Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sheria tu TL ni mwalimu wenutake msitake nyinyi. Hamna u we led wa sheria mabavu theory
Nyomi hiyo hiyo na Kwa Rais wetu mpendwa ipo, sasa nyomi ipi anayoisemea yeye? Halafu hiyo nyomi yake kawauliza kama wamejiandikisha kupiga kura? Isije ikawa ya ushabiki tu.Salaam Wakuu,
Muda wowote kuanzia sasa, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa anaongea na Waandishi wa Habari Nyumbani kwake Tegeta.....
Tunamuangalia tu anavyoleta jeuri ya kishamba, halafu 28 October tukifanya yetu akimbilie mahakamani, au aingize mazumbukuku barabaraniYani huyu ni mgombea anajifanya anaijua sheria Ila ndo mvunjifu Wa kwanza wa sheria.
Niivi sio tu LissuNdio mkuu mgombea wetu anaakili sana, tunamuomba aendelee kudharau vyombo vyenye mamlaka Kwani yeye anajua zaidi
Niivi sio tu Lissu
Hata mimi mwenyewe, as long hufuati sheria, nitakudharau tu
Ivo naungana na Lissu. kudharau mtu/taasisi yoyote inayokiuka Sheria .
Hatuwez kuheshim sheria upande mmoja tu.
Huo ujinga, anauvumiliaga mtu mjinga, mpumbavu, masikin fukara ambaye hajitambui, hana uhakika wa Maisha.
Usikonde, subiri leo kamati kuu iamue .Jumapili tuandamane tumlazimishe Lissu afanye kampeni [emoji38][emoji38]
Nimekwambia nitajie. Weka hayo magazeti hapa. Acha kukimbia swali kilaza wa Lumumba wewe!!Mpaka nikutanie pumbavu wewe,huwa husomi magazeti,shenzi.
Pumbavu,uwe unasoma magazeti.Nimekwambia nitajie. Weka hayo magazeti hapa. Acha kukimbia swali kilaza wa Lumumba wewe!!
Usikonde, subiri leo kamati kuu iamue .
In fact Chadema sasa ni hatuna cha kupoteza, tumeshajua nia yenu nikuhakikisha amna hata mbunge wa chadema kurudi .
Kwa ivo Sisi mwendo wetu niuleule.
Acha matusi kilaza wa Lumumba. Leta ushahidi hapa!!Pumbavu,uwe unasoma magazeti.
Mpumbavu wewe!
Angalau wangemkopeshaUlitaka auziwe kiki!!?
Mpumbavu aliyesema, lissu na bob wine wanashiriki mapenzi ya jinsi moja na HANA USHAHIDIKwanini unanitukania ndugu
Vipi wakati anachanja mbuga atakuwa anamsugua na yule mgombea wenu aliyeomba kusuguliwaLissu tunakuaminia wewe ni Mwanasheria nguli, unaakili kuliko Watanzania wote
Kitu kizuri unamawakili Wazungu wanaoweza kukutetea popote duniani
Usifuate sheria za Uchaguzi,Wewe unajua zaidi kuliko viongozi wa Tume ya Uchaguzi, wewe unajua zaidi kuliko jeshi la polisi
Tunaomba jumapili endelea kupiga kampeni, tume wakikufuata fuata wasemee kwa Robert, polisi wakikufuata fuata wasemee kwa Robert
Hata ukishindwa urais usikubali matokeo umwambie Robert akusaidie
Mpumbavu aliyesema, lissu na bob wine wanashiriki mapenzi ya jinsi moja na HANA USHAHIDI
Vipi wakati anachanja mbuga atakuwa anamsugua na yule mgombea wenu aliyeomba kusuguliwa
kwani kwenye kampeni nani aliyeomba asuguliwe?Hayo maswali waulizwe halima ndio mtaalamu, hizo tabia zipo Chadema