Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Kama hamtaki watu wafe au waumie ina maana hamtaki waingie barabarani. Mkifanya hivyo uchaguzi utakuwa wa wazi kuliko mnavyotegemea kwa sababu mpinzani mkuu hatakuwepo. Kwa kufanya hivyo mtawapa ushindi wa bure CCM.Reforms lazima zifanyike ndiyo raia tupige kura kama haiwezekani ni heri ccm ibaki madarakani kuliko watu wafe na kupoteza pesa bure,Hawo watia nia ni heri watafute vyama vinavyoshiriki wakagombee huko vyama ni vingi mbona.Uchaguzi wa ujanja ujanja kwenye sanduku la kura na uhuni ufike mwisho sasa ili mamlaka yarudi kwa wananchi.
Unfortunately ni hicho hicho ambacho CDM inawafanyia wakina G55.
Njia sahihi ni hiyo inayopendekezwa na G55. Haya ya mikutano ya hadhara na petition UN haziinyimi usingizi CCM.
Unadhani njia ipi mbadala italeta mabadiliko? Tukumbuke kuwa uwezo wa kukataza mikutano ya hadhara bado wanao. Na kuhakikisha kuwa hatoki mtu kuandamana.
Mwenye uwezo wa kufanya hizo Reforms ni CCM na hawana nia hiyo.
Wanachosema G55 ni kuwa badala ya kuwa na mpambano wa kitaifa, mpambano uwe wa jimboni. Hao wanaohamasishwa kuwa No Reforms No Elections wahamasishwe kuhakikisha haki inatendeka katika majimbo yao bila uoga. Na wagombea watakuwa na haki ya kudai hayo ambayo watapoteza kama hawatagombea. Na watakaoshinda hata kama kwa binde wataendeleza mapambano ndani ya Bunge. Watu kama Ruge, Aida, Suzan wameonyesha kuwa ni wapiganaji wazuri kwenye masuala ya haki. Badala ya kuwa frustrate wangesikilizwa.
Amandla...
Kama hamtaki watu wake au waumie ina maana hamtaki waingie barabarani. Mkifanya hivyo uchaguzi utakuwa wa wazi kuliko mnavyotegemea kwa sababu mpinzani mkuu hatakuwepo. Kwa kufanya hivyo mtawapa ushindi wa bure CCM.
Amandla...
Ooh kumbe huwa anapakwa mafuta? Ndio maana anapigia upatu ushoga!!🤣🤣Safi sana mpakwa mafuta wa Mungu Tundu Antipas Lissu.
Kwani Tanzania Kuna uchaguziFalsafa ya no election haitafanya kazi. Tundu anajidanganya. Jamaa anapiga ndoto za mchana kweupe....
Hajui safari yao diamond na babu tale walipoitwa kule juu ghorofani na p Diddy halafu wewe na Mwenyekiti wangu mkawa wapi siku hiyo kwenye kupigwa nao?Kwa hiyo ndio unaona halali kwa mwenyekiti wako kupigwa nao kwa sababu hiyo!!
Hawatazuia dhulma yote lakini watajitahidi kuzuia sehemu nyingi wawezavyo. Hivi unaamini kupeleka petition UN na EU ndio kutazuia dhulma? Au CCM watatishika mkisema kuwa mtazuia uchaguzi bila kueleza mtauzuia vipi? Safari ya kutafuta haki ni ndefu na ngumu lakini iko siku itapatikana. Hata kama ni baada ya miaka 10 mingine...G55 watawezaje kuzuia dhuluma wakati wameshindwa 2019, 2020, na 2024?
Mwanao anapakwa mafuta akiogaOoh kumbe huwa anapakwa mafuta? Ndio maana anapigia upatu ushoga!!🤣🤣
Kumbe hata Lissu hupakwa mafuta?Mwanao anapakwa mafuta akioga
Lissu ni mwanao?Kumbe hata Lissu hupakwa mafuta?
Ninavyoelewa mimi ni wakina Lissu ndio wana zungumzia uusi na sio G55. Labda uusi huo ni pamoja na kuingia barabarani...kwa hiyo G55 wanataka watu waingie barabarani, au wana offer kitu gani kipya?
Hawatazuia dhulma yote lakini watajitahidi kuzuia sehemu nyingi wawezavyo. Hivi unaamini kupeleka petition UN na EU ndio kutazuia dhulma? Au CCM watatishika mkisema kuwa mtazuia uchaguzi bila kueleza mtauzuia vipi? Safari ya kutafuta haki ni ndefu na ngumu lakini iko siku itapatikana. Hata kama ni baada ya miaka 10 mingine.
Amandla...
Ninavyoelewa mimi ni wakina Lissu ndio wana zungumzia uusi na sio G55. Labda uusi huo ni pamoja na kuingia barabarani.
G55 wanataka mpambano uwe jimboni katika kila hatua ya uchaguzi, kuanzia kushinikiza fomu zitolewe na kupolewe hadi kutangazwa matokeo ya haki. CCM safari hii hawatarudia kosa la kushinda 100%. Na haitaweza kuwanyima kura CDM kiasi cha kukifanya kikose uwakilishi kabisa na kikose ruzuku. G55 wako realistic.
Amandla...
Inawezekana wasifanikiwe lakini wataendelea kupambana. Wewe unaamini kuwa wakina Lissu na watu wa diaspora wataweza kuzuia uchaguzi usivurugwe? Kwamba UN, EU watalazimisha haki itendeke?..baada ya kilichotokea 2019, 2020, 2024, kwanini unaamini G55 watafanikiwa kuzuia uchaguzi usivurugwe?
Hapo unawaonea G55 hawapingi Reforms. Wanachosema njia sahihi ni kuendelea kudai Reforms wakati mnajipanga kushiriki . Tena wamesema mnajipanga kwa siri. Kukabiliana na system ni kama alivyofanya yule dada wa Dodoma katika uchaguzi uliopita wa serikali wa mitaa. Wakitokea watu wa kutosha kama yeye na wananchi wakiwaunga mkono, ufa utatokea maana itakuwa vigumu kuzima moto kila mahali...Na sababu za G55 kupinga Reforms na kutaka kwenda kukabiliana moja kwa moja na system wakati wa uchaguzi ni zipi?
Mbona nimeuzungumzia sana? Kama haunielewi ni sawa tu. Ndio demokrasia inavyopaswa kuwa. Sio hiyo ya visasi na kufukuzana...Mantiki ya uamuzi huo ni ipi? Tafadhali tushawishi ili tukuelewe.
Nimekuuliza what if reforms hazijafanyika kususia uchaguzi kutaleta suluhu??..sababu za watawala kutokufanya Reforms zitakuwa ni zipi?
..hata nikifikiria kwa haraka haraka sioni sababu yoyote yenye mashiko ya kukataa reforms.
..Reforms ni chaguo bora, na lenye maslahi kwa wadau wote wa uchaguzi.
Wamesema wazi kuwa wanaunga mkono Reforms. Shida ni kuwa mmetanguliza suala la wao kupingana na Lissu...G55 watafanyaje yote hayo bila uasi?
..Hivi tunataka uchaguzi wa HAKI, au kudura za CCM?
..Kwa makadirio yao, G55 wanategemea kupata asilimia ngapi, maana umesema CCM hawana nia ya kushinda 100%.
..Mimi nilitegemea G55 walau waunge mkono harakati za No Reform, na ikiwa tutafika wakati wa kuchukua form na hakuna kilichofanyika basi watoe maamuzi yao.
Ametengua wangapi? Ccm mbona kila uchwao mnatengua.Huyu Mkurugenzi wao wa habari, asaidiwe, The Correct title ya TAL ni Mwenyekiti wa Taifa.wa Chadema na sio Mwenyekiti wa Chadema Taifa.
Niko shocked na taarifa hii
Pre GE2025 - Tundu Lissu atengua uteuzi wa CPA Catherine Ruge
Huu ni muendelezo wa udikiteta wa TAL ndani ya Chadema!.
Hii tengua tengua, itafuatiwa na kikao cha dharura cha CC yao kukaa kama a kangaroo court na kuwatimua timua hawa 55!.
Lissu atafukuza wangapi?, Chadema itabakiwa na nani na nini?!
P
ikitokea hivyo, totally chadema itakufa mazima, hakuna wa kuiamini, itakuwa ni genge la wahuni watupu afadhali ya CUF. Hicho kikundi ndani ya chadema ni bora waondoke kama kuwafukuza ni ngumu ili chadema ibaki moja na yenye maamuzi ya kueleweka. Waondoke tu wakaanzishe chama chao kipya au wajiunge na ccm wakafanye siasa zao chafu huko.Lisu Hafiki uchaguzi mkuu akiwa mwenyekiti huyo atakuwa keshapigwa chini uenyekiti
Chadema wanamlia timing tu
Mark my words