Tundu lisu Hawezi Kamwe kuwa na kuja kuwa Rais wa nchi hii, Lisu Hawezi Hata kidogo kuwa Amiri Jeshi mkuu wa nchi hii, Lisu Ni mropokaji, mpayukaji, Amejaa mihemuko na jazba, Hana hekima Wala busara, Hana Subira Wala Nidhamu ya kiuongozi, Hajuwi miiko ya kiongozi, Lisu siyo kiongozi Yule, Hawezi kuwa Rais Hata TFF tu, Amejaa kauli za kuwagawa watu na kuwadharau watu, Hawezi kuwaunganisha watu zaidi ya kuwagawa watu, mdomo wake Hauna breki wala hajuwi aongee Nini na kwa wakati gani, Yule Lisu anapaswa kuongozwa na siyo kuongozaa