Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema pingamizi ya kufanya kampeni kabla ya wakati ni kelele za kupuuzwa, awananga wahariri wa Vyombo vya Habari

Wameshaumbuka.unajua Lissi kawashika kweli kweli
 
Kwa maana nyingine Zirro anatuambia kwamba NEC na vyombo vya Dola vitapora ushindi wa CHADEMA...!!

Matatizo ya kuongea bila kufikiri
 
Sirro ana copy kila neno analoongea Magufuli na yeye analirudia, japo Magufuli ni bosi wake lakini akumbuke kwa nafasi yake (Sirro) anatakiwa awe makini sana na maneno anayozungumza, kwasababu kukopi kila neno toka kwa Magufuli yule ni mwanasiasa asije akajiingiza kwenye huo mtego.
 
Vigezo na masharti kuzingatiwa, kama hatimizi atakatwa, wote tunapitia hayo kwenye maisha yetu, tusipotimiza vigezo vilivyowekwa aidha kwa kujua au kutokujua tunakatwa, ...
CCM wameanza kampeni tokea 2016 mtukufu akigawa pesa anafanya mikutano huku kazuia vyama vingine kufanya mikutano ya siasa na juzi juzi kafanya kampeni kabla ya wakati kule Rufiji kamtafutia mama yake mzazi mchumba na kununua jogoo kwa laki moja ikiwa ni Rushwa ya wazi kabsa.
 
Siro hana kinga ya kutoshitakiwa lakini magufuli ana kinga, siku magufuli hayupo madarakani kumlinda siro ataishia kushinda mahakamani ale kiinua mgongo akiwa kizimbani mda wote wa uzeeni
 
Zote hizo hakuna hata moja iliompata usoni?
Hicho kigezo chako ni cha kibwege sana hutumii hata Akili yako ndogo ya kufua chupi? Hujui kuwa binadamu akishambuliwa hujitahidi kuficha kichwa? Acheni maswali ya kijinga jinga
 
Kwa maana nyingine Zirro anatuambia kwamba NEC na vyombo vya Dola vitapora ushindi wa CHADEMA...!!

Matatizo ya kuongea bila kufikiri
Week yote hii kumekuwa na vikao kati ya IGP Siro, Jaji kaijage wa NEC, Shibuda kubwa jinga na Lipumba ni vikao vya kuivuruga kuihujumu kuidhoofisha chadema na kumzuia Tundu lisu kugombea Urais 2020
 
Shibuda anashinda saa nyingi akiwa na kaijage ni vyema kila atakayemuona Shibuda amzomee na ikiwezekana tumeni namba zake za simu hapa watu tumpie tumchane live
 
Raisi wetu amefanya mambo makubwa sana ndani ya muda mfupi kuliko Raisi yeyote aliyetawala Tanzania toka Uhuru.
Sasa ni kwa nini pengine Wanainchi hawana furaha kuliko kipindi cha Raisi Kikwete au Maraisi waliopita.
Kiongozi moja wa Dini, ambaye ni msomi aliyebobea alisema:
Pamoja na mambo mazuri yanayofanywa na Serikali lakini kipato cha mtu moja moja na kipato cha familia kimeshuka sana.
Uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali ni kwenye vitu na si mtu.
Wana Taaluma wa Financial Management watakubaliana na mimi kuwa katika Balance Sheet ya Taifa au ya kampuni lazima kuwe na uwiano (ratio) kati ya working capital (pesa iliyoko kwenye mzunguko), Fixed Assets ( Mali za kudumu) na long term loans.
Ukipunguza sana working capital kwa kuihamishia kwenye Fixed Assets utawaumiza Wanainchi .
Hali ya sasa ni kuwa pesa iliyoko kwenye mzunguko (working capital imepungua kwa kuhamishwa kwenye mali za kudumu (Fixed assets) ambayo manufaa yake huja taratibu na hudumu kwa muda mrefu.
Hali hii inaweza kuwa mtaji kwa Tundu Lissu kwa sababu waswahili wanasema.
" Adui yako mwombee njaa"
Adui mwenye njaa atakupenda tu kama utampatia au kumwahidi kumpa chakula.
Kwa hiyo Tundu LIssu anaweza kupewa kura hata na watu wa CCM wenye njaa kama atawaahidi kuwa ataongeza kipato cha mtu moja moja au kipato cha familia.
YOU WIN THE PEOPLE THROUGH THEIR STOMACH.
Yesu kristo anakumbukwa hadi leo kwa sababu aliwalisha watu 5,000 kwa kutumia vipande vitano vya mkate na samaki 2.
 
Week yote hii kumekuwa na vikao kati ya IGP Siro, Jaji kaijage wa NEC, Shibuda kubwa jinga na Lipumba ni vikao vya kuivuruga kuihujumu kuidhoofisha chadema na kumzuia Tundu lisu kugombea Urais 2020
Walaaniwe!
 
Hicho kigezo chako ni cha kibwege sana hutumii hata Akili yako ndogo ya kufua chupi? Hujui kuwa binadamu akishambuliwa hujitahidi kuficha kichwa? Acheni maswali ya kijinga jinga
Alificha kichwa kwenye mchanga?alikificha na viganja?
 
 
We endelea kupiga kelele, ukipata akili Magufuri atakuwa tayari ameapishwa na yupo ikulu ya Chameino!
Unsfikiri wewe ndiyo mpinzani wa kwanza Tanzania kuwa mgombea?
Huo ujinga kawatishe akina Lena siyo Magu, au jaji mkuu
Mlivyoenda kuishitaki Tanzania The Gauge mlipata nini?
Au ukipigwa risasi( Kama ni kweli) ulichukua hatua gani?
Ulivyonyanganywa ubunge umefanya nini
?
Na nakuapia, ukipata kura milioni moja , bends kanisani utoe shukrani
Utachezea kichapo ambacho hutasahau kamwe
 
umeamua kuwa upande Wa madikteta? Yaani MTU atoe hotuba halafu usiirushe live mpaka ukamuulize upande Wa pili? You must be joking! Kama stori haiko sawa jibu, kama unaona umeonewa nenda mahakamani! Hii sheria ya hovyo kabisa, TCRA na Waziri Wa habari wamepewa rungu na sheria kuua Uhuru Wa habari, Jiwe anapita na kuropoka hovyo hatujasikia hatua zozote toka kwa wanafiki wakubwa hawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…