dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
Wapo wanaodai kuwa Tundu Lissu anafanya mkutano mjini tu. Hapa ni wilaya mpya ya Nyehunge jimbo la Buchosa na Lissu anatikisa kila kona. Tukutane baadaye Geita mjini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Lowassa mlisema hivyo hivyo bwashee!Mteule wa Mungu huyo akiendelea kutekeleza kazi ya Bwana.
Bwana Yupi unamaanisha mkuu, au Mabeberu?Mteule wa Mungu huyo akiendelea kutekeleza kazi ya Bwana.
Duh nyumbani kwa mhusika hapo...Wapo wanaodai kuwa Tundu Lissu anafanya mkutano mjini tu. Hapa ni wilaya mpya ya Nyehunge jimbo la Buchosa na Lissu anatikisa kila kona. Tukutane baadaye Geita mjini
View attachment 1579348
Kila mwanadamu ana nguvu za kiroho tofauti inakuja kwenye aina ya roho tuuThis man has spiritual power within...no one can stop him.
Mgombea wao hauziki!! ha ha haHabari mbaya sana kwa upande uleee