Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Half timeMtanange
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Half timeMtanange
Lisu anajitoa ufahamu tu
Tume imepeleka balua ofisini kwenu, Mnyika kapokea, kawajibu kwamba hiyo haiwahusu, wampe mgombea mwenyewe!
Kama vile wewe ni mgombea binafsi siyo wa chadema!
Juzi umesikika ikiwa Tarime kwamba huendi kwa kuwa hukapewa balua!
Sasa je
Huna mawasiliana na chama chako?
Ikiwa hili ,wenzio wanajua lile!
Ikifanya ukaidi utaumia
Polisi watakufungua hivyo vyuma ulivyofunga mwilini kwako
Si uje na wewe tuungane mbona wewe uko mbali UK?Umma uko nyuma yako Tundu Lissu, umekwisha tuambia hawa polisi hawawezi kutuua wote, wengine ni watoto wetu, binamu zetu, jirani zetu.
Haki huchelewa lakini huwa inafika.
Ila wewe ulivyoitwa chuchu badala ya zuchu! Ulifurahia sababu umepata kiki"...wamenisimamisha kipindi Magufuli akiwa Gereji...." Mh. Tundu Antipasi Lissu.
Hapa ndipo huwa najiuliza akili za huyu mheshimiwa huwa zinakwama wapi, yaani bila "personal attack" hawezi kuelezea jambo na jamii ikaelewa? Tuliosoma NLP (Neuro-linguistic Programming) tunajua kuwa kichwani mwa Lissu kuna shida au ya kuzaliwa au ya kimalezi tu,... macho uona kile mtu anachokiwaza..
Tatizo mzee anatufokea sana mkuu + hashaurikiCrazy Benghazi hooligans had the same thinking, when they decided to torpedo the Libyan nation's boat. However, let us all be clear right here that the crazyness of that nature will be nipped at its bud then everything will be uprooted!!
Ameshafanya mkuu kaa kwa kutuliaSSA Lissu mbona anakuwa mzembe.akapeleke malalamiko NEC kuhusu JPM na majaliwa kuvunja hizo kanuni. Kama aliyofanya kwenye pingamizi .
Napenda afanye hivyo jumatatu. Asilalamike anakoswa Sifa ya kuwa rais saasa
Ameambiwa ana nafsi ya kkukata rufaa,sasa hayo ya kuendelea na kampeni ni kutafuta shida nyingine!!Tunajua ameshapata momentum lakini ni lazima amkumbuke Mungu,Kila jambo lina sababu!!
We ndio mzembe bila kujifahamu, amekuambia CHADEMA imepeleka malalamiko matatu na tume haijibu. What next?SSA Lissu mbona anakuwa mzembe.akapeleke malalamiko NEC kuhusu JPM na majaliwa kuvunja hizo kanuni. Kama aliyofanya kwenye pingamizi .
Napenda afanye hivyo jumatatu. Asilalamike anakoswa Sifa ya kuwa rais saasa
Na kwenye dhuluma bado mnamhusisha na Mungu??!!Ameambiwa ana nafsi ya kkukata rufaa,sasa hayo ya kuendelea na kampeni ni kutafuta shida nyingine!!Tunajua ameshapata momentum lakini ni lazima amkumbuke Mungu,Kila jambo lina sababu!!
Nadhani kuna characters ili uwe mwanasheria ama mwanasiasa bora ni pamoja na hizo za personal attacks. Yote ni kuhakikisha mpinzani wake awe mnyonge na apotee kwenye hoja za msingi."...wamenisimamisha kipindi Magufuli akiwa Gereji...." Mh. Tundu Antipasi Lissu.
Hapa ndipo huwa najiuliza akili za huyu mheshimiwa huwa zinakwama wapi, yaani bila "personal attack" hawezi kuelezea jambo na jamii ikaelewa? Tuliosoma NLP (Neuro-linguistic Programming) tunajua kuwa kichwani mwa Lissu kuna shida au ya kuzaliwa au ya kimalezi tu,... macho uona kile mtu anachokiwaza..
Wacha Lissu awape masomo wamezoea ujinga.Lissu anajua kila kitu. Sijui chadema wanawezaje kuishi na huyu mtu asiyekosea.
Haya siyo maneno yangu, ni maneno ya Tundu Lissu
View attachment 1588241
Suluhu ni sisiem kuachia madaraka kwa amani tuu.. Hakuna chengineSuluhu ipatikane kwa maslahi mapana ya nchi yetu
Akate rufaa ili mchukue wiki nzima kimjibu? Hapa huu moto haupoi mpaka 28-10. Sababu jamaa yenu kachoka ndo mnataka kumpumzisha na TAL ili waende sawa eee?Ameambiwa ana nafsi ya kkukata rufaa,sasa hayo ya kuendelea na kampeni ni kutafuta shida nyingine!!Tunajua ameshapata momentum lakini ni lazima amkumbuke Mungu,Kila jambo lina sababu!!