Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Kama ndivyo bado hawawezi kuitwa wabobevu. Mtu gani amebobea hawezi kutumia ubobevu wake wa kuongoza maisha yake hadi atumike na washenzi ndio mkono uende kinywani??

Je wale tulioishia form four failure si ndio tutasuguliwa ili tuishi?
Mkuu wewe umemaliza.
Hakuna mtu anayejua kitu fulani kibobevu halafu akashindwa kutumia ubobevu huo kuishi. Huyo ni kilaza.
STK .... imebeba bosi ndani anawahi ofisini,inapita kwenye lane ya mabasi ya UDART then unaona dereva ni mjanja na mbobevu. Huyo ni kilaza tu.
 
Hii lafu aliyofanyiwa LISSU itampaisha sana Lissu kuliko maelezo aisee hata kama kuna mtu alikuwa na nia ya kuchagua Miundo Mbinu dhidi ya Lissu basi atajikuta anamkubari LISSU VIBAYA MNO
 
Acha uzwazwa wewe,! Hivi vitisho vyenu pelekeni kwa beberu Amsterdam,

Lisu akifanya ujinga atafinyangwa kwa mujibu wa sheria za nchi hataogopwa yeye siyo mkubwa kuliko tz!

Usifikiri Lisu ana wafuasi yeye pekeake hata wenzie wana wafuasi. Mwambie afanye mambo yake kwa kiasi la sivyo atarudi kwa beberu wake amsterda akiwa analia
 
Mimi siyo mwanasheria lakini naamini Tume ya uchaguzi inayoongozwa na Jaji mbobezi haiwezi kutoa maamuzi kwa kukurupuka.

Ndio najiuliza huyu Tundu Lisu " anadhani" anazijua sheria kuliko Jaji mstaafu Kaijage?

Maendeleo hayana vyama!
Jaji Kaijage kitu gani bana, kuwa Jaji ni kupanda cheo kwenye career ya Uhakimu tu. Hata Peofesa Ibrahim Juma CJ bado kwa Tundu Lissu ni cha mtoto tu
 
Mimi siyo mwanasheria lakini naamini Tume ya uchaguzi inayoongozwa na Jaji mbobezi haiwezi kutoa maamuzi kwa kukurupuka.

Ndio najiuliza huyu Tundu Lisu " anadhani" anazijua sheria kuliko Jaji mstaafu Kaijage?

Maendeleo hayana vyama!
Sasa huku ni kumchongekea Jaji wetu kwa wananchi.

Haya mambo mengine ni ya kuguna tu kwa kutumia pua.
 

Zimeshindwa risasi 16, yataweza mabomu ya machozi?

Mtu kalala ICU wiki nzima unamtishia sero?

Lissu ni namba nyingine ile!

Njia pekee ya kumshinda Lissu ni kuwa na akili na unfortunately sioni mwenye akili kumzidi Lissu kwenye kamati kuu nzima ya CCM
 
Mnaweweseka sana, poleni
 
Lisu anachangamsha genge tuu yeye mwenyewe ataipigia jura CCM, kwasasa hakuna mgombea bora kama JPM.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Wapiga kura wa lissu
Your browser is not able to display this video.
 
Kinachosuburiwa na wapinzani ndio hicho,wa kuanzisha fujo ili moto uwake!.
 
Kwa hapa mabeberu wamepata mtu konki, wanachotaka kupitia kwa Lissu kinaweza kutimia this time around. Kwa ujasiri huu huyu katumwa.

The confusing part is, mbona Mbowe yupo kimya sana, mbona haongei wala kujibu chochote?
 
Na wewe uende barabarani ukaenjoy huo mtanange
Acha kusema hivyo watu anaowadhania siyo,wanaweza fanya kitu mpaka we mwenyewe ukashangaa.mwanzilishi ndio huwa ngumu kapatikana Ila Sasa amepatikana
 
SSA Lissu mbona anakuwa mzembe.akapeleke malalamiko NEC kuhusu JPM na majaliwa kuvunja hizo kanuni. Kama aliyofanya kwenye pingamizi .
Napenda afanye hivyo jumatatu. Asilalamike anakoswa Sifa ya kuwa rais saasa
Atamkuta nani? lazima waufunge office wakajifiche, sebene linaendelea jumapili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…