Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii

Tundu lisu Hawezi Kamwe kuwa na kuja kuwa Rais wa nchi hii, Lisu Hawezi Hata kidogo kuwa Amiri Jeshi mkuu wa nchi hii, Lisu Ni mropokaji, mpayukaji, Amejaa mihemuko na jazba, Hana hekima Wala busara, Hana Subira Wala Nidhamu ya kiuongozi, Hajuwi miiko ya kiongozi, Lisu siyo kiongozi Yule, Hawezi kuwa Rais Hata TFF tu, Amejaa kauli za kuwagawa watu na kuwadharau watu, Hawezi kuwaunganisha watu zaidi ya kuwagawa watu, mdomo wake Hauna breki wala hajuwi aongee Nini na kwa wakati gani, Yule Lisu anapaswa kuongozwa na siyo kuongozaa
 
Huyo ni Mrema ajaye!

Atapita mulemule.
 
Mtu hajawahi hata kuwa Mwenyekiti wa chama, ndiyo aje kuwa rais!!?
 
salute.png
TUNDU LISSU.
 
Nawaambia Kama ilivyoandikwa kwenye Vitabu vitakatifu Biblia na Quran Kuna siku yaja Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii.

Kama ambavyo Mkapa, Kikwete na Magufuli walipambana na Tundu Lissu wakashindwa.

Ila Rais Samia yeye ataanguka kabisa iwepo Katiba mpya au isiwepo Tundu Lissu will become the next president after Samia.

Tunza hii kwenye kumbukumbu ya memory ya kichwa chako kwamba Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii.
Labda awe Rais wa CHANETA madada wenzake
 
Lisu akirudi kwa jinsi alivyokuwa na vibe, ni lazima CCM wapore tena uchaguzi, na matumizi makubwa tena ya vyombo vya dola yakae hadharani. Lisu ana nyota kali sana ya mvuto.

Zile kampeni za 2020 zilimuacha Magufuli na msongo wa mawazo, hakutegemea kama Lisu angeweza kupata uungwaji mkono wa kiwango kile. Na sababu hiyo ilibidi apore uchaguzi maana alijua matokeo halali yangemuacha na fedheha yeye na ccm yake.
Na stress zilimfanya ashindwe kujiamini na kutokufuata COVID protocol akafa.

Akafa manina zake na nchi imekombolewa. Mauwaji ya kiholela hakuna tena zaidi ya mauwaji ya police
 
Tundu lisu Hawezi Kamwe kuwa na kuja kuwa Rais wa nchi hii, Lisu Hawezi Hata kidogo kuwa Amiri Jeshi mkuu wa nchi hii, Lisu Ni mropokaji, mpayukaji, Amejaa mihemuko na jazba, Hana hekima Wala busara, Hana Subira Wala Nidhamu ya kiuongozi, Hajuwi miiko ya kiongozi, Lisu siyo kiongozi Yule, Hawezi kuwa Rais Hata TFF tu, Amejaa kauli za kuwagawa watu na kuwadharau watu, Hawezi kuwaunganisha watu zaidi ya kuwagawa watu, mdomo wake Hauna breki wala hajuwi aongee Nini na kwa wakati gani, Yule Lisu anapaswa kuongozwa na siyo kuongozaa
-hebu taja miongoni mwa kauli za Lissu za kuwagawa watanzania
  • hebu taja kitu alichoropoja lissu ambacho ni cha hovyo?
  • Kwa hiyo mtu mkimwa ndio anafaa kuwa Rais?
-
 
Tundu lisu Hawezi Kamwe kuwa na kuja kuwa Rais wa nchi hii, Lisu Hawezi Hata kidogo kuwa Amiri Jeshi mkuu wa nchi hii, Lisu Ni mropokaji, mpayukaji, Amejaa mihemuko na jazba, Hana hekima Wala busara, Hana Subira Wala Nidhamu ya kiuongozi, Hajuwi miiko ya kiongozi, Lisu siyo kiongozi Yule, Hawezi kuwa Rais Hata TFF tu, Amejaa kauli za kuwagawa watu na kuwadharau watu, Hawezi kuwaunganisha watu zaidi ya kuwagawa watu, mdomo wake Hauna breki wala hajuwi aongee Nini na kwa wakati gani, Yule Lisu anapaswa kuongozwa na siyo kuongozaa

Mkuu samahani ,hivi alipokuwa rais wa TLS ulikuwa bado hujazaliwa ? Kama ulikuwepo utaweza nikumbusha alipitia figisu zipi kabla ya uchaguzi kufanyika wa TLS ?
 
Back
Top Bottom