Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Lisu anajitoa ufahamu tu
Tume imepeleka balua ofisini kwenu, Mnyika kapokea, kawajibu kwamba hiyo haiwahusu, wampe mgombea mwenyewe!
Kama vile wewe ni mgombea binafsi siyo wa chadema!
Juzi umesikika ikiwa Tarime kwamba huendi kwa kuwa hukapewa balua!
Sasa je
Huna mawasiliana na chama chako?

Ikiwa hili ,wenzio wanajua lile!
Ikifanya ukaidi utaumia
Polisi watakufungua hivyo vyuma ulivyofunga mwilini kwako

Kwenye sheria za maadili kila aliyefanya kosa unatakiwa apelekewe kosa lake.kama chama kimekosea kinatakiwa kipelekewe chama barua ya malalamiko,kama ni mgombea anatakiwa apelekewe mgombea ,na sio upeleke kwa chama barua ya mgombea.

Lisu atawagalagaza mapema kabisa.sheria ziko wazi.

Wanalazimisha na Lisu asifanye kampeni kwakuwa mgombea wao ana pumzika mpaka Tarehe 11.
 
Umma uko nyuma yako Tundu Lissu, umekwisha tuambia hawa polisi hawawezi kutuua wote, wengine ni watoto wetu, binamu zetu, jirani zetu.

Haki huchelewa lakini huwa inafika.
Si uje na wewe tuungane mbona wewe uko mbali UK?
 
"...wamenisimamisha kipindi Magufuli akiwa Gereji...." Mh. Tundu Antipasi Lissu.
Hapa ndipo huwa najiuliza akili za huyu mheshimiwa huwa zinakwama wapi, yaani bila "personal attack" hawezi kuelezea jambo na jamii ikaelewa? Tuliosoma NLP (Neuro-linguistic Programming) tunajua kuwa kichwani mwa Lissu kuna shida au ya kuzaliwa au ya kimalezi tu,... macho uona kile mtu anachokiwaza..
Ila wewe ulivyoitwa chuchu badala ya zuchu! Ulifurahia sababu umepata kiki
 
SSA Lissu mbona anakuwa mzembe.akapeleke malalamiko NEC kuhusu JPM na majaliwa kuvunja hizo kanuni. Kama aliyofanya kwenye pingamizi .
Napenda afanye hivyo jumatatu. Asilalamike anakoswa Sifa ya kuwa rais saasa
Ameshafanya mkuu kaa kwa kutulia
 
Atakataje rufaa bila kufikishiwa barua ya mashtaka na kusimamishwa ?
Ameambiwa ana nafsi ya kkukata rufaa,sasa hayo ya kuendelea na kampeni ni kutafuta shida nyingine!!Tunajua ameshapata momentum lakini ni lazima amkumbuke Mungu,Kila jambo lina sababu!!
 
SSA Lissu mbona anakuwa mzembe.akapeleke malalamiko NEC kuhusu JPM na majaliwa kuvunja hizo kanuni. Kama aliyofanya kwenye pingamizi .
Napenda afanye hivyo jumatatu. Asilalamike anakoswa Sifa ya kuwa rais saasa
We ndio mzembe bila kujifahamu, amekuambia CHADEMA imepeleka malalamiko matatu na tume haijibu. What next?
 
Lumumba hadi waitane wafike walau Mia kujaribu kutafasiri hii kitu!!

Ukiondoa Maalim wagombea wengine Lissu kawaacha mbali mno kwa weredi.
 
Ngoma ya kitoto huwa haikeshi. Tuliwaambia hii Serikali iko macho na mipango yenu, asiyesikia la mkuu huvunjika guu.
 
Ameambiwa ana nafsi ya kkukata rufaa,sasa hayo ya kuendelea na kampeni ni kutafuta shida nyingine!!Tunajua ameshapata momentum lakini ni lazima amkumbuke Mungu,Kila jambo lina sababu!!
Na kwenye dhuluma bado mnamhusisha na Mungu??!!
 
"...wamenisimamisha kipindi Magufuli akiwa Gereji...." Mh. Tundu Antipasi Lissu.
Hapa ndipo huwa najiuliza akili za huyu mheshimiwa huwa zinakwama wapi, yaani bila "personal attack" hawezi kuelezea jambo na jamii ikaelewa? Tuliosoma NLP (Neuro-linguistic Programming) tunajua kuwa kichwani mwa Lissu kuna shida au ya kuzaliwa au ya kimalezi tu,... macho uona kile mtu anachokiwaza..
Nadhani kuna characters ili uwe mwanasheria ama mwanasiasa bora ni pamoja na hizo za personal attacks. Yote ni kuhakikisha mpinzani wake awe mnyonge na apotee kwenye hoja za msingi.

Maana hizo attacks mara nyingi huwa ni za ukweli lakin hupendi zijulikane.
 
Mnataka kuwapa NEC sababu ya kuchukua hatua mbaya zaidi. Probably hii ni plan tangu mwanzo kabisa and Lissu anajiingiza king bila shuruti.

Kwanini asikate rufaa kwanza kubuy time huku akiendelea na campaign?
 
Ameambiwa ana nafsi ya kkukata rufaa,sasa hayo ya kuendelea na kampeni ni kutafuta shida nyingine!!Tunajua ameshapata momentum lakini ni lazima amkumbuke Mungu,Kila jambo lina sababu!!
Akate rufaa ili mchukue wiki nzima kimjibu? Hapa huu moto haupoi mpaka 28-10. Sababu jamaa yenu kachoka ndo mnataka kumpumzisha na TAL ili waende sawa eee?
 
Back
Top Bottom