Inawezekana wasifanikiwe lakini wataendelea kupambana. Wewe unaamini kuwa wakina Lissu na watu wa diaspora wataweza kuzuia uchaguzi usivurugwe? Kwamba UN, EU watalazimisha haki itendeke?
Hapo unawaonea G55 hawapingi Reforms. Wanachosema njia sahihi ni kuendelea kudai Reforms wakati mnajipanga kushiriki . Tena wamesema mnajipanga kwa siri. Kukabiliana na system ni kama alivyofanya yule dada wa Dodoma katika uchaguzi uliopita wa serikali wa mitaa. Wakitokea watu wa kutosha kama yeye na wananchi wakiwaunga mkono, ufa utatokea maana itakuwa vigumu kuzima moto kila mahali.
Mbona nimeuzungumzia sana? Kama haunielewi ni sawa tu. Ndio demokrasia inavyopaswa kuwa. Sio hiyo ya visasi na kufukuzana.
Amandla...
Nimekuuliza what if reforms hazijafanyika kususia uchaguzi kutaleta suluhu??
Umesoma waraka wao? Hawa wamejitokeza baada ya uongozi wa sasa kutowapa nafasi ya kuelezea msimamo wao. Kumekuwa na maneno ya kuwabagaza na kuwatisha. Tumeona pia namna walio diriki kutoa mawazo yao ndani ya vikao walivyo shughulikiwa. Mbaya zaidi mbinu zile zile zilizochoka za character assassination zinaendelea bila uongozi kusema kitu. Watu wanapataje nguvu za kuwaita watu kama Ruge na Kiwanga kuwa ni pandikizi wa CCM? Na wakina Lissu na Heche wanaangalia tu. Ni wao ndio waliowalazimisha watoke hadharani na msimamo wao...G55, kwa hatua ya sasa, walipaswa kushirikiana na wenzao katika kupigania Reforms, na sio kuanza kubeza na kupingana na uongozi.
..kwa mwenendo na msimamo walioamua kuuchukua ilitakiwa wao wenyewe wahamie chama kingine, na sio kuleta migogoro ktk chama na kusubiri kufukuzwa.
..G55 wamekosa subira. Kampeni za " No Reforms .." hazina hata mwezi mmoja tayari wameanza kupingana na uongozi. Nadhani hiyo sio sahihi.
Mama Samia anaona Reforms ni threat kwa chama chake kuendelea kutawala. Kwake kushinda ni muhimu kuliko 4R...Nipe sababu zenye mantiki za Mama Samia kukataa Reforms ukizingatia falsafa yake ya 4R.
Safi kabisa Lissu is true leader hana mambo ya kulea ujinga kama mtangulizi wake. Chadema sio mali ya mtu ni taasisi ya watanzania wote hasa wabaizaji . Hakuna mtu kubwa kuliko chadema hata Tundu Lisue akienda kinyume na no reform no election tutamtowa. Sasa vikaragosi wa G55 hawana uwezo wa kuyumbisha chama. Kama wanataka kugombea waende NCCR mageuzi au kwa mfadhiri wao ccm na sio kusumbuwa watu na ujinga wao.Tundu Lissu, Mwenyekiti wa chama Taifa CHADEMA leo 5.4.2025 ametengua uteuzi wa mjumbe wa sekretarieti na mtalamu wa dawati la jinsia Catherine Ruge.
Catherine Ruge ni mmoja ya Kikundi cha ndani ya CHADEMA cha G55 chenye Malengo ya kukwamisha Kampeni ya no reforms no Election. Pia wanadaiwa kuhujumu au kuangusha Uongozi uliopo madaraka chini ya Tundu Lissu.
Kundi hilo linadaiwa kudhaminiwa na Freeman Mbowe aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa madhumuni ya kuonesha Umma kwamba Tunddu Lissu na Uongozi wake haukubaliki. Wengine walio kwenye hilo kundi la G55 ni John Mrema naa Mwita
Operesheni #NoReforms NoElection
inaendelea kuchanja mbuga kanda ya kusini.
John Mrema nayedaiwa kuwa Mwasisi wa kutaka kupindua Uongozi wa Tundu Lissu wa Kikundi cha G55. John Alikuwa Mkurugenzi wa Mambo ya Nje kwenye Uongozi wa Freeman Mbowe
View attachment 3294204
Mapema wiki hii Watia nia ya Ubunge mwaka 2025 na waliokuwa watia nia mwaka 2020, (G55) wakiongozwa na Vigogo Adv. John Mallya, Catherine Ruge, John Mrema na Julius Mwita wamechapisha waraka kwenda kwa Katibu Mkuu Chadema, wakieleza kuwa wadau wengi wa Demokrasia nchini hawaungi mkono Mpango wa kuzuia uchaguzi mkuu unaotaka kufanywa na Chama cha Chadema kwani hali hiyo inatafsiriwa na wadau hao kuwa ni sawa na karibu na matendo ya uasi.
Waraka huo ulioandikwa na G55 na kuwakilisha watia nia wengine zaidi ya 200 pamoja na Maafisa wa juu wa Chadema na kushuhudiwa na JamboTv, umesema kuwa Wadau wengi wanaunga mkono harakati za kupigania mabadiliko ya sheria na mfumo wa uchaguzi, wakisita kujiingiza kwenye kuunga mkono mpango wa kutaka kuzuia uchaguzi kwani pia linaenda kinyume na Katiba na sheria za nchi.
Kwa Upande wake Hilda Newton ameishukuru Mungu kwa kuwaepusha CHADEMA na Catherine kwani Alikuwa anagombea UKatibu Mkuu wa BAWACHA akashindwa.
Chini kabisa nitaambatanisha Meseji za WhatsApp za G55 Wanaodaiwa kutaka kupindua uongozi uliopo.
Catherine Ruge akiwa amevaa Mawigi. CPA Catherine Ruge alikuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA #BAWACHA kipindi cha Uongozi wa Freeman Mbowe. Huyu Ruge na Freeman Mbowe ndo Walimpa Rais Samia Tuzo ya Malidhiano huko Arusha.
Na Hilda Newton Chadema
Mungu fundi sana
Imagine leo story ingekuwa isomeka Katibu Mkuu wa Bawacha Taifa apinga Azimio la Chadema la #NoReformsNoElection.
Mungu awabariki sana Wajumbe wa Kamati Tendaji ya Bawacha Taifa ni Kama tulikuwa mbele ya muda.😂
Ukipitia orodha ya watu waliosaini petition ya kupinga #NoReformsNoElection wote ni watu ambao kwenye Uchaguzi wetu wa ndani walikuwa wanamuunga mkono Mhe. Mbowe.
Wengine ni Wajumbe wenzangu wa Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Chama Taifa wakati tunapitisha hili Azimio la #NoReformsNoElection chini ya Mwenyekiti Mbowe na wao walipiga kura ya Ndiyooo tena kwa sauti kubwa sana.
Sasa hivi baada ya Mhe. Lissu kuwa Mwenyekiti wale wale waliopitisha Azimio hili kwenye Vikao halali sasa wametoka dharani kulipinga.
Nakumbuka siku tunapitisha Azimio hili cha Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Januari 2025 kwenye Kikao Mhe. Mbowe aliuliza kuna mtu yeyote mwenye maoni au swali lolote kwenye Azimio hili wote tulinyamaza Kimya kuonyesha kwamba tunaunga mkono.
Najiuliza, haya maswali ambayo wanauliza leo kwanini hawakumuuliza Mwenyekiti Mbowe wakati anaendesha kikao kilichopitisha Azimio hili?
Au walipitisha hili Azimio kwasababu walijua Mhe. Mbowe angeshinda asingetekeleza.?
Mwisho, Kama wao kiu yao ni kushiriki Uchaguzi kwanini wasiende kujiunga na akina NCCR ambao mawazo yao na wao yanafanana ili wapewe nafasi ya kugombea huo ubunge watimize hiyo kiu yao ya kuwagombea bila Reforms?
View attachment 3294232View attachment 3294231View attachment 3294230
Kumbe huyu dogo Mwita ana upumbavu mwingi hivi!Tundu Lissu, Mwenyekiti wa chama Taifa CHADEMA leo 5.4.2025 ametengua uteuzi wa mjumbe wa sekretarieti na mtalamu wa dawati la jinsia Catherine Ruge.

Siwezi toa sababu maana anaeweza Sema kwanini ni Samia mwenyewe. Nauliza tena what if Samia hajaleta hizo reforms unafikiri CDM itaweza kuzuia uchaguzi?..Nipe sababu zenye mantiki za Mama Samia kukataa Reforms ukizingatia falsafa yake ya 4R.
Unajua ukweli kwamba mwenyekiti wako shoga, na huumii, unatoa mifano ya kuonyesha kuwa ni kawaida sana! Ha ha haHajui safari yao diamond na babu tale walipoitwa kule juu ghorofani na p Diddy halafu wewe na Mwenyekiti wangu mkawa wapi siku hiyo kwenye kupigwa nao?
None sense!
Hwara wa mrema na mwitaKumkataa kuwa hawara ndio amtengue ?
Aluta continua
Wamesema wazi kuwa wanaunga mkono Reforms. Shida ni kuwa mmetanguliza suala la wao kupingana na Lissu.
Hilo la asilimia ngapi litajulikana hapo baadae. Nimesema kuwa CCM hawafanya kosa la kuhakikisha wanashinda 100% maana ndicho kilicho walazimisha kuwaingiza wakina Halima Bungeni. Kwa taratibu za Bunge kuna kamati ni lazima ziongozwe na ziwe na wajumbe wa upinzani. Wakishinda 100% kamati hizo zitakosa legitimacy.
Mimi nadhani badala ya kuwananga wakina G55 viongozi wa CDM waseme bayana watafanya nini kama hapatakuwa na Reforms. Na deadline ya uamuzi wa Reforms ni lini.
Amandla...
Siwezi toa sababu maana anaeweza Sema kwanini ni Samia mwenyewe. Nauliza tena what if Samia hajaleta hizo reforms unafikiri CDM itaweza kuzuia uchaguzi?
Unajidanganya huo upepo utapita chadema inawatu wengi imara cyo hao wabinafsi wa madarakaMwisho Huyo Lissu wenu atajikuta anabaki peke yake na hatimaye atajitengua mwenyewe!! Ha ha ha ha!! Ngoja niagize popcorn.
Shiga mwenyewe unawekwaSi unajua, ni mpenda ushoga huyo!!
Hii ndo CONFLICT OF INTEREST.Tundu Lissu, Mwenyekiti wa chama Taifa CHADEMA leo 5.4.2025 ametengua uteuzi wa mjumbe wa sekretarieti na mtalamu wa dawati la jinsia Catherine Ruge.
Catherine Ruge ni mmoja ya Kikundi cha ndani ya CHADEMA cha G55 chenye Malengo ya kukwamisha Kampeni ya no reforms no Election. Pia wanadaiwa kuhujumu au kuangusha Uongozi uliopo madaraka chini ya Tundu Lissu.
Kundi hilo linadaiwa kudhaminiwa na Freeman Mbowe aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa madhumuni ya kuonesha Umma kwamba Tunddu Lissu na Uongozi wake haukubaliki. Wengine walio kwenye hilo kundi la G55 ni John Mrema naa Mwita
Operesheni #NoReforms NoElection
inaendelea kuchanja mbuga kanda ya kusini.
John Mrema nayedaiwa kuwa Mwasisi wa kutaka kupindua Uongozi wa Tundu Lissu wa Kikundi cha G55. John Alikuwa Mkurugenzi wa Mambo ya Nje kwenye Uongozi wa Freeman Mbowe
View attachment 3294204
Mapema wiki hii Watia nia ya Ubunge mwaka 2025 na waliokuwa watia nia mwaka 2020, (G55) wakiongozwa na Vigogo Adv. John Mallya, Catherine Ruge, John Mrema na Julius Mwita wamechapisha waraka kwenda kwa Katibu Mkuu Chadema, wakieleza kuwa wadau wengi wa Demokrasia nchini hawaungi mkono Mpango wa kuzuia uchaguzi mkuu unaotaka kufanywa na Chama cha Chadema kwani hali hiyo inatafsiriwa na wadau hao kuwa ni sawa na karibu na matendo ya uasi.
Waraka huo ulioandikwa na G55 na kuwakilisha watia nia wengine zaidi ya 200 pamoja na Maafisa wa juu wa Chadema na kushuhudiwa na JamboTv, umesema kuwa Wadau wengi wanaunga mkono harakati za kupigania mabadiliko ya sheria na mfumo wa uchaguzi, wakisita kujiingiza kwenye kuunga mkono mpango wa kutaka kuzuia uchaguzi kwani pia linaenda kinyume na Katiba na sheria za nchi.
Kwa Upande wake Hilda Newton ameishukuru Mungu kwa kuwaepusha CHADEMA na Catherine kwani Alikuwa anagombea UKatibu Mkuu wa BAWACHA akashindwa.
Chini kabisa nitaambatanisha Meseji za WhatsApp za G55 Wanaodaiwa kutaka kupindua uongozi uliopo.
Catherine Ruge akiwa amevaa Mawigi. CPA Catherine Ruge alikuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA #BAWACHA kipindi cha Uongozi wa Freeman Mbowe. Huyu Ruge na Freeman Mbowe ndo Walimpa Rais Samia Tuzo ya Malidhiano huko Arusha.
Na Hilda Newton Chadema
Mungu fundi sana
Imagine leo story ingekuwa isomeka Katibu Mkuu wa Bawacha Taifa apinga Azimio la Chadema la #NoReformsNoElection.
Mungu awabariki sana Wajumbe wa Kamati Tendaji ya Bawacha Taifa ni Kama tulikuwa mbele ya muda.😂
Ukipitia orodha ya watu waliosaini petition ya kupinga #NoReformsNoElection wote ni watu ambao kwenye Uchaguzi wetu wa ndani walikuwa wanamuunga mkono Mhe. Mbowe.
Wengine ni Wajumbe wenzangu wa Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Chama Taifa wakati tunapitisha hili Azimio la #NoReformsNoElection chini ya Mwenyekiti Mbowe na wao walipiga kura ya Ndiyooo tena kwa sauti kubwa sana.
Sasa hivi baada ya Mhe. Lissu kuwa Mwenyekiti wale wale waliopitisha Azimio hili kwenye Vikao halali sasa wametoka dharani kulipinga.
Nakumbuka siku tunapitisha Azimio hili cha Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Januari 2025 kwenye Kikao Mhe. Mbowe aliuliza kuna mtu yeyote mwenye maoni au swali lolote kwenye Azimio hili wote tulinyamaza Kimya kuonyesha kwamba tunaunga mkono.
Najiuliza, haya maswali ambayo wanauliza leo kwanini hawakumuuliza Mwenyekiti Mbowe wakati anaendesha kikao kilichopitisha Azimio hili?
Au walipitisha hili Azimio kwasababu walijua Mhe. Mbowe angeshinda asingetekeleza.?
Mwisho, Kama wao kiu yao ni kushiriki Uchaguzi kwanini wasiende kujiunga na akina NCCR ambao mawazo yao na wao yanafanana ili wapewe nafasi ya kugombea huo ubunge watimize hiyo kiu yao ya kuwagombea bila Reforms?
View attachment 3294232View attachment 3294231View attachment 3294230
Wabinafsi na wanafiki hao hawakutegemea Moto wa no reforms no election kupokelewa na wananchi hivi,wamebaki kuwewesekaKwa hiyo mbowe anadhamini kundi linalopinga ajenda aliyoipitisha yeye mwenyewe? Yani anadhamini kundi linalopinga mafanikio yake? Mi mbona sielewi hapo!
Mtatangulia nyieLisu atatema bungo kabla ya uchaguzi mkuu
Mark my words