lolypop
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,430
- 1,688
Muulize mleta postKuna ushahidi ulitolewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize mleta postKuna ushahidi ulitolewa
Hahaha hahaha hahaaaBarua za kufoji ndio unatuwekea watu wenye akili.
Mrudishie Ansbert Ngurumo na Kigogo wa Twitter.Hahaha hahaha hahaaa
Muulize mleta post
kwani kwenye kampeni nani aliyeomba asuguliwe?
Wewe kuitwa mpumbavu siyo tusi wala siyo porojo bali ni fact.Unaelewa tofauti kati ya porojo na fact?Wewe kuitwa mpumbavu ni fact kwa sababu una double standard.Magufuli yeye kuvunja sheria za tume ya uchaguzi unaona ni sawa ila kwa Tundu lissu unaona siyo sawa,ndiyo maana nasema wewe kuitwa mpumbavu ni fact na wala siyo porojo.Wewe ni mpumbavu,sikutukani bali ni fact.Kwanini unanitukania ndugu
Leta huo ushahidiNdio ushahidi ulisema hizo habari ni za kweli
Leta huo ushahidi
Lissu kuendelea au kutokuendelea na kampeni huna influence nayo. Kimsingi hahitaji hata ushauri achilia mbali maoni yako.
Kwa taarifa yenu Lissu anasonga mbele na hakuna kinachomsimasha. Wapelekee waliokutuma kuja kupima maji habari hiyo.
[emoji16][emoji16][emoji16]tutaandamana lini kushinikiza lissu aendelee na kampeni
Maandamano yanahusika nini na kuendelea na kampeni? Ndiyo ndoto za mchana?
Sawa mwana ccm umeelewekaLissu tunakuaminia wewe ni Mwanasheria nguli, una akili kuliko Watanzania wote
Kitu kizuri una mawakili Wazungu wanaoweza kukutetea popote duniani
Usifuate sheria za Uchaguzi,Wewe unajua zaidi kuliko viongozi wa Tume ya Uchaguzi, wewe unajua zaidi kuliko jeshi la polisi
Tunaomba jumapili endelea kupiga kampeni, tume wakikufuata fuata wasemee kwa Robert, polisi wakikufuata fuata wasemee kwa Robert
Hata ukishindwa urais usikubali matokeo umwambie Robert akusaidie
Serikali ya Tanzania 'yamruka' Makonda - BBC News SwahiliMrudishie Ansbert Ngurumo na Kigogo wa Twitter.
Huo ni unafiki unaozungumza !!!!! Hatupendi mtu ahatarishe amani ya Nchi yetu ! Watanzania wana Imani kubwa Tume ya Uchaguzi . Tunaipenda Nchi yetu . Acha kuupotosha Umma !Lissu tunakuaminia wewe ni Mwanasheria nguli, una akili kuliko Watanzania wote
Kitu kizuri una mawakili Wazungu wanaoweza kukutetea popote duniani
Usifuate sheria za Uchaguzi,Wewe unajua zaidi kuliko viongozi wa Tume ya Uchaguzi, wewe unajua zaidi kuliko jeshi la polisi
Tunaomba jumapili endelea kupiga kampeni, tume wakikufuata fuata wasemee kwa Robert, polisi wakikufuata fuata wasemee kwa Robert
Hata ukishindwa urais usikubali matokeo umwambie Robert akusaidie
Tunaandamana kuonyesha tunamkubali lisu[emoji3]
Huo
Huo ni unafiki unaozungumza !!!!! Hatupendi mtu ahatarishe amani ya Nchi yetu ! Watanzania wana Imani kubwa Tume ya Uchaguzi . Tunaipenda Nchi yetu . Acha kuupotosha Umma !
Sawa mwana CCM tumekusikia.
Umefurahi sasa?
Ni ujinga wakati fulani kufuata amri au maelekezo ya mjinga au mwendawazimu.Ameambiwa ana nafasi ya kukata rufaa, sasa hayo ya kuendelea na kampeni ni kutafuta shida nyingine!!Tunajua ameshapata momentum lakini ni lazima amkumbuke Mungu,Kila jambo lina sababu!!