Hakuna mabadiliko yatakayopatikana Tanzania miaka ya karibuni bila ridhaa ya CCM, CCM kugawanyika au nguvu kubwa zaidi ya CCM, soma alama za nyakati wafahamu watu wa nchi yako vizuri.Mkuu, kama watu wangekua wanasikiliza ushauri wako kusingekua na mabadiliko ya aina yeyote duniani.
Sasa mkuu kwenye mapambano seriously mkiwa wengi hamwezi kufanikisha , maana kuna ma snitch humo humo bora muwe wachache , wenye nia moja , msimamo mmoja .Watu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye.
Hii ni probability mkuu labda kama umeanza kufuatilia haya mambo baada ya magufuli kushinda u_rais .Hakuna sababu ya kuendelea kushikilia huo msimamo na kutesekea gerezani wakati haitaleta utofauti wowote.
Yes, I agree with these scripturesKwa kila jambo kuna majira yake, Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu. Wakati wa kuzaliwa, na wakati wa kufa; Wakati wa kupanda, na wakati wa kung'oa..-Muhubiri 3:1-8
Ni lazima unaowatetea au kuwapigania wakupambanie? Thawabu ya kujitoa kwako kwa ajili ya watu hutolewa kwa nani..kwako peke yako au keako na wale wanakupambania..mbona Lissu alipojeruhiwa kwa risasi hakuna aliyesema km haya unayosema? Una uhakika Lisu anaumia sana kuwa gerezani zaidi ya maumivu ya risasi alizopigwa wakati ule? Acha unafiki..mwache Lisu atimize kile dhamira yake inamuongoza kufanya!Watu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye.
Hakuna sababu ya kuendelea kushikilia huo msimamo na kutesekea gerezani wakati haitaleta utofauti wowote.
Maneno haya ungemshauri mandela wakati ule ungeuliwa sekunde tu.Watu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye.
Hakuna sababu ya kuendelea kushikilia huo msimamo na kutesekea gerezani wakati haitaleta utofauti wowote.
Alipoitisha maandamano ulishiriki?Watu hawapambaniwi siku moja, elewa.Industrial revolution ya Ulaya,Mapinduzi ya China/Russia na hata vita vya America kwa mfano tu,jitihada hazikuzaa matunda kwa siku moja.Sehemu nyingine ilikuwa miongo,karne hadi karne.
Unamkumbuka aliyeita raia wake wanaompinga panya..yupo? Nini kilimtokea..! ccm ya wanawake unaona kuna kitu hapo..punguani ndio hawezi kuona kile kinakuja kuwapata ccm muda si mrefu!Hakuna mabadiliko yatakayopatikana Tanzania miaka ya karibuni bila ridhaa ya CCM, CCM kugawanyika au nguvu kubwa zaidi ya CCM, soma alama za nyakati wafahamu watu wa nchi yako vizuri.
Ndugu Tachu hano mpaka sasa una doubt na nia ya Tundu Lissu ktk mapambano haya?Mifano ni mingi tusibeze anachofanya LISU kama ana nia njema.
Jamaa Nilikuwa nakuheshimu lakini leo nimekuona bonge la kilaza. Kwani mtu anapokuwa na harakati zake wewe unaathirika na nini?Hawatamnyonga kwa kamba ila watamnyonga kwa kuhakikisha anaozea gerezani huku watu wakiendelea na maisha mengine bila kujali.
Ni kweli unaongea uhalisia, lakini hapa kuna mawili either ccm kugawanyika yenyewe au kugawanywa. Inawezekana ikatumika nguvu ya ndani yake au ikatumika nguvu ya kutoka nje na zote zinazweza kuwa na matokeo au zisiwe nayo.Hakuna mabadiliko yatakayopatikana Tanzania miaka ya karibuni bila ridhaa ya CCM, CCM kugawanyika au nguvu kubwa zaidi ya CCM, soma alama za nyakati wafahamu watu wa nchi yako vizuri.
Je,utaniuliza nilikuwa upande gani mwa washika bendera na nilivaa nguo gani?Alipoitisha maandamano ulishiriki?
Jibu swali ulikuwepo au haukuwepo?.Je,utaniuliza nilikuwa upande gani mwa washika bendera na nilivaa nguo gani?
akili ya wafu hiiWatu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye.
Hakuna sababu ya kuendelea kushikilia huo msimamo na kutesekea gerezani wakati haitaleta utofauti wowote.
Kama nilikuwepo utasononeka AU kama sikuwepo utafanya hafla?Jibu swali ulikuwepo au haukuwepo?.
Hata wewe?!Watu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye.
Hakuna sababu ya kuendelea kushikilia huo msimamo na kutesekea gerezani wakati haitaleta utofauti wowote.
Yawezekana ilikuwa maigizo,na sasa ni ngozi bila kifuniko.Hata wewe?!