Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

Alikuja na gia ya kumsema Magufuli. Mwisho wa siku watanzania wamempuuza,[emoji23][emoji23]
Mkuu, hapa Tanzania na Africa yote hii, ukimponda Magufuli unaonekana kichaatu.

Watajifunza mengi taratibu mpaka akilizitakapo warudia.

Hataivyo sio kwamba hawajui Magu hachafushiki pumbavu,sema wanajitoa akilitu makusudi tu.
Hakuna mtu alie wahi kushindana na ukweli akashinda.

Magu alikuwa mkweli kwelikweli.
 
Watu wana akili za kwenye makalio. Lissu maisha yake amesafiri mara nyingi sana hata kabla ya kushambuliwa na maharamia. Kwani alisema anarudi Tz na hata safiri tena nje ya nchi? Acheni muwasho juzi tu ilikuwa Valentine's day hamjakunwa vizuri?
Huku vyakula bei ghali na posho hakuna,
Ni bora arudi huko aendelee kupata posho na kuendelea kula mishikaki na mvinyo.
Hapa tz anahabgaika na watu hatahawana muda nae wanapambania maisha yao yaliyo magumu
 
Hojagani zamaana, mtuanaonyesha makovu Ili iweje.
Anaacha kuzungumzia matatizo yanayoonekana wazi anazungumzia habari za marehemu zinatusaidia nini sisi.

Acha watu wajadili huo unaoita upuuzi sababu unaemtetea ndio amefanya habarizake binafsi kuwa ndio kipaumbele chake.
 
Huyo laana alikuwa mkweli gani??
 
Tayari huyo keshakuwa wa huko.


Ni kukaa mbali na huyo Raia wa kigeni.

Asije tuletea machafuko.
 
Kwa mzungu patamu hawezi kupakacha
 
Si zungumzii hoja alizoleta Lissu zijibiwe na ccm mimi sio part of, nnachosema kwa siasa za Tanzania Kiongozi wa Upinzani kuishi ulaya akitarajia kuwa rais wa Tanzania kuwaongoza watanzania ilhali yeye maisha yake hataweza kuvumilia hata wiki 2 kuwa katika nchi lazima arudi kwao ulaya.

Utakumbuka uchaguzi ulipoisha tu 2020 Lissu alirudi ulaya hakutembelea hata jimbo 1 kuwambi wananchi chochote, way forward ya chama baada ccm kujichukulia majimbo takriban yote kibabe na badala yake akadai ametishiwa na kutimkia ubalozi ujerumani na kurudi belgium. Kwa siasa za Tanzania kiongozi wa aina hiyo hataleta tija yoyote

Ndio mana tunatoa angalizo ni vyema Watanzania wanaohitajibi mabadiliko watafute namna nyengine.
 
Kwani umelazimishwa kusoma nyuzi za watu humu?.
Unaita watu ibilisi alafu unajiona upo smart.

Ondoa mastress yako hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…