residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Mkuu wewe umemaliza.Kama ndivyo bado hawawezi kuitwa wabobevu. Mtu gani amebobea hawezi kutumia ubobevu wake wa kuongoza maisha yake hadi atumike na washenzi ndio mkono uende kinywani??
Je wale tulioishia form four failure si ndio tutasuguliwa ili tuishi?
Hakuna mtu anayejua kitu fulani kibobevu halafu akashindwa kutumia ubobevu huo kuishi. Huyo ni kilaza.
STK .... imebeba bosi ndani anawahi ofisini,inapita kwenye lane ya mabasi ya UDART then unaona dereva ni mjanja na mbobevu. Huyo ni kilaza tu.