BakiliMuluzi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2022
- 1,578
- 2,353
Kazi gani?Ulisema wewe na nani? Kama unaona kazi wanayofanya kina Lisu ni nyepesi Ingia wewe front, umekatazwa na nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi gani?Ulisema wewe na nani? Kama unaona kazi wanayofanya kina Lisu ni nyepesi Ingia wewe front, umekatazwa na nani?
Labda atawapeleka UbeligijiKawaacha kwenye mataa, shaaaa huyo ubelgiji
Mbona hamwishi kulitaja hilo jina,makovu yanakuhusu wewe nini,au yanakuhusu🤔Sera za makovu ya risasi vs sera za mbolea, miradi, elimu, afya na n.k kurudi lilikuwa jambo la muda tu
USSR
-ni kweli mikutano ya kisiasa kufanyika 2020 ilikuwa haiwezekani, asingeweza kufanya mikutano kuwashukuru Wananchi Kwa sababu angekutana na mkono wa Chuma wa jeshi la policeHilo jibu kwamba ilikuwa haiwezekani kutembelea majimbo 2020 baada ya uchaguzi ndio unalitoa weye leo hapa JF, Tundu Lissu hakusema chochote hata huko kwenye Youtube, alichojua yeye madam ccm wametangaza kibabe ni kukusanya mabegi yake na passport yake kutimkia ubalozini na kurud ulaya., hakuwa na thanks yoyote kwa wananchi na ni wazi Tundu Lissu shida yake ilikuwa ni kuukwaa urais tu na hana sympathy hata kidogo na wananchi wa Tanzania.
Basigiye wa Uganda, Bobi Wine na Hata maalim seif wamepitia madhila ya kutishwa na kuuliwa mara elfu moja zaidi lakini waliamua kubaki katika Nchi na wananchi kupambana na watawala.
Ndio maana nasema Tundu Lissu ni vyema abaki kuwa Wakili wa kisheria anapokuja Tanzania kuliko kujifanya kiongozi wa upinzani, hafaiiii yaani hafaii.
Washampa kibunda?Waswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium.
Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa kachemsha mwenyewe. Hata kuondoka kwake hakuna viongozi wa chama walioenda kumsindikiza.
Pole sana Lissu, wakati mwingine utajifunza.
=====
View attachment 2519055
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesafiri kwenda Ubelgiji kwa ajili ya kuonana na Daktari wake kwa vipimo vya kawaida pamoja na kuhuisha visa yake inayomaliza muda wake. Lissu anatarajia kurejea nchini ndani ya wiki mbili kuendelea na majukumu yake hapa.
Unazungumza ule mzoga wa Chato?Alionywa toka mwanzo asije kwa gia ya kumponda magufuli. Matokeo yake kajichimbia kaburi. Asahau tu habari ya siasa.
Wewe kweli ni kengeAlionywa toka mwanzo asije kwa gia ya kumponda magufuli. Matokeo yake kajichimbia kaburi. Asahau tu habari ya siasa.
Matinababu gani hayo ya week 2?Semeni ukweli Lissu kachemka amekwenda site kakuta hali sio jinsi jamiiforams wanavyomwongelea Magufuli ukafikiri na mtaani itakuwa hivyo,alivykwenda mtaani alivyotamka jina la Magufuli kila mtu akakaa amemtolea macho na kuinaimisha kichwa chini,alivyobadilika kidogo akasema garama za maisha magumu ndio watu kidogo wakaamsha mikono na kumshangili,. Lissu akajikuta amefeli mazima Maana agend yake ilikuwa ni kusagia kunguni Magufuli,na Sio maisha ya watanganyika, maana aliyewapa ruhusa ya mikutano amewapa na agenda ya kusema, alisema wazi'Ukiniparua nami nakuparua waziwazi ila ukinipuriza nami nakupuliza na kukupeea'; Hivyo gia ya Magufuli ilivyofeli kaamua kurudi kwao Ubeligiji.Hapana
Na alipohojiwa ITV alisema kabisa atakuwa akienda Ubelgiji kwa matibabu
Who is the looser?! Anayeenda Ubelgiji for medical consultation au aliyepo futi 6 Chato? Just speak out frankly.Kiko wapi? Tulisema na kuonya, Kiko wapi?
Wewe unakipele,soma hilo jina alafu nambie la jinsia gani?Kwa hiyo ulichoandika ndio "Kizingu"
Mumeo ana hasara kubwa.
Sasa kama mnajua mbona chawa wanaanza vineno neno🤔Makamu mwenyekiti wa CHADEMA,Tundu Antipas Lissu ameondoka nchini kuelekea Ubelgiji kucheck afya yake na kuhuisha VISA yake inayokaribia kwisha muda wake
Tundu Lissu atarejea nchini baada ya Wiki mbili
Source Jambo TV
Imani kwamba ukiwa CCM unaoabidhi akili unabaki kopo tupu inadhihirishwa na wewe na wajinga wenzio wanaokisapoti.Waswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium.
Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa kachemsha mwenyewe. Hata kuondoka kwake hakuna viongozi wa chama walioenda kumsindikiza.
Pole sana Lissu, wakati mwingine utajifunza.
=====
View attachment 2519055
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesafiri kwenda Ubelgiji kwa ajili ya kuonana na Daktari wake kwa vipimo vya kawaida pamoja na kuhuisha visa yake inayomaliza muda wake. Lissu anatarajia kurejea nchini ndani ya wiki mbili kuendelea na majukumu yake hapa.
Sasa km anaenda kumwona daktari wake shida iko wapi. Watanzania wengine mna roho za kichawi
Baada ya wiki mbili tutarudi kwenye huu uziKumuona daktari wapi wewe, huyo kachemsha kaamua kurudi kwa aibu
Hizo ni propaganda za kisiasa, ukizichukulia serious utaumiza kichwa chako. UVCCM wako kazini hapo.Lissu alisoma Ulaya sio mgeni wa huko.