Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Ndio tunasisitiza aendelee kudharau vyombo vyenye mamlaka Mkuu yeye anajua sana sheria
Kwa sheria tu TL ni mwalimu wenutake msitake nyinyi. Hamna u we led wa sheria mabavu theory
 
Salaam Wakuu,

Muda wowote kuanzia sasa, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa anaongea na Waandishi wa Habari Nyumbani kwake Tegeta.....
Nyomi hiyo hiyo na Kwa Rais wetu mpendwa ipo, sasa nyomi ipi anayoisemea yeye? Halafu hiyo nyomi yake kawauliza kama wamejiandikisha kupiga kura? Isije ikawa ya ushabiki tu.

Wenzao wamejiandikisha, wasiwasi wangu kajiaminisha Kwa ile nyomi tayari kawa Rais, watanzania wengi hawako hivyo anavyofikiri
 
Yani huyu ni mgombea anajifanya anaijua sheria Ila ndo mvunjifu Wa kwanza wa sheria.
Tunamuangalia tu anavyoleta jeuri ya kishamba, halafu 28 October tukifanya yetu akimbilie mahakamani, au aingize mazumbukuku barabarani
 
Ndio mkuu mgombea wetu anaakili sana, tunamuomba aendelee kudharau vyombo vyenye mamlaka Kwani yeye anajua zaidi
Niivi sio tu Lissu

Hata mimi mwenyewe, as long hufuati sheria, nitakudharau tu

Ivo naungana na Lissu. kudharau mtu/taasisi yoyote inayokiuka Sheria .

Hatuwez kuheshim sheria upande mmoja tu.

Huo ujinga, anauvumiliaga mtu mjinga, mpumbavu, masikin fukara ambaye hajitambui, hana uhakika wa Maisha.
 
Jumapili tuandamane tumlazimishe Lissu afanye kampeni [emoji38][emoji38]

Usikonde, subiri leo kamati kuu iamue .

In fact Chadema sasa ni hatuna cha kupoteza, tumeshajua nia yenu nikuhakikisha amna hata mbunge wa chadema kurudi .

Kwa ivo Sisi mwendo wetu niuleule.
 
Kamanda toka nje uandamane usiiishie kujifungia geto [emoji16][emoji16]

Usikonde, subiri leo kamati kuu iamue .

In fact Chadema sasa ni hatuna cha kupoteza, tumeshajua nia yenu nikuhakikisha amna hata mbunge wa chadema kurudi .

Kwa ivo Sisi mwendo wetu niuleule.
 
Lissu tunakuaminia wewe ni Mwanasheria nguli, unaakili kuliko Watanzania wote
Kitu kizuri unamawakili Wazungu wanaoweza kukutetea popote duniani

Usifuate sheria za Uchaguzi,Wewe unajua zaidi kuliko viongozi wa Tume ya Uchaguzi, wewe unajua zaidi kuliko jeshi la polisi

Tunaomba jumapili endelea kupiga kampeni, tume wakikufuata fuata wasemee kwa Robert, polisi wakikufuata fuata wasemee kwa Robert

Hata ukishindwa urais usikubali matokeo umwambie Robert akusaidie
Vipi wakati anachanja mbuga atakuwa anamsugua na yule mgombea wenu aliyeomba kusuguliwa
 
Back
Top Bottom