Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

Sera za makovu ya risasi vs sera za mbolea, miradi, elimu, afya na n.k kurudi lilikuwa jambo la muda tu

USSR
Mbona hamwishi kulitaja hilo jina,makovu yanakuhusu wewe nini,au yanakuhusu🤔
 
-ni kweli mikutano ya kisiasa kufanyika 2020 ilikuwa haiwezekani, asingeweza kufanya mikutano kuwashukuru Wananchi Kwa sababu angekutana na mkono wa Chuma wa jeshi la police
-kuhusu Tundu Lissu kutokusema chochote huo ni Uongo, Kwa sababu Mara baada ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2020 kutangazwa Tundu Lissu, na Salim Mwalim Walifanya Mkutano na Waandishi wa Habari Ili kueleza kupinga na kutodhirishwa na matokeo ya huo uchaguzi, Mkutano ulifanyika makao makuu ya Chadema ilirushwa Live, na ipo You tube na kwenye huo mkutano Zitto Kabwe pia alikuwepo
-Tundu Lissu angekuwa Hana sympathy na wananchi angepinga tozo na Kodi zinazoleta ugumu wa Maisha?
  • Kuhusu besigye na wenzake, ngoja niuulize swali Dr Besigye alipigwa risasi 16 na askari wa museveni?, Pain and suffering aliyoipata Lissu ni kubwa Sana na hakuna mwanasiasa aliyewahi kuipata ndani ya 21 century within Eac hapa, nitajie Dr kiiza Besigye alipigwa risasi ngapi?
  • Usimpangie Kazi ya kufanya Lissu, uwakili atafanya na Siasa anafanya kama hutaki juu Yako.
 
Washampa kibunda?
 
Mods mbona mmebadilisha title ya uzi? Sababu ni ipi? Mbona mambo ya ajabu haya?
Moderator
 
Wanao tutawala Changamoto Tupu
Tunao wategemea Ndio Mtihani Zaidi
Tanzania Bado Inasafari Ndefu sana
 
Hapana

Na alipohojiwa ITV alisema kabisa atakuwa akienda Ubelgiji kwa matibabu
Matinababu gani hayo ya week 2?Semeni ukweli Lissu kachemka amekwenda site kakuta hali sio jinsi jamiiforams wanavyomwongelea Magufuli ukafikiri na mtaani itakuwa hivyo,alivykwenda mtaani alivyotamka jina la Magufuli kila mtu akakaa amemtolea macho na kuinaimisha kichwa chini,alivyobadilika kidogo akasema garama za maisha magumu ndio watu kidogo wakaamsha mikono na kumshangili,. Lissu akajikuta amefeli mazima Maana agend yake ilikuwa ni kusagia kunguni Magufuli,na Sio maisha ya watanganyika, maana aliyewapa ruhusa ya mikutano amewapa na agenda ya kusema, alisema wazi'Ukiniparua nami nakuparua waziwazi ila ukinipuriza nami nakupuliza na kukupeea'; Hivyo gia ya Magufuli ilivyofeli kaamua kurudi kwao Ubeligiji.
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA,Tundu Antipas Lissu ameondoka nchini kuelekea Ubelgiji kucheck afya yake na kuhuisha VISA yake inayokaribia kwisha muda wake

Tundu Lissu atarejea nchini baada ya Wiki mbili

Source Jambo TV
Sasa kama mnajua mbona chawa wanaanza vineno neno🤔
 
Imani kwamba ukiwa CCM unaoabidhi akili unabaki kopo tupu inadhihirishwa na wewe na wajinga wenzio wanaokisapoti.
 
Sjawahi na stowahi kumkubali huyu shujaa wa Chadema

Ni mtu mmoja wa hovyohovyo tu! Anamaneno ya shombo fulani hivi na kujiona yeye ndo msomi maarufu na mjuzi wa sheria kuliko wasomi wote nchini!
 
Kasharopoka kamaliza kaona hamna dili arudi huko.
Tulisema hapa huyo huko Ubelgiji alipo ni mkimbizi wa kawaida tu km wengine wamejazana huko toka Congo,Rwanda na West Africa.
Sasa km angekua special si angerenew tu visa hapo ubalozi bongo.
Kuonana na daktari kwa check up sio issue ya lazima sana kaja juzi tu angeweza kufanya kabla.
Manyumbu yashapigwa za uso tena😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…