Hakuna mabadiliko yanaweza kutokea ndani ya ccm hilo ondoa akilini. Labda uniambie kwa njia ya dola. Ccm ni kikundi cha dola ila kimevalishwa koti la chama cha siasa ndio maana unadhani kina nguvu hiyo. Wataka mabadiliko ndani ya ccm ndio akina Gwajima ambaye kaongea juzi leo haonekani alipo! Mwingine ni huyo Mpina leo kaambiwa hafai ubunge na hakuna atakalofanya.Hakuna mabadiliko nje ya CCM yatakayotekea kupitia raia mkuu kwa miaka ya hivi karibuni. Mabadiliko yanaweza kutokea ndani ya CCM na dola tu.
Ameropoka nini?Twambiemuhimu zaidi ni ajiepushe na uropokaji unaokiuka sheria na kutegemea public sympathy ambazo hazijawahi kumsaidia kisiasa ispokua kiuchumi
Ukweli na uhalisia ni kwamba CCM imedhibiti kila sekta nchini kuanzia dola, sanaa, muziki hadi mpira na pia kundi kubwa la dini, sio rahisi kupambana nayo.Sijategemea kama unaweza kuandika uzi w anamna hii, nilikuheshimu kama mpambanaji na mpinga dhulma hapa JF
I am disapointed
Aliyewaambia hiyo mbinu itamtisha kawadanganya. Mbona alipigwa risasi kwa maagizo ya dhalimu magu, na akarudi kugombea urais huku akimpaka vibaya dhalimu magu?Nenda kamsaidie kunyea ndoo, yaani mwenzio anateseka we umeweka makalio yako hapo ulipo eti yuko tayari kwa lolote, kwanini ww usiwe tayari kufa? Km angekuwa tayari mbn mwaka 2020 alitorokea Ulaya kupitia ubalozi wa Ujerumani? Kadanganye wehu wenzio, Lissu sahv anajutia ht jana alikuwa anaongea akiwa amepanic, amekata tamaa. Akitoka this time hatarudia ujingaujinga
Ngoja tuone; nionavyo mimi tofauti; Yz mpya yaja. Kibibi kitang'oka .......Hawatamnyonga kwa kamba ila watamnyonga kwa kuhakikisha anaozea gerezani huku watu wakiendelea na maisha mengine bila kujali.
Si kama Mwendazake, kundi la kuchukia mfumo huu linaongezeke, likifurika ndio penye utamu wenyeweUkweli na uhalisia ni kwamba CCM imedhibiti kila sekta nchini kuanzia dola, sanaa, muziki hadi mpira na pia kundi kubwa la dini, sio rahisi kupambana nayo.
Kwani mabadiliko ya Tanzania hayaungwi mkono na UE na Marekani?Soma vizuri mapambano ya ANC, jinsi nguvu ilivyochangiwa na ANC, Umkhonto we Sizwe (MK), Mataifa ya mstari wa mbele, USSR na hata baadaye Marekani, kufananisha hayo mapambano na haya ya Tz ni kituko cha karne, mbingu na ardhi.
Ni lini umeanza kumfahamu Lissu?
Nyie ndio baadhi ya watu ambao ni wengi mmekuja dunia kama wapita njia tu hakuna Mtakachoacha hapa duniani.Watu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye.
Hakuna sababu ya kuendelea kushikilia huo msimamo na kutesekea gerezani wakati haitaleta utofauti wowote.
TL anakaribia ushindi....ambaye hajaoba basi amefumbwa macho asione. Ni bahati mbaya sanaAlipoanzisha harakati zake za kisiasa ulimshauri hadi uje na masikhara ktk kipindi hiki?
Umemjua lisu toka 95 lakini bado unataka watu wakamshari; ina maana hujui kuwa lisu ni mtu mjuaji na asiyesharika? Mpaka mawakili wake wamebwaga manyanga na kumwachia likesi lake wewe unadhani mchezo?Watu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye.
Elewa mantiki bossKwani hao anaowatesekea ndio wamemuweka ndani?
Kabisa. Afu hapo hapo matapeli yanapamba moto kutoa ushauri wa kitapeli.TL anakaribia ushindi....ambaye hajaoba basi amefumbwa macho asione. Ni bahati mbaya sana
HahahaKabisa. Afu hapo hapo matapeli yanapamba moto kutoa ushauri wa kitapeli.
Umemjua lisu toka 95 lakini bado unataka watu wakamshari; ina maana hujui kuwa lisu ni mtu mjuaji na asiyesharika? Mpaka mawakili wake wamebwaga manyanga na kumwachia likesi lake wewe unadhani mchezo?
Angekuwa ni mtu mwenye akili timamu angekusikia hata wewe tu bila watu wengine kuhitajika kwenda kumshauri.
Katika moja ya kanuni za kivita, unaona umeelemewa na adui, surrender ili utunze maisha, ili baadae uendelee na mapambanoWatu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye.
Hakuna sababu ya kuendelea kushikilia huo msimamo na kutesekea gerezani wakati haitaleta utofauti wowote.
halafu iweje?Watu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye.
Hakuna sababu ya kuendelea kushikilia huo msimamo na kutesekea gerezani wakati haitaleta utofauti wowote.
EU na Marekani sasa hivi hawana muda na Africa, wako wanamenyana na Russia, Iran na China, msiwategemee kabisa.Kwani mabadiliko ya Tanzania hayaungwi mkono na UE na Marekani?
Au hujasikia matamko yao? Hujasikia hadi wakitujadili?
Kweli tuli ku overate sana humu. We ni kilaza wa hatari sana.