Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Kinukisheni basiMtakua mumemaliza tatizo madikteta?? Mshaua wa ngapi na mapambano yanaendelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinukisheni basiMtakua mumemaliza tatizo madikteta?? Mshaua wa ngapi na mapambano yanaendelea
piga spanaAnachokitafuta na Amsterdam wake wanakaribia kukipata. Niliwahi kusema Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila Elimu ya Dunia ni ZERO. No wonder anatembea kwa kuchechemea kwa kutofunzwa na ***** na kufunzwa na ulimwengu. Sasa acha ulimwengu uendelee kumfundisha zaidi.
Kwani ni lazima kukata rufaa? Amesema anaendelea na kampeni za wabunge na madiwani kama Makamu Mwenyekiti na siyo kama mgombea urais, shida iko wapi?Ameambiwa ana nafsi ya kkukata rufaa,sasa hayo ya kuendelea na kampeni ni kutafuta shida nyingine!!Tunajua ameshapata momentum lakini ni lazima amkumbuke Mungu,Kila jambo lina sababu!!
Nani ameshika mpini?Anapambana na aliyeshika mpini. Busara ilikuwa ni chama chake kitoe tamko siyo yeye binafsi.
Anapiga kwenye mstari wa wimaLissu anajua kila kitu. Sijui chadema wanawezaje kuishi na huyu mtu asiyekosea.
Na hivi kawambia atawachia muwe huru kwenye zile faragha zenu basi lazima aandike ngeli ili kuwajulika beberu zenu kwamba mko tayari kwa faraghaNa ili wewe mbuz jike usisikie
NEC mwiteni na huyo anayesema hatopeleka maendeleo sehemu ambazo wananchi hawatomchagua. hapo itaonekana kweli NEC mnatenda haki vyenginevyo mtakuwa mnatwanga maji kwenye kinu. TUndu yuko sawa kwa sababu mwenzake mwenyekiti wa CCM nafasema bila y akupepesa maneno kiuwa hatahudumia wananchi wasiomchagua. NEC mtaleta fujo na mkiendelea na kumuadhibu mgombea mmoja na kumuacha mgombea wa CCM akijidani kuwapuuza wapiga kura wasiomchagua ikiwa atafanikiwa mtakuwa hamtendi haki.Haya siyo maneno yangu, ni maneno ya Tundu Lissu
View attachment 1588241
Elewa vizuri Katibu mkuu wa chama ndio mdhamini mkuu wa mgombea,Tume haiwezi kumtafuta mgombea yupo wapi ndio wampelekee malalamiko,Ingekuwa Mgombea hana chama na mdhamini hiyo hoja yako ingekuwa ina mashiko,Lissu anajulikana ni Mgombea wa uRais kwa kupitia chama Fulani na njia ya kumfikia ni kupeleka kwa katibu mkuu wa chama ambaye ni mdhamini wa mgombea na inajulikana ofisi ya katibu ipo wapi,
Tulia mzee dawa iingie.Kama haiamini tume kwanini ashiriki uchaguzi? Si angeacha? Hiyo ingeleta maana kuwa kuna matatizo kwenye tume. Ni sawa na muumini anayemuomba Mungu bila kujua kuwa Mungu anaweza kufanya hicho anachokiomba. Wote wanaomuomba Mungu wanatumaini kuwa yupo na anaouwezo.
Kubahatisha hakufai
Siyo upendeleo tu, wameonesha udhaifu mkubwa mno.Kwa hili tume wameonyesha upendeleo
Tumia akili kidogo lisu Ndo mgombea na so chama na yeye Ndo kasimamishwa kupiga kampeni na Wala si chama ivyo wajibu wa kujibu uko kwa lisu mwenyewe na Wala si chama tumia akili japo kidogo mkuuAnapambana na aliyeshika mpini. Busara ilikuwa ni chama chake kitoe tamko siyo yeye binafsi.
Muacheni lisu afanye kampeni mnamfuata fuata kwani yeye kazuia nyie msifanye kampeni zenu hukoHili swala linahitaji busara na lissu ndio hana busara. Mbowe amekaa pembeni anatazama game. Tatizo mpaka sasa lissu anafikiri kugombea urais ni sawa na kesi za mahakamani
Safi sana Lissu. Tunaendelea na kampeni na watupige tu hayo mabomu yao na risasi zao!!!Haya siyo maneno yangu, ni maneno ya Tundu Lissu
View attachment 1588241
Ingependeza kama wewe ungeweka vipengele vinavyozuia Tume ya Uchaguzi kutomfungia Lisu kufanya kampeni kwa Siku sabaAcha kutoa maoni kwenye utaratibu wa kisheria, weka vifungu vinavyo sapoti maelezo yako.
hii imekaa poaKufuatia mgombea Urais kupitia Chadema Mhe.Tundu Lissu kufungiwa kufanya kampeni kwa siku 7 kuanzia leo hadi tar.9 Oktoba, atatumia nafasi yake kama Makamu Mwenyekiti wa Chadema kufanya ziara ya siku 7 (kuanzia kesho) kuwanadi wagombea ubunge wa majimbo mbalimbali nchini. Sheria ya vyama vya siasa no.5 ya mwaka 1992 inatoa ruhusa kwa viongozi wa kitaifa wa vyama vya siasa kuzunguka majimbo yote kuwanadi wagombea ubunge na udiwani. Hivyo kwa kutumia sheria hiyo Lissu ataanza ziara rasmi kesho kuwanadi wagombea ubunge na udiwani, kisha tar.10 ataendelea na ratiba yake kama mgombea urais.! #Mwamba #AkiliKubwa #NiYeYe
Hapo ni nyumbani kwa Lissu private property unaingiaje hapo!!!?nasikia Sirro kapewa maagizo avuruge hii presser.
Tundu Lissu kawashika kunako hakiyanani!!