Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Hili nfilo jibu, mjadala umefungwaSio anadhani! Lisu anazijua sheria kuliko binadamu yeyote ndani ya Tanzania hii na Afrika kwa ujumla.
Majaji na wanasheria wengine wa serikali wanazijua kiasi ila ndio hivyo ukiwa ndani ya ccm au ndani ya serikali ya awamu ya tano, hupaswi kutumia taaluma yako bali unafanya kazi kwa maelekeo ya Dictator.