PreGE2025 Tundu Lissu atengua uteuzi wa CPA Catherine Ruge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

..G55 walipaswa kutoa nafasi kwa " No Reforms No Elections " kutekelezwa, lakini wao wanaipinga wakati kampeni hiyo imefanyika ktk kanda moja tu ya chama.

..Suala la Sigrida siwezi kusema amepigwa, au hajapigwa. Nasubiri lifike mahakamani ndipo nitakapoweza kutoa mtizamo wangu.
 
Unaona sasa! Kipenda chongo huona kengeza. Hakuna hata mmoja anayesema kuwa Sigrida hakupigwa. Wanachozungumzia ni yaliyotokea ndani ya kikao na kuwa hakuumia sana kwa sababu alionekana baa baada ya kikao. Unashindwa hata kuweka caveat ya kama ni kweli alipigwa basi haikuwa sawa".
Narudia tena kuwa hawajapinga. Walichofanya ni kutoa tahadhari kuwa approach sio nzuri. Ulitaka wasubiri mpaka lini? Maana hamna ultimatum iliyotolewa kuhusu Reform. Hakuna aliyesema ikifika tarehe hii bil Reform tutachukua hatua zifuatazo.
Sidhani kama mnamtendea haki Lissu kwa hii blind loyalty. Anahitaji watu wa kumwambia ukweli wao maana sycophants ni wengi mno.

Amandla...
 

..G55 nao wanataka kuzunguka nchi nzima.

..tusubiri suala la Sigrada lifike MAHAKAMANI ili tutoe hukumu ya haki.
 
Kabisa mkuu. Hivi Vicent Nyerere yuko wapi? Alikuwa mbunge 2005-2010
 
..G55 nao wanataka kuzunguka nchi nzima.

..tusubiri suala la Sigrada lifike MAHAKAMANI ili tutoe hukumu ya haki.
Hizo za kuzunguka nchi nzima ni tetesi na bila shaka ni muendelezo wa mipango ya kuchafuana.

Kweli leo Chadema mnasubiri Mahakama ndio mjue kama kweli amepigwa au la? Bila shaka akisema hataki mtu ashitakiwe mtasema kuwa anaogopa kuumbuka. Hivi wanapopigwa wengine huwa mnasubiri hukumu za mahakama ndio muamini kuwa kweli wamepigwa? Jambo la aabu sana.

Amandla.....
 
Hongera Lissu. Kamatia hapo hapo.

Hawa kama wanataka kugombea ubunge waende vyama vingine watapewa nafasi.
 

..kwasababu kuna story mbili kuhusu kilichomtokea Sigrada, na zote zinatoka ndani ya CHAMA, ndio maana nasema ni busara kusubiri mahakama iamue.
 
Yaani wao kinachowauma ni kupata ubunge hayo mengine sio shida zao,
wanachojali ni matumbo yao tu.
 
MAMLUKI wa Mbowe hao. CDM inapaswa kuwapuuza tu, watapoteana na bosi wao aliyewatuma.
 
Hao G55 wakifanya mpambano uwe majimboni wanao uhakika gani wa kufanikiwa? Katika chaguzi zote hapa Tanzania,kumtangaza mshindi mpinzani ni vita kweli kweli majimboni.

Kwamba,mnawasemea CCM watakuwa malaika wema sana safari hii kwenye uchaguzi wa 2025.

Wanataka kupingana na mkutano mkuu,eti ni demokrasia ?

Kule CCM tayari wameshafukuzana,aliyepinga kujiteua mgombea urais alifukuzwa huko.

Kupata ruzuku baada ya uchaguzi kunapigiwa ramli kwa kuwa watu wanataka ubunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…