Nami nimeiona ingawa inaelekea ilichelewa kuingiaLeo maajabu, nimeiona maiki ya TBC pale, sijui waliirusha live au watairusha baadae hiki kipindi?😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami nimeiona ingawa inaelekea ilichelewa kuingiaLeo maajabu, nimeiona maiki ya TBC pale, sijui waliirusha live au watairusha baadae hiki kipindi?😂😂😂😂
Wenzake hurushwa live na mainstream media za Muzungu yeye eti Dar mpya halafu tunatishana eti Muzungu ana msapoti, mawe, ...
Wajifanyao hamnazo kama wewe ni Wa kupuuzwa!Kushindwa kukuelewa kwangu kunaweza kuwa ni tatizo la pande zote mbili, ...
Yeah mwanzo haikuwepo pale, labda itakuwa walijishtukiaNami nimeiona ingawa inaelekea ilichelewa kuingia
IGP na mkurugenzi wa NEC jaji kaijage wapo kwenye uchunguzi mkubwa wa siri na vyombo vya uchunguzi vya kimataifa zikiwemo taasisi za haki za binadamu na mahakama ya uhalifu The HagueNimemsikiliza mpaka ilipokatika na nahisi kuna ujumbe mzito.Jambo la kwanza siamini kama kweli JPM ana hofu kubwa ya kushindwa kiasi hicho ila kuna watu ndani ya CCM na serikali (rogue elements) ambao wanataka kumfurahisha JPM kwa kudhulumu haki za wengine.hili linatakiwa JPM mwenyewe alikemee la sivyo linamtia doa na kumpaisha Lissu bila sababu.
Jambo la pili ni kesi zinazomkabili Lissu,busara itumike amalizane na uchaguzi then apambane na kesi zake za uchochezi na hapo hata akienda Segerea sympathizers watakuwa wachache kuliko ikifanyika leo.
Jambo la tatu ni vyombo vya dola,kukwepa double standard na kuzipa tuhuma zote uzito sawa na tayari mfano Tulia Ackson na Sugu umeshaingia ndani ya records.
Jambo la nne ni tume ya uchaguzi ionyeshe anagalu kuwa iko concerned na yaliyotokea angalau hata kwa uwaondoa katika usimamizi wa uchaguzi wale wote wanaoonekana kwenda kinyume na kanuni hasa hao ambao wamenyima wapinzania fomu au kutoa fomu kwa mtu mwingine.
Jambo la tano ni kauli ya Lissu kuwa watakubali kushindwa katika uchaguzi huru na wa haki.Angalau NEC itusaidie kuonyesha kuwa mchakato ulikuwa huru na wa haki ili Lissu akishindwa tusaidiane na CCM kumzomea.
Kama tulivyopata habari za msiba wa Mkapa na tukahuzunika na tukamzika ndivyo uchaguzi utakavyopita,tutafurahi/kuhuzunika lakini mwisho wa siku maisha ni lazima yaendelee.
Wamezingua sana kwenye maswali wa kazima kabisaaKumetokea nini?
Maana hii video yako imefika dakika ya 36:38 ikaanza kupiga honi mfululizo na video kukata moja kwa moja....
Kama kuna iliyo njema mpaka mwisho, turushie tafadhali...
Binafsi nina shauku kubwa mno kumtazama na kumsikiliza Mh. Rais wetu, Ndg Tundu A.M. Lissu...
Yaani nina bajeti maalumu ya bando kwa ajili ya kufuatilia chochote kumhusu Tundu Lissu...!
Lipumba na shibuda wamechukua pesa toka CCM juzi kwa ajili ya kwenda kumwekea pingamizi Tundu lisu ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi
Ashikilie hapahapa!!! Mimi mwenyewe nilienda kushangaa hikihiki anachobisha, na Kura yangu haipati, Maana Kwa picha ni Lisu lakini ndani yake sivyo tumwonavyoLissu ameendelea kusema watu hawakwenda kumshangaa mtu aliepigwa risasi 16
MKUU HAAKUPIGWA RISASI YULE HAYAWANI ILA ALIPARAZWA PARAZWA TU ZILELissu hawezi kuzungumza bila kuongelea risasi zakeHawezi kwenda ikulu kwa kuwaeti alipugwa risasi 100 hakufa
Kura yako kampe Lipumba kama umeamua kuwa kigeugeuAshikilie hapahapa!!! Mimi mwenyewe nilienda kushangaa hikihiki anachobisha, na Kura yangu haipati, Maana Kwa picha ni Lisu lakini ndani yake sivyo tumwonavyo
Kampeni bado...Kwenye kampeni ndiko twaongelea sera.Lissu hawezi kuzungumza bila kuongelea risasi zakeHawezi kwenda ikulu kwa kuwaeti alipugwa risasi 100 hakufa
Dawa ni kuwapa kichapo cha mbwa koko kubwa jinga Shibuda na Profeselii Lipumba waliotumwa na CCM kwenda kufanya ushetani wao.Sasa wakate jina la TL kwa vigezo vya ccm ndipo watajua hasira za wananchi zimefukuliwa wapi, maana walizoea kuwachukulia watanzania kama mazombi kwamba lolote wanaloamua wao kwa maslahi yao linafuatwa... Watanzania wasasa sio wa 2010 wala 2015 kimtazamo na kiuthubutu
Ashikilie hapahapa!!! Mimi mwenyewe nilienda kushangaa hikihiki anachobisha, na Kura yangu haipati, Maana Kwa picha ni Lisu lakini ndani yake sivyo tumwonavyo