Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Sio anadhani! Lisu anazijua sheria kuliko binadamu yeyote ndani ya Tanzania hii na Afrika kwa ujumla.
Majaji na wanasheria wengine wa serikali wanazijua kiasi ila ndio hivyo ukiwa ndani ya ccm au ndani ya serikali ya awamu ya tano, hupaswi kutumia taaluma yako bali unafanya kazi kwa maelekeo ya Dictator.
Hili nfilo jibu, mjadala umefungwa
 
Hawana uwezo wa kumfanya lolote kwa sasa.kama wanabisha waseme suuuuuuuuu.
 
ivi bado mnadhani lisu ni mtu wakawaida ile ni next level haki bin haki mpaka kieleweke
 
Mimi siyo mwanasheria lakini naamini Tume ya uchaguzi inayoongozwa na Jaji mbobezi haiwezi kutoa maamuzi kwa kukurupuka.

Ndio najiuliza huyu Tundu Lisu " anadhani" anazijua sheria kuliko Jaji mstaafu Kaijage?

Maendeleo hayana vyama!
Hata Feleshl naye ni Jaji pia. Uwe na akili mukichwa Bwashe.
 
Sio anadhani! Lisu anazijua sheria kuliko binadamu yeyote ndani ya Tanzania hii na Afrika kwa ujumla.
Majaji na wanasheria wengine wa serikali wanazijua kiasi ila ndio hivyo ukiwa ndani ya ccm au ndani ya serikali ya awamu ya tano, hupaswi kutumia taaluma yako bali unafanya kazi kwa maelekeo ya Dictator.
Sisi tuendelee kujua tu Majaji na mahakimu wa Seikali ninweupe. Wakishapata mishahara tu hata kujiboresha kuwa wanasheria bora wanaweka pembeni.
 
Mimi siyo mwanasheria lakini naamini Tume ya uchaguzi inayoongozwa na Jaji mbobezi haiwezi kutoa maamuzi kwa kukurupuka.

Ndio najiuliza huyu Tundu Lisu " anadhani" anazijua sheria kuliko Jaji mstaafu Kaijage?

Maendeleo hayana vyama!
Unamjua Lissu au unamsikia??? Lissu ni nguli wa sheria sio kujua tu!
 
Mimi siyo mwanasheria lakini naamini Tume ya uchaguzi inayoongozwa na Jaji mbobezi haiwezi kutoa maamuzi kwa kukurupuka.

Ndio najiuliza huyu Tundu Lisu " anadhani" anazijua sheria kuliko Jaji mstaafu Kaijage?

Maendeleo hayana vyama!
Kaijage anaijua sheria ila amefungwa akili kila kitu anakiona katika lensi ya ccm. Inabidi apindishe sheria ili magufuli apone
 
Mimi siyo mwanasheria lakini naamini Tume ya uchaguzi inayoongozwa na Jaji mbobezi haiwezi kutoa maamuzi kwa kukurupuka.

Ndio najiuliza huyu Tundu Lisu " anadhani" anazijua sheria kuliko Jaji mstaafu Kaijage?

Maendeleo hayana vyama!
Hivi unajua hata Camilius Wambura, yule aliyeandika barua ya Jana ya wito wa Polisi Kanda maalum Dsm ni Mwanasheria? Lakini umeona manyanga aliyoyafanya? Siyo kama hajui, anajua ila kuna msukumo unaomfanya ajifanye hajui siku ziende.
 
Consequence zakuendelea kufanya kampeni zinaweza ku justify hatua ingine kubwa zaidi na ya kuumiza.Naamini NEC wakimkata kuendelea na uchaguzi hakuna kitakachotokea (kama ilivyotokea kwa JECHA).Atumie busara na ajenge hoja!!
Kujaribu ni bure! Wajaribu!
 
Kwani Jane Lowassa anasemaje kuhusu ili?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Huyu mamluki akwambie nini asa...!?
Screenshot_20201002-135556.jpg

Sent from my Infinix X5514D using JamiiForums mobile app
 
Unaamini au unajua?
Unaweza kuamini au kujiaminisha chochote unachotaka.

Back
Top Bottom