mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,555
- 6,972
Mbona unaongea kinyonge hivyo Mkuu. Mambo magumu sioNgoja tuone!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unaongea kinyonge hivyo Mkuu. Mambo magumu sioNgoja tuone!
Chama siyo yeye. Tatizo anachukulia yeye ni zaidi ya chama kwasababu mabeberu wanamjua yeye. Anataka afanye fujo ili mabwana zake wazungu waone.Busara ameshasema anaendelea na kampeni
Saizi kwamba hata akialikwa ikulu chai hanywi.Mnaona sifa tu kutumia vyombo na taasisi kuwakandamiza wapinzani. Sasa hakuna cha kupunguza munkari hapo ratiba zinaendelea kama kawaida.
Lissu wa sasa hivi mmemtengeneza wenyewe mlivyotaka kumuua, Lissu wazamani tulimchukulia poa hadi Ikulu anakuja kunywa chai. Sasa tulieni
Unaelewa maana ya SASA BAASI!Consequence zakuendelea kufanya kampeni zinaweza ku justify hatua ingine kubwa zaidi na ya kuumiza.Naamini NEC wakimkata kuendelea na uchaguzi hakuna kitakachotokea (kama ilivyotokea kwa JECHA).Atumie busara na ajenge hoja!!
Video : huyu hapa Mkurugenzi wa TumeKama haiamini tume kwanini ashiriki uchaguzi? Si angeacha? Hiyo ingeleta maana kuwa kuna matatizo kwenye tume. Ni sawa na muumini anayemuomba Mungu bila kujua kuwa Mungu anaweza kufanya hicho anachokiomba. Wote wanaomuomba Mungu wanatumaini kuwa yupo na anaouwezo.
Kubahatisha hakufai
Jinga kabisa weweAnachokitafuta na Amsterdam wake wanakaribia kukipata. Niliwahi kusema Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila Elimu ya Dunia ni ZERO. No wonder anatembea kwa kuchechemea kwa kutofunzwa na ***** na kufunzwa na ulimwengu. Sasa acha ulimwengu uendelee kumfundisha zaidi.
Pumbavu sana hawa wanajifanya eti juna suluhisho la kukata rufaa, wanaogopa nini si wameamu wenyewe kufanya figisuHabari hizo nendeni mkajiliane huko na magofool
Sio suala la kuacha kugombea unataka magu abaki mwenyewe? Ni suala la tume huru hapa ndio tunadai la sivyo hapatakuwa na amani na jiwe ajiuzulu alishindwa kuruhusu tume huru.Kama haiamini tume kwanini ashiriki uchaguzi? Si angeacha? Hiyo ingeleta maana kuwa kuna matatizo kwenye tume. Ni sawa na muumini anayemuomba Mungu bila kujua kuwa Mungu anaweza kufanya hicho anachokiomba. Wote wanaomuomba Mungu wanatumaini kuwa yupo na anaouwezo.
Kubahatisha hakufai
Jamaa anacheza na sheria za uchaguzi ,wamezuia kampeni ya urais ila wamesahau sheria za NEC zinatuhusu mgombea kuwa kwenye kampeni ya wagombea ubunge na udiwani ili kuwanadiKama haiamini tume kwanini ashiriki uchaguzi? Si angeacha? Hiyo ingeleta maana kuwa kuna matatizo kwenye tume. Ni sawa na muumini anayemuomba Mungu bila kujua kuwa Mungu anaweza kufanya hicho anachokiomba. Wote wanaomuomba Mungu wanatumaini kuwa yupo na anaouwezo.
Kubahatisha hakufai
Ndicho mlichotaka tususie, nasisi hatususi tumewawekea size yenu. Tulieni hivo hivo,amani ikivurugika hakuna CCM,au CDM atakaepona wote tutakumbana nashubiri.Kama haiamini tume kwanini ashiriki uchaguzi? Si angeacha? Hiyo ingeleta maana kuwa kuna matatizo kwenye tume. Ni sawa na muumini anayemuomba Mungu bila kujua kuwa Mungu anaweza kufanya hicho anachokiomba. Wote wanaomuomba Mungu wanatumaini kuwa yupo na anaouwezo.
Kubahatisha hakufai
Ndio asije akawekewa Polonium au Novichok kama NalvanySaizi kwamba hata akialikwa ikulu chai hanywi.
Siku 7 za Tundu Lisu zinaanza kesho.Mbona unaongea kinyonge hivyo Mkuu. Mambo magumu sio
Akate rufaa kwa lipi?Ameambiwa ana nafsi ya kkukata rufaa,sasa hayo ya kuendelea na kampeni ni kutafuta shida nyingine!!Tunajua ameshapata momentum lakini ni lazima amkumbuke Mungu,Kila jambo lina sababu!!