikulu break ya kwanza alipotoka jela

Watanzania bado tutabaki tunahitaji viongozi madhubuti wa Upinzani kuiondoa ccm madarakani., walikuwa wanamsema maalim seif sana kwamba alikuwa anatumika kumbe ilikuwa ni suala la muda tu
Ulisema wewe na nani? Kama unaona kazi wanayofanya kina Lisu ni nyepesi Ingia wewe front, umekatazwa na nani?
 
Waswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium.

Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa kachemsha mwenyewe. Hata kuondoka kwake hakuna viongozi wa chama walioenda kumsindikiza.

Pole sana Lissu, wakati mwingine utajifunza.

View attachment 2519055
Tuliwambia gia ya Chadema walioanza nayo ya kumtukana Magufuli ilikuwa lazima wafeli tu, Magufuli anaongelewa vibaya jamii forums tu lakini ukienda mtaani na mikoani ukiongea vibaya juu ya Magufuli,watu wanakutizama tu.Mpaka Sasahivi watanganyika bado wanaitaji mtu kariba ya Magufuli mkali asiye cheka na kima.Chadema walikuwa wanasema aliwazuia kufanya mikutano lakini wanawafuasi wengi mtaani,Samia amewarusu wamefanya mikutano mitatu tu,wameona mapokeo ya watu siyo yale ya 2015 ya enzi za kina Slaa ambapo watu walikuwa wanatamani kulala uwanjani kusubiria mikutano,ambaya zaidi wakaanza kushindana na marehemu Magufuli hapo ndipo walipochemka kabisa, Sasahivi watu wanataka kusikia unasaidiaje mwananchi kutoka kwenye maisha haya ya mfumuko wa bei, mchele kg kutoka 1200-4000,uduma za jamii zimerudi nyuma, watoto wameanza kukalia mawe mambo ambayo tulikuwa tumeanza kuyasahau, wakati kuna tozo na mikopo kibao.Chadema inabidi wajipange kuongelea masuala/matatizo ya jamii sio Magufuli,mbaya wao alikuwa ccm nasio Magufuli.
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA,Tundu Antipas Lissu ameondoka nchini kuelekea Ubelgiji kucheck afya yake na kuhuisha VISA yake inayokaribia kwisha muda wake

Tundu Lissu atarejea nchini baada ya Wiki mbili

Source Jambo TV
Mbona mlinda legacy cc countywide anasema ameshindwa siasa bongo kwakua hana hoja imebid arud Belgium? Ila wachunga ng'ombe kiukwel ushamba ni asil yao!!
 
Waswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium.

Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa kachemsha mwenyewe. Hata kuondoka kwake hakuna viongozi wa chama walioenda kumsindikiza.

Pole sana Lissu, wakati mwingine utajifunza.

View attachment 2519055
Kweli aheri ukose vyote upate akili. Yaanji Lisu kurudi Tanzania, uliambiwa hatakiwi kusafiri nje ya nchi?

Hivi Rais huwa hasafiri nje ya nchi?
Waziri mkuu huwa hasafiri nje ya nchi?
Makamu wa Rais huwa hasafiri nje ya nchi?
Mawaziri huwa hawasafiri nje ya nchi?
Mbowe huwa hasafiri nje ya nchi?
Wafanyabiashara huwa hawasafiri nje ya nchi?
Wanafunzi huwa hawasafiri nje ya nchi?
Wataalam mbalimbali huwa hawasafiri nje ya nchi?

Au mwenzetu wewe tangu uzaliwe hujawahi kusafiri nje ya nchi?

JF kweli imekusanya na waliokosa hata akili ndogo kabisa. Hivi ni lini utaweza kuleta hoja ya maana hata ukaonekana angalao pengine una ile average IQ?
 
Unajua sababu ya lissu kurudi ghafla ubelgiji?;
 
Nilijua amekuja kujenga CDM ilikufa kumbe amekuja kutalii tu
 
  • Mimi na wewe nani hawezi kufikiria?
  • wewe ndio huwezi kufikiria Kwa sababu umekuja na hitimisho bila utafiti, ulitakiwa ujue sababu ya Lissu kusafiri, na sio kuja na hitimisho lisilo na utafiti eti 'Mbio za sakafuni'
  • kwani kusafiri ni kosa? Ukiwa kiongozi huruhusiwi kusafiri kabisa?
Unajua kwa nn kaondoka ghafla?
 
Jamaa linapenda sifa za kijinga, ameona anapuuzwa ameamua kurudi kwa beberu.
Marehemu amempiga KO.

Nimesha jibu tayari!.
  • sifa za kijinga zipi?
  • kudai katiba mpya ni sifa ya kijinga?
  • kudai punguzo la Kodi kwenye bidhaa na huduma ni sifa ya kijinga?
  • Kupinga Kodi zinazoletwa na Rais bungeni ni kosa?
-kusema kilo ya maharage ni 4000/- ni sifa ya kijinga?.
 
Back
Top Bottom