Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Suluhu na Nani?Suluhu ipatikane kwa maslahi mapana ya nchi yetu
Hao watu wanaendeahwa na jiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suluhu na Nani?Suluhu ipatikane kwa maslahi mapana ya nchi yetu
Alipewa wito kupitia kwa katibu wa chama ambaye kimsingi ndio mdhamini wa mgombea lakini alijiona yeye mwamba Ngoja tuone mwisho wa siku nani anaumiaAkate rufaa kwa lipi?
1. Hakuwahi kuletewa malalamiko juu yake ili yasikilizwe.
2. Mbili hakuwahi kusikilizwa.
3. Tatu, hata hayo maamuzi yaliyofikiwa hayajaekwa kwake.
Inaonekana unapenda sana kuwa mtu wa ndiy mzee
Kwanza wewe huna hata ubavu wa kufanya chochote mbweha weweMtajinyea mwaka huu,tunataka kiongozi jasiri kama huyu.
Walipoacha kwenye chaguzi ndogo nini kilitokea?CCM walijisifu na hakuna hatua yeyete ya kubadili mfumo wa NEC,kilichopo ni muda wa kudai haki sio kuiomba tenaKama haiamini tume kwanini ashiriki uchaguzi? Si angeacha? Hiyo ingeleta maana kuwa kuna matatizo kwenye tume. Ni sawa na muumini anayemuomba Mungu bila kujua kuwa Mungu anaweza kufanya hicho anachokiomba. Wote wanaomuomba Mungu wanatumaini kuwa yupo na anaouwezo.
Kubahatisha hakufai
Fujo zipi unazoongea wewe, mabeberu ndio wadau wetu wa maendeleo hatuna shida nao tunashirikiana nao tangu enzi za Nyerere. Unakumbuka mabeberu walivyowaleta SAS kuzima jaribio la mapinduzi dhidi ya Nyerere.Chama siyo yeye. Tatizo anachukulia yeye ni zaidi ya chama kwasababu mabeberu wanamjua yeye. Anataka afanye fujo ili mabwana zake wazungu waone.
Njia yoyote ya kumzuia Tundu Lisu asifanye kampeni haikubaliki
Unafikiri ni rahisi hivyo?Consequence zakuendelea kufanya kampeni zinaweza ku justify hatua ingine kubwa zaidi na ya kuumiza.Naamini NEC wakimkata kuendelea na uchaguzi hakuna kitakachotokea (kama ilivyotokea kwa JECHA).Atumie busara na ajenge hoja!!
Hii ndiyo namna ya ku- deal ni na madikteta yasiyo na busara kama Meko. Kwa kila wanaloamua lazima kuwe na action.Inabidi apunguze munkali, asilazimishe
Mahakamani haendi na kampeni kama kawaida halafu tutarudi humu kuongea. Shida yenu think tank yenu ni myopic, hayo mnayofanya ndio mnamuongezea credibility Lissu.Siku 7 za Tundu Lisu zinaanza kesho.
Kama anahisi kuonewa aende mahakamani!
Mkuu unaiongelea nchi hii ya Tanzania?.yetu macho!.Kama wanataka hivyo wafuate sheria , vinginevyo patachimbika
Wewe unaongelea Chama lakini kanuni na sheria za Uchaguzi ndiyo zinazoitaka tume kumpelekea mgombea malalamiko. Sheria haiagizi malalamiko hayo yapitie kwenye ChamaMkuu, hivi unajua kuwa Chama ndicho kikubwa kuliko huyo mgombea,na Chama ndio kilichobeba dhamana yake?
Sasa huoni kwamba, Chama kuandikiwa juu ya kulalamikiwa Kwa mgombea ndio sahihi mkuu!!