Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii

Inawezekana lakini kwa mapito tuliyopitia kama Taifa kuanzia 2015 to 2021 yamenifundisha kitu, kwamba watu wenye misimamo mikali na wenye akili zilizopitiliza hawafai kuwa na mamlakaa ya juu kabisa, wanafaa kuwa watendaji wakuu chini ya watu wengine ili wawashikie breki
 
Lisu akirudi kwa jinsi alivyokuwa na vibe, ni lazima CCM wapore tena uchaguzi. Lisu ana nyota kali sana ya mvuto.
Mkuu Tindo, with due respect, do you believe Lissu alishinda uchaguzi halafu NEC wakampora?. Kura zote hadi za urais @1 zimehesabiwa vituoni na matokeo kubandikwa ubaoni huku kila wakala akisaini matokeo!, wazi huo umefanyikaje?.

Jee unajua kwamba kwenye urais wa Tanzania kuna kura ambazo ni determinant ya nani anakuwa rais wa Tanzania?.
Je unajua JPM aliibukia wapi hadi kugombea urais wa JMT?.
Kwa kukusaidia tuu, the determinant votes za mtu atakayekuwa rais wa Tanzania ni kura za Kanda ya Ziwa, baada ya the deep state kumfix EL, walijua akikatwa atahama chama na ataingia ikulu!, ili kumzuia asiingie ikulu ilibidi atafutwe mgombea Msukuma atakaye uzika ndipo jina la JPM likaibuliwa wakati huo hata JPM mwenyewe hajui!. Angalia tarehe ya bandiko hili na uzisome sababu za kwanini ni Magufuli Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Yaani mgombea Msukuma ashindane na Mnyaturu halafu Mnyaturu amshinde Msukuma, kisha kura za Mnyaturu zikaibiwa akapewa Msukuma!. Haitakuja itokee!.
Zile kampeni za 2020 zilimuacha Magufuli na msongo wa mawazo, hakutegemea kama Lisu angeweza kupata uungwaji mkono wa kiwango kile. Na sababu hiyo ilibidi apore uchaguzi maana alijua matokeo halali yangemuacha na fedheha yeye na ccm yake.
Duh...!.
Haya bana!.
P
 
Hizi ni pumba andamizi.kukiwa na katiba mpya inayofuatwa na tume huru ya uchaguzi.TL atakua rais.polisi na mahakama wasipotumika na ccm,nani wa kumzuia TL ikulu???.usikariri
Kwenye kura za urais, the determinant of victory is not the vote cast, but the vote count!. Hivyo anayeamua nani ashinde uchaguzi sio mpiga kura wala sio idadi ya kura za ndio, bali ni mhesabuji kura!.
P
 
Jamaa mwongo Huyu,
Wapi kwenye vitabu vitakatifu pameandikwa lisu atakuwa rais wa tz
 
Ukiona unaota sana ndoto za mchana ujue karibu utakuwa chizi
 

Sio lazima Lisu awe alishinda uchaguzi, bali matokeo yaliyotangazwa hayakuwa sahihi. Hata kama liko gap, sio lililotangazwa. Na kilichofanyika kwenye uchaguzi ule tulikiona kwa macho yetu. Isitoshe hata idadi ya wapiga kura ilikuwa ni ya kupika ili kumpa magufuli kura azitakazo.

Ukitaka kujua kuwa hakukuwa na uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura, ingia kwenye tovuti ya NEC kama hata wamethubutu kuweka matokeo ya uchaguzi ule.
 
Hivi kweli una ubongo?
 
Wewe mtoto wa Igamba hutaki urahisi? Wewe jamaa Ni mpga ngonjera asie na Meno ila ulimi anao!!
 
Wenyewe tu watu wa chadema hawawezi kubali Lissu awe raisi.
 

Tundu Lissu ana uelewa mkubwa sana wa mambo mengi kwenye nchi yetu, anasoma sana, ni vizuri kwa mtu wa ngazi ya urais kuwa na uelewa mkubwa wa historia ya nchi yake kama alivyo Lissu.

Kuhusu urais, sidhani. Namuona anafaa sana kwenye nafasi ya uwaziri mkuu. Kama Magufuli, alikuwa anafaa kwa nafasi ya uwaziri mkuu.

Urais unamfaa mtu mwenye utulivu, anayefikiria sana kabla ya kutenda.
 

Wakati mwingine njia za Mungu hazichunguziki. Uwe unaombea viongoz Wa nchi pengine utaliona hili
 

Sifa zote hizo na Magu alikuwa nazo. Hili nalo uliangalie
 
Mkuu Tindo , hili nakubaliana nalo na ndio maana karma imetimiza wajibu wake, ila akina sisi wasoma trends, matokeo ya uchaguzi wa 2020 tuliyaona kitambo toka ile ile 2014 na tukawaandaa Watanzania kuyapokea na Elections 2015 - Ushauri wa Bure Kwa Lowassa: Kwa Vile ni Magufuli, Kubali Matokeo, Vunja Kambi, Jisalimishe! na Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania ilihitaji Dikiteta, tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba! na Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him! na Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? humo nilisema
Na tukijiandaa kwa uchaguzi wa 2020, niliendelea kuwaandaa Watanzania kwa kitakachotokea uchaguzi wa 2020,
  1. In 2015 Election, Tanzania had A Choice To Choose From. Jee Kwa 2020, Do We Still Have A Choice?
  2. Uchaguzi 2020 - Japo ni mchungu 'Kumesa' lakini ndio ukweli wenyewe; watakaorudi Bungeni ni 'wa kijani', kubali kataa. Mwenye masikio na asikie!
  3. Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
  4. Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au ni Magufuli tu?
  5. The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja
Kwa hiyo kwenye matokeo ya 2020, there were no any surprises at all, matokeo hayo were expected
P.
 
Wewe ni mpuuzi kabisa tena ni mpuuzi hivyo tuu sina maneno zaidi kukuita mpuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…