Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Busara ameshasema anaendelea na kampeniAnapambana na aliyeshika mpini. Busara ilikuwa ni chama chake kitoe tamko siyo yeye binafsi.
Lissu The GreatestHaya siyo maneno yangu, ni maneno ya Tundu Lissu
View attachment 1588241
Habari hizo nendeni mkajiliane huko na magofoolAmeambiwa ana nafsi ya kkukata rufaa,sasa hayo ya kuendelea na kampeni ni kutafuta shida nyingine!!Tunajua ameshapata momentum lakini ni lazima amkumbuke Mungu,Kila jambo lina sababu!!
Consequence zakuendelea kufanya kampeni zinaweza ku justify hatua ingine kubwa zaidi na ya kuumiza.Naamini NEC wakimkata kuendelea na uchaguzi hakuna kitakachotokea (kama ilivyotokea kwa JECHA).Atumie busara na ajenge hoja!!Yaani kesi iamuliwe na jini akate rufaa kwa shetani! Wacheni ujinga
Ngoja tuone!This orchestrated 'rough justice' is yet another proof of a discredited NEC and a compromised electoral system. The NEC’s decision is totally unacceptable. I'll not be intimidated or silenced. The campaign will continue on Sunday as scheduled.
#SasaBasi #TunduLissu2020 Tundu Antiphas Lissu on Twitter
Mnaona sifa tu kutumia vyombo na taasisi kuwakandamiza wapinzani. Sasa hakuna cha kupunguza munkari hapo ratiba zinaendelea kama kawaida.Inabidi apunguze munkali, asilazimishe
Kama wanataka hivyo wafuate sheria , vinginevyo patachimbikaConsequence zakuendelea kufanya kampeni zinaweza ku justify hatua ingine kubwa zaidi na ya kuumiza.Naamini NEC wakimkata kuendelea na uchaguzi hakuna kitakachotokea (kama ilivyotokea kwa JECHA).Atumie busara na ajenge hoja!!
Jamaa anacheza na sheriaTunataka kiongozi kama Lissu tena mchakato mzima urudiwe ama wote walioenguliwa kihuni warudishwe haraka la sivyo hatuta elewana.