Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Anachokitafuta na Amsterdam wake wanakaribia kukipata. Niliwahi kusema Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila Elimu ya Dunia ni ZERO. No wonder anatembea kwa kuchechemea kwa kutofunzwa na ***** na kufunzwa na ulimwengu. Sasa acha ulimwengu uendelee kumfundisha zaidi.
piga spana
 
Ameambiwa ana nafsi ya kkukata rufaa,sasa hayo ya kuendelea na kampeni ni kutafuta shida nyingine!!Tunajua ameshapata momentum lakini ni lazima amkumbuke Mungu,Kila jambo lina sababu!!
Kwani ni lazima kukata rufaa? Amesema anaendelea na kampeni za wabunge na madiwani kama Makamu Mwenyekiti na siyo kama mgombea urais, shida iko wapi?
 
Na ili wewe mbuz jike usisikie
Na hivi kawambia atawachia muwe huru kwenye zile faragha zenu basi lazima aandike ngeli ili kuwajulika beberu zenu kwamba mko tayari kwa faragha
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
SSA Lissu mbona anakuwa mzembe.akapeleke malalamiko NEC kuhusu JPM na majaliwa kuvunja hizo kanuni. Kama aliyofanya kwenye pingamizi .
Napenda afanye hivyo jumatatu. Asilalamike anakoswa Sifa ya kuwa rais saasa
 
Hili swala linahitaji busara na lissu ndio hana busara. Mbowe amekaa pembeni anatazama game. Tatizo mpaka sasa lissu anafikiri kugombea urais ni sawa na kesi za mahakamani
 
Haya siyo maneno yangu, ni maneno ya Tundu Lissu
View attachment 1588241
NEC mwiteni na huyo anayesema hatopeleka maendeleo sehemu ambazo wananchi hawatomchagua. hapo itaonekana kweli NEC mnatenda haki vyenginevyo mtakuwa mnatwanga maji kwenye kinu. TUndu yuko sawa kwa sababu mwenzake mwenyekiti wa CCM nafasema bila y akupepesa maneno kiuwa hatahudumia wananchi wasiomchagua. NEC mtaleta fujo na mkiendelea na kumuadhibu mgombea mmoja na kumuacha mgombea wa CCM akijidani kuwapuuza wapiga kura wasiomchagua ikiwa atafanikiwa mtakuwa hamtendi haki.
jichunguzeni uandilifu wenu wajumbe wa NEC
 
Acha kutoa maoni kwenye utaratibu wa kisheria, weka vifungu vinavyo sapoti maelezo yako.
Elewa vizuri Katibu mkuu wa chama ndio mdhamini mkuu wa mgombea,Tume haiwezi kumtafuta mgombea yupo wapi ndio wampelekee malalamiko,Ingekuwa Mgombea hana chama na mdhamini hiyo hoja yako ingekuwa ina mashiko,Lissu anajulikana ni Mgombea wa uRais kwa kupitia chama Fulani na njia ya kumfikia ni kupeleka kwa katibu mkuu wa chama ambaye ni mdhamini wa mgombea na inajulikana ofisi ya katibu ipo wapi,
 
Kama haiamini tume kwanini ashiriki uchaguzi? Si angeacha? Hiyo ingeleta maana kuwa kuna matatizo kwenye tume. Ni sawa na muumini anayemuomba Mungu bila kujua kuwa Mungu anaweza kufanya hicho anachokiomba. Wote wanaomuomba Mungu wanatumaini kuwa yupo na anaouwezo.

Kubahatisha hakufai
Tulia mzee dawa iingie.
 
Anapambana na aliyeshika mpini. Busara ilikuwa ni chama chake kitoe tamko siyo yeye binafsi.
Tumia akili kidogo lisu Ndo mgombea na so chama na yeye Ndo kasimamishwa kupiga kampeni na Wala si chama ivyo wajibu wa kujibu uko kwa lisu mwenyewe na Wala si chama tumia akili japo kidogo mkuu
 
Acha kutoa maoni kwenye utaratibu wa kisheria, weka vifungu vinavyo sapoti maelezo yako.
Ingependeza kama wewe ungeweka vipengele vinavyozuia Tume ya Uchaguzi kutomfungia Lisu kufanya kampeni kwa Siku saba
 
Kufuatia mgombea Urais kupitia Chadema Mhe.Tundu Lissu kufungiwa kufanya kampeni kwa siku 7 kuanzia leo hadi tar.9 Oktoba, atatumia nafasi yake kama Makamu Mwenyekiti wa Chadema kufanya ziara ya siku 7 (kuanzia kesho) kuwanadi wagombea ubunge wa majimbo mbalimbali nchini. Sheria ya vyama vya siasa no.5 ya mwaka 1992 inatoa ruhusa kwa viongozi wa kitaifa wa vyama vya siasa kuzunguka majimbo yote kuwanadi wagombea ubunge na udiwani. Hivyo kwa kutumia sheria hiyo Lissu ataanza ziara rasmi kesho kuwanadi wagombea ubunge na udiwani, kisha tar.10 ataendelea na ratiba yake kama mgombea urais.! #Mwamba #AkiliKubwa #NiYeYe
hii imekaa poa
 
Back
Top Bottom