Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
Tunangojea mrejesho.
Tupeni link
Tunaomba link tuangalie live
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunangojea mrejesho.
Tupeni link
Tunaomba link tuangalie live
Inabidi apunguze munkali, asilazimishe
nasikia Sirro kapewa maagizo avuruge hii presser.Salaam Wakuu,
Muda wowote kuanzia sasa, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa anaongea na Waandishi wa Habari Nyumbani kwake Tegeta.
Nitawaletea kila kinachojiri Kutokea hapa Tegeta.
Agenda kubwa ni kusimamishwa kufanya Kampeni
======
UPDATES:
1654HRS: Waandishi wa Habari wameshafika eneo la tukio.
View attachment 1588248
Ni kweli Ndugu yangu .Anapambana na aliyeshika mpini. Busara ilikuwa ni chama chake kitoe tamko siyo yeye binafsi.
Mpeni kichwa ili aliwe kichwa mazimaHii ndio dawa iliyobaki!
Huna akili.😁😁😁😁😁 ngoja niwaambie kwa upole tuu MTAKAO UMIA NI NYINYI MISKULE yake hamuwezi kujifanya arrogant sababu ya icj
huu mchezo hauitaji hasira na huu ni mtego mnajiingiza kichwakichwa kubishana na vyombo halali
Mtachapika na asitokee mtu wa kuwasaidia
naona serkali ishajivua na lawama kama zitatokea vurugu + serkali inapata uhalali wa kuwashughulikia perpendicular
hapa lisu amekurupuka!!
Shukrani mkuucheki Youtube Dar Mpya Tv
Nguvu ya umma iko standbyHii ndio inaitwa 'point of no return' kama NEC wanakiuka taratibu wajiandae kukabiliana na athari za matendo yao
Hongera wewe una akili kubwa..big upMahakamani haendi na kampeni kama kawaida halafu tutarudi humu kuongea. Shida yenu think tank yenu ni myopic, hayo mnayofanya ndio mnamuongezea credibility Lissu.
Mataga yote ni makondoo ndio maana hadi meko kachapisha fomu moja, kaweka wagombea wa mfukoni kwake na anayafokea deilee hakuna hata bata mmoja wa kunyanyua mdomo.Akate rufaa kwa lipi?
1. Hakuwahi kuletewa malalamiko juu yake ili yasikilizwe.
2. Mbili hakuwahi kusikilizwa.
3. Tatu, hata hayo maamuzi yaliyofikiwa hayajaekwa kwake.
Inaonekana unapenda sana kuwa mtu wa ndiy mzee
Lkn situna kaa mitaani pamoja na nyinyi kwahiyo kikianzishwa sisi tuna dili na nyinyiKwanza wewe huna hata ubavu wa kufanya chochote mbweha wewe