BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Unajua kwa nn kaondoka ghafla?
- lete sababu,
- ulete source aliyoongea Kuhusu kuondoka kwake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua kwa nn kaondoka ghafla?
Mkuu, hapa Tanzania na Africa yote hii, ukimponda Magufuli unaonekana kichaatu.Alikuja na gia ya kumsema Magufuli. Mwisho wa siku watanzania wamempuuza,[emoji23][emoji23]
Kitu gani mbona sielewi😅😅Kiko wapi? Tulisema na kuonya, Kiko wapi?
Huku vyakula bei ghali na posho hakuna,Watu wana akili za kwenye makalio. Lissu maisha yake amesafiri mara nyingi sana hata kabla ya kushambuliwa na maharamia. Kwani alisema anarudi Tz na hata safiri tena nje ya nchi? Acheni muwasho juzi tu ilikuwa Valentine's day hamjakunwa vizuri?
kazi gani wewe jamaa? mbona mnatetea mambo kiwepesi hivyo?Ulisema wewe na nani? Kama unaona kazi wanayofanya kina Lisu ni nyepesi Ingia wewe front, umekatazwa na nani?
Hojagani zamaana, mtuanaonyesha makovu Ili iweje.Kweli aheri ukose vyote upate akili. Yaanji Lisu kurudi Tanzania, uliambiwa hatakiwi kusafiri nje ya nchi?
Hivi Rais huwa hasafiri nje ya nchi?
Waziri mkuu huwa hasafiri nje ya nchi?
Makamu wa Rais huwa hasafiri nje ya nchi?
Mawaziri huwa hawasafiri nje ya nchi?
Mbowe huwa hasafiri nje ya nchi?
Wafanyabiashara huwa hawasafiri nje ya nchi?
Wanafunzi huwa hawasafiri nje ya nchi?
Wataalam mbalimbali huwa hawasafiri nje ya nchi?
Au mwenzetu wewe tangu uzaliwe hujawahi kusafiri nje ya nchi?
JF kweli imekusanya na waliokosa hata akili ndogo kabisa. Hivi ni lini utaweza kuleta hoja ya maana hata ukaonekana angalao pengine una ile average IQ?
Huyo laana alikuwa mkweli gani??Mkuu, hapa Tanzania na Africa yote hii, ukimponda Magufuli unaonekana kichaatu.
Watajifunza mengi taratibu mpaka akilizitakapo warudia.
Hataivyo sio kwamba hawajui Magu hachafushiki pumbavu,sema wanajitoa akilitu makusudi tu.
Hakuna mtu alie wahi kushindana na ukweli akashinda.
Magu alikuwa mkweli kwelikweli.
Mbona hujawahi kuuliza juu ya viongozi wetu wakuu wa nchi wanaposafiri nje ya nchi?Kwahiyo akiwa president itakuwa hivyo hivyo?
VISA!Kwahiyo akiwa president itakuwa hivyo hivyo?
😄Bado yuko mkuu nje mguu ndani, anataka visa ya nini??
Alipohojiwa ITV alisema kabisa atakuwa akienda Ubelgiji kwa matibabu!Tanzania tulimpenda Lisu hata hivyo Ubelgiji imempenda zaidi… go in peace Lisu…
HapanaMbona mlinda legacy cc countywide anasema ameshindwa siasa bongo kwakua hana hoja imebid arud Belgium? Ila wachunga ng'ombe kiukwel ushamba ni asil yao!!
Imani chanzo chake ni kusikia!Endeleeni tuu kumuamini Lissu
Si zungumzii hoja alizoleta Lissu zijibiwe na ccm mimi sio part of, nnachosema kwa siasa za Tanzania Kiongozi wa Upinzani kuishi ulaya akitarajia kuwa rais wa Tanzania kuwaongoza watanzania ilhali yeye maisha yake hataweza kuvumilia hata wiki 2 kuwa katika nchi lazima arudi kwao ulaya.- bado hujajenga hoja kisomi
-hilo jino kwa jino Mbona Lissu amefanya Sana na anaendelea kufanya
- Umejua Lissu atakaa Huko alikoenda kwa Muda gani mpaka uje useme ni siasa za You tube?
- Lissu amerudi Kutoka Belgium ametoa Hoja zake mmezijibu ngapi? Mpaka anasafiri Leo hii hakuna hata Hoja moja mliyojibu.
Kwani umelazimishwa kusoma nyuzi za watu humu?.Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake
Waswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium. Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa...www.jamiiforums.com
Mods tafadhalini sana. Hawa watoto wa ibilisi shetani (baba wa uongo ni shetani) wanaoanzisha nyuzi za uongo kila mara inabidi muwachukulie hatua kali ili Jukwaa letu lisiwe kama FB au Insta.