Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii

Kwa hali tunayopitia watanzania wa kipato cha chini hata mkimpa Urais bwana Kingwendu ..kikubwa ukali wa maisha upingue huku mtaani.
 
Kwa hiyo ikulu yetu unaifanya ni sehemu ya majaribio?, unataka tujaribu kuitest sumu kwa kuilamba ili kuionja?. Elections 2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!
Amini usiamini hata dikiteta naniliu atakuwa ni afadhali.
P
Majaribio makubwa ni yale ya mwaka 2015 na tulifeli vibaya kiasi cha kuharibu misingi ya nchi hadi leo.
Wewe kama wakili huoni ubaya wa nchi ikishaingia kwenye utawala usioheshimu sheria?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Majaribio makubwa ni yale ya mwaka 2015 na tulifeli vibaya kiasi cha kuharibu misingi ya nchi hadi leo.
No !, Id like to differ!, japo Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania ilihitaji Dikiteta, tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!, Blaza ameisaidia sana nchi kwa kutunyoosha.
Wewe kama wakili huoni ubaya wa nchi ikishaingia kwenye utawala usioheshimu sheria?
Sometimes katiba, sheria, taratibu na kanuni ni kikwazo, hivyo ni akina sisi tulimshauri Blaza Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria, ongoza kwa 'presidential decrees'! ila pia tuliwaanda watu kisaikolojia Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

Now sasa ni wakili kuna vitu nitasaidia kwa kuanza na ibara ya 5 na ibara ya 21 zinatakiwa kwenda sambamba.
P
 
No !, Id like to differ!, japo Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania ilihitaji Dikiteta, tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!, Blaza ameisaidia sana nchi kwa kutunyoosha.

Sometimes katiba, sheria, taratibu na kanuni ni kikwazo, hivyo ni akina sisi tulimshauri Blaza Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria, ongoza kwa 'presidential decrees'! ila pia tuliwaanda watu kisaikolojia Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

Now sasa ni wakili kuna vitu nitasaidia kwa kuanza na ibara ya 5 na ibara ya kuna haki zimetolewa na katiba halafu zinapigwa.
P
Very disappointing,

Tanzania kama nchi inayoamini katika utawala bora, haiitaji kuendeshwa kwa kufuata mihemuko wala uvunjifu wa sheria kufanikisha jambo fulani.

Ni jambo la kusikitisha sana wewe kama wakili na mwandishi wa habari unayetegemewa kuielimisha jamii, unaamini katika misingi isiyo leta haki na uvunjifu mkubwa wa katiba na sheria zilizopo, ikiwemo umwagaji damu wa watu wasiokuwa na hatia kwa sababu ya ubinafsi.
 
Na stress zilimfanya ashindwe kujiamini na kutokufuata COVID protocol akafa.

Akafa manina zake na nchi imekombolewa. Mauwaji ya kiholela hakuna tena zaidi ya mauwaji ya police
Kumbe akili zako hazina akili kumbe
 
Mimi ua nashangaa saana ninapo sikia watu wanasema magufuli alitaka kuua tundu Lissu sijui ilikuwa plan yake kumpiga tundu Lissu risasi

Hivi raisi ninyi mnamchukuliaje kabisa
Jaribu kufatilia ata abari za maraisi ambao walikuwa wauwaji wakubwa
Raisi akikusudia kukua ndugu yangu umepotea ule ungelikuwa ni mpango wa magufuli baada ya kushindwa kumuua kwa risasi alikuwa na uwezo wa kutumia wale madocter ambao walikuwa wana mtibiya ili wamfyekelee mbali kabisa
Au kutumia majambazi na wengine
Lakini kwasababu ule ulikuwa sio mpango wa raisi ndo maana uliona vile baada ya kupigwa risasi madui zake walishindwa kumfatilia
 
The buck stops with him.
 
Nawaambia Kama ilivyoandikwa kwenye Vitabu vitakatifu Biblia na Quran Kuna siku yaja Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii.

Kama ambavyo Mkapa, Kikwete na Magufuli walipambana na Tundu Lissu wakashindwa.

Ila Rais Samia yeye ataanguka kabisa iwepo Katiba mpya au isiwepo Tundu Lissu will become the next president after Samia.

Tunza hii kwenye kumbukumbu ya memory ya kichwa chako kwamba Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii.

Isifute tu uzi, ngoja tufanye nukuu...
 
Nyie tabirini tu ila nawaapia mtakuja kushuhudia umafia wa saa 100 ambao hamkutegemea . Mchukulieni poa muda huu ila mtakuja kuona sura yake halisi ni ipi .
 
Nawaambia Kama ilivyoandikwa kwenye Vitabu vitakatifu Biblia na Quran Kuna siku yaja Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii.

Kama ambavyo Mkapa, Kikwete na Magufuli walipambana na Tundu Lissu wakashindwa.

Ila Rais Samia yeye ataanguka kabisa iwepo Katiba mpya au isiwepo Tundu Lissu will become the next president after Samia.

Tunza hii kwenye kumbukumbu ya memory ya kichwa chako kwamba Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii.
Binafsi kwa mapito aliyopitia,Mungu amfute jasho kwa kumpa urais
 
Back
Top Bottom