Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema pingamizi ya kufanya kampeni kabla ya wakati ni kelele za kupuuzwa, awananga wahariri wa Vyombo vya Habari

Plan was Lissu to die; kulikuwa hakuna nyingine...

Sasa Lissu aliye hai tena atatusumbua mno!! Njia nyepesi ni kukata jina na kumsweka ndani tupumue pumue wakati wa kampeni...

Atatoka tukishamwapisha Rais wetu!!
Wewe mbweha dua zako za Bangi zitakupa laana unakufa mda si mrefu kwa laana acha ufala wako hakuna cha kukata jina wala kuwekwa jela utasubiria sana
 
Waanze na Jiwe kumkata
Vigezo na masharti kuzingatiwa, kama hatimizi atakatwa, wote tunapitia hayo kwenye maisha yetu, tusipotimiza vigezo vilivyowekwa aidha kwa kujua au kutokujua tunakatwa, ...
 
Toka aanze kuongea ni kelele tuu.. hajaongea point.

Na watu wanampuuza tu.
 
Lissu hawezi kuzungumza bila kuongelea risasi zakeHawezi kwenda ikulu kwa kuwaeti alipugwa risasi 100 hakufa
[/Q
Ati nawe ni mama wa familia na inakutegemea kwa kila kitu hivi si bora hiyo familia iongozwe na shetani.
 
Ndo mana hata vyombo vya habari vinampuuza
Vyombo gani vinampuuza? Vyombo vyako huko unaposhinda ukivuta Bangi na kutojua kuwa mtukufu na CCM ndiyo wamezuia vyombo vya habari kuripoti habari za Tundu lisu, Hakuna mabaya yasiyo na mwisho, walikuwepo akina Bokasa, Gadafi, Sadam Hussein, chiluba, Abacha, mabutu, Elbashiri, Iddy Amin Dada wapo wapi sasa?
 
Awamu hii kidogo uchaguzi wahusika wasipokuwa makini vurugu zaweza tokea maana kuna dalili mimi kama kamisaa nishaanza kuziona na kusikia.
Ni suala la muda tuu.
 
Wanaopiga kelele ooh mabeberu ni wendawazimu Tundu, hupaswi hata kupoteza muda kuwazungumia. Walevi tu wa siasa ndio wanaoimba mabeberu na wengine kurudia kama kasuku. Upumbavu mkubwa sana tunao Watanzania
 
Ubeberu ni hoja mfu ya wapigania Uhuru miaka mingi ilopita....kuwaaminisha watu ushoga pia ni upumbavu tu.
 
Tunisia Egypt Algeria malawi Zambia kenya congo ghana Gambia Zimbabwe walikuwa na Tabia hizo sasa wapo wapi?
 
Julisha kama kuna mwenye majibu ya maswali waliyouliza waandishi wa habari maana muendelezo wake haupo
 
Dawa ni kuwapa kichapo cha mbwa koko kubwa jinga Shibuda na Profeselii Lipumba waliotumwa na CCM kwenda kufanya ushetani wao.
Ya mwaka huu yatakuwa fundisho we subiri tu mkuu
 
Kwenye video hakuna kitu kizuri Kama kumona TAL akisimama kwa zaidi ya dak 40, akihutubia logically na kuandika....The Man is functioning normally as if nothing happened to him.
 
Bora umewaambia Mh.Rai mtarajiwa,ubishi wa CCM unaweza kuleta sintofahamu nchi hii.Wasijaribu kuchakachua hatua yoyote ya mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2020,Sisi wapenda haki hatutakuwa tayari kwa dhuluma.
CCM, nawashauri Mara hii moja maishani mwenu msifikirie kuiba kura ili mjitathmini kukubalika kwenu kwa asilimia halisi.Msijidanganye kwa gharama ya Watanzania, hamkubaliki Haya chembe.Pia kuweni wazi na msimdanganye mwenyekiti wenu ili astaafu kwa Heshima.
 
Nimesoma alichokiongea nahitimisha kwa kusema hakuna la maana zaidi ya kujihami .

Chonde chonde Tume ya Taifa ya Uchaguzi nawaomba sana huyu mtu msimuondoe kwenye kinyanganyiro huyu mtu tuachieni tumfundishe nini maana ya siasa.

Tuachieni tumuonyeshe kwamba hatuvutiwi na Siasa za kutembea na Risasi matakoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…