Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Mnaona sifa tu kutumia vyombo na taasisi kuwakandamiza wapinzani. Sasa hakuna cha kupunguza munkari hapo ratiba zinaendelea kama kawaida.

Lissu wa sasa hivi mmemtengeneza wenyewe mlivyotaka kumuua, Lissu wazamani tulimchukulia poa hadi Ikulu anakuja kunywa chai. Sasa tulieni
Saizi kwamba hata akialikwa ikulu chai hanywi.
 
😁😁😁😁😁 ngoja niwaambie kwa upole tuu MTAKAO UMIA NI NYINYI MISKULE yake hamuwezi kujifanya arrogant sababu ya icj
huu mchezo hauitaji hasira na huu ni mtego mnajiingiza kichwakichwa kubishana na vyombo halali

Mtachapika na asitokee mtu wa kuwasaidia

naona serkali ishajivua na lawama kama zitatokea vurugu + serkali inapata uhalali wa kuwashughulikia perpendicular

hapa lisu amekurupuka!!
 
Kama haiamini tume kwanini ashiriki uchaguzi? Si angeacha? Hiyo ingeleta maana kuwa kuna matatizo kwenye tume. Ni sawa na muumini anayemuomba Mungu bila kujua kuwa Mungu anaweza kufanya hicho anachokiomba. Wote wanaomuomba Mungu wanatumaini kuwa yupo na anaouwezo.

Kubahatisha hakufai
Video : huyu hapa Mkurugenzi wa Tume
 
Kama haiamini tume kwanini ashiriki uchaguzi? Si angeacha? Hiyo ingeleta maana kuwa kuna matatizo kwenye tume. Ni sawa na muumini anayemuomba Mungu bila kujua kuwa Mungu anaweza kufanya hicho anachokiomba. Wote wanaomuomba Mungu wanatumaini kuwa yupo na anaouwezo.

Kubahatisha hakufai
Sio suala la kuacha kugombea unataka magu abaki mwenyewe? Ni suala la tume huru hapa ndio tunadai la sivyo hapatakuwa na amani na jiwe ajiuzulu alishindwa kuruhusu tume huru.
 
Kama haiamini tume kwanini ashiriki uchaguzi? Si angeacha? Hiyo ingeleta maana kuwa kuna matatizo kwenye tume. Ni sawa na muumini anayemuomba Mungu bila kujua kuwa Mungu anaweza kufanya hicho anachokiomba. Wote wanaomuomba Mungu wanatumaini kuwa yupo na anaouwezo.

Kubahatisha hakufai
Jamaa anacheza na sheria za uchaguzi ,wamezuia kampeni ya urais ila wamesahau sheria za NEC zinatuhusu mgombea kuwa kwenye kampeni ya wagombea ubunge na udiwani ili kuwanadi
 
Kama haiamini tume kwanini ashiriki uchaguzi? Si angeacha? Hiyo ingeleta maana kuwa kuna matatizo kwenye tume. Ni sawa na muumini anayemuomba Mungu bila kujua kuwa Mungu anaweza kufanya hicho anachokiomba. Wote wanaomuomba Mungu wanatumaini kuwa yupo na anaouwezo.

Kubahatisha hakufai
Ndicho mlichotaka tususie, nasisi hatususi tumewawekea size yenu. Tulieni hivo hivo,amani ikivurugika hakuna CCM,au CDM atakaepona wote tutakumbana nashubiri.
 
Anatafuta triggering factor...ya kuanzisha vurugu. Yawezekana ni moja ya kazi alizopewa, maana inasemwa si mwananchi mwenzetu yule. Fuatilieni ukweli wa hili.
 
Ameambiwa ana nafsi ya kkukata rufaa,sasa hayo ya kuendelea na kampeni ni kutafuta shida nyingine!!Tunajua ameshapata momentum lakini ni lazima amkumbuke Mungu,Kila jambo lina sababu!!
Akate rufaa kwa lipi?
1. Hakuwahi kuletewa malalamiko juu yake ili yasikilizwe.
2. Mbili hakuwahi kusikilizwa.
3. Tatu, hata hayo maamuzi yaliyofikiwa hayajapelekwa kwake.
Inaonekana unapenda sana kuwa mtu wa ndiyo mzee.
 
Back
Top Bottom