Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Kwanini unanitukania ndugu
Wewe kuitwa mpumbavu siyo tusi wala siyo porojo bali ni fact.Unaelewa tofauti kati ya porojo na fact?Wewe kuitwa mpumbavu ni fact kwa sababu una double standard.Magufuli yeye kuvunja sheria za tume ya uchaguzi unaona ni sawa ila kwa Tundu lissu unaona siyo sawa,ndiyo maana nasema wewe kuitwa mpumbavu ni fact na wala siyo porojo.Wewe ni mpumbavu,sikutukani bali ni fact.

Magufuli kote anakopita anasalimia wafuasi wake hata kama siyo eneo lake la kampeni.Magufuli amekuwa akitoa rushwa za kudai kuwa yapelekwe mamilioni kote anakopita.Magufuli amekuwa akiwagawa Watanzania kwa misingi ya vyama,anadai msiponipa mbunge hapa sileti maji wakati kila Mtanzania ana haki ya kupata huduma regardless chama chake as long as analipa kodi.Yote haya tume imenyamaza na wewe unakuwa na double standard kuwa chadema peke yao ndiyo mashetani na CCM ni malaika.

Wewe kuitwa ni mpumbavu ni fact na wala siyo porojo.Wewe ni mpumbavu
 
[emoji16][emoji16][emoji16]tutaandamana lini kushinikiza lissu aendelee na kampeni
Lissu kuendelea au kutokuendelea na kampeni huna influence nayo. Kimsingi hahitaji hata ushauri achilia mbali maoni yako.

Kwa taarifa yenu Lissu anasonga mbele na hakuna kinachomsimasha. Wapelekee waliokutuma kuja kupima maji habari hiyo.
 
Lissu tunakuaminia wewe ni Mwanasheria nguli, una akili kuliko Watanzania wote
Kitu kizuri una mawakili Wazungu wanaoweza kukutetea popote duniani

Usifuate sheria za Uchaguzi,Wewe unajua zaidi kuliko viongozi wa Tume ya Uchaguzi, wewe unajua zaidi kuliko jeshi la polisi

Tunaomba jumapili endelea kupiga kampeni, tume wakikufuata fuata wasemee kwa Robert, polisi wakikufuata fuata wasemee kwa Robert

Hata ukishindwa urais usikubali matokeo umwambie Robert akusaidie
Sawa mwana ccm umeeleweka
IMG_20200930_230531.jpeg
 
Huo
Lissu tunakuaminia wewe ni Mwanasheria nguli, una akili kuliko Watanzania wote
Kitu kizuri una mawakili Wazungu wanaoweza kukutetea popote duniani

Usifuate sheria za Uchaguzi,Wewe unajua zaidi kuliko viongozi wa Tume ya Uchaguzi, wewe unajua zaidi kuliko jeshi la polisi

Tunaomba jumapili endelea kupiga kampeni, tume wakikufuata fuata wasemee kwa Robert, polisi wakikufuata fuata wasemee kwa Robert

Hata ukishindwa urais usikubali matokeo umwambie Robert akusaidie
Huo ni unafiki unaozungumza !!!!! Hatupendi mtu ahatarishe amani ya Nchi yetu ! Watanzania wana Imani kubwa Tume ya Uchaguzi . Tunaipenda Nchi yetu . Acha kuupotosha Umma !
 
Ameambiwa ana nafasi ya kukata rufaa, sasa hayo ya kuendelea na kampeni ni kutafuta shida nyingine!!Tunajua ameshapata momentum lakini ni lazima amkumbuke Mungu,Kila jambo lina sababu!!
Ni ujinga wakati fulani kufuata amri au maelekezo ya mjinga au mwendawazimu.

Mahela avuruga sheria na taratibu kwa makusudi, halafu Lisu akate rufaa. Big No.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom