Uchaguzi 2020 Tundu Lissu atikisa ndani ya Wilaya mpya ya Nyehunge

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu atikisa ndani ya Wilaya mpya ya Nyehunge

Kwa hiyo Shigongo hashindi, Magufuli hashindi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Kwa Shigongo huku atapita, maana najua mazingira ya huku kdg, chadema inabidi kuwekeza Nguvu kdg huku next time Mambo yatabadilika.ila magufuli mhh! Labda watumie mbinu zao za gizani zile. Namaanisha pembeni ya Nyehunge wananchi wamezubaa kdg. Ndiko wabunge wa ccm wanapopataga Kura zao za ushindi. Wananchi wa huku Wana blanket usoni
 
Sikiliza mwanalumumba....Niko kikazi maeneo haya ya Buchosa. Siku magufuli anapita nilikuwepo halmashauri pale Nyehunge ambapo ndo makao makuu ya halmashauri ya Buchosa. Kazi hazikwenda toka asubuhi mpk saa nane alipoondoka na sababu watumishi wa pale walipewa maagizo wasogee barabarani sio mbali.kulikua na fuso na mabasi ya Nyehunge kadhaa yaliyowaleta wanacm Kuja Nyehunge kumsikiliza Tok vijiji vya pembeni...Kama kahunda,kanyala,bupandwa nyumbani kwa Eric shigongo nk. Watu woote wale pamoja na wale wa pale Nyehunge(centre) hawafikii robo ya hii nyomi ya Leo. Tunajua mnajifariji Ila nyoyo zinauma.ila msiwe kenge kiasi hicho kukataa ukweli Huu kua huyu bwana Mungu Yuko upande wake.achaneni na huyo shetani atawapeleka motoni khaaa.hamuelewi tu?
Sema kweli yaani hawafikii hata robo??
 
Kwa hiyo Shigongo hashindi, Magufuli hashindi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kazi ipo. Hapo hakuna wasanii kama wanaotembea na mh kwenye kampeni. Kundi kubwa kwenye mikutano ya Lisu ni la vijana walio jazwa hasira kwa kukosa ajira. Majumbani wapo wazazi wao walio uza kila kitu na madeni mengi waliokopa ili kuwasomesha hao vijana. Kuingia Magufuli ikulu ni lazima, but not such simple.
 
CCM ya Magufuli hali ni mbaya sana, Magufuli yu hoi kitandani Dodoma. Amekata moto. Chezea Lissu wewe. Wamemtoa mzee Lowassa awasemee lakini mzee wa watu bado anawaza mashamba yake alioporwa na Magufuli., ajuhi hata anacho sema.
Hayo ndo madhara ya kufungia upinzani miaka mitano. Magufuli angewaacha wafanye kazi ya siasa hizi hoja za Lissu zisingemsumbua angekuwa anayo majibu. Tatizo ni za ghafula na ni nzito kujibiwa juu juu hazifai. Issue kama Mpwa kuwa hazina mlipaji mkuu wa serikali, uwanja wa kimataifa wa Chato. Watu hawakuyajua kabla ndo maana wampa attention Lisu
 
Wapo wanaodai kuwa Tundu Lissu anafanya mkutano mjini tu. Hapa ni wilaya mpya ya Nyehunge jimbo la Buchosa na Lissu anatikisa kila kona. Tukutane baadaye Geita mjini
View attachment 1579348
Takbirr
Allah Akbar
Inn shaa Allah wakati wowote dhulma inaondoka Tanzania
Ewe Mola wetu mwingi wa rehma twakuomba umlinde huyu kiongozi wetu muadilifu
Ewe Mola wa maajabu onyesha maajabu safari hii lissu ashinde dhidi ya yule katili
Ameen yarabi ameen
 
Wapo wanaodai kuwa Tundu Lissu anafanya mkutano mjini tu. Hapa ni wilaya mpya ya Nyehunge jimbo la Buchosa na Lissu anatikisa kila kona. Tukutane baadaye Geita mjini
View attachment 1579348
Makamanda..wameshashindwa hao ..pumzi zimekata Mgombea wao PHD holder anadai Chadema wanatumia picha za zamani..mwambieni hekta 25,000 na 1.5 T atazitapika 30/10 saa kumi jioni
 
Huyu sio Lowassa pindueni matokeo muone moto
Ni ujinga wa kiwango cha juu kufikiri eti, JigilibeUm atafikia hata nusu ya Kura za Lowasa?
Na wajinga kama ninyi ndio mnaoishiaga kuwa watumwa wa watu wenye maono makubwa, wakati ukidhani kuwa kuna mtu atakuja akuletee mahitaji yako huku Ukiiwa vijiweni kupiga soga, wenzio wanaendelea kupiga hatua na kuziendea fursa

Utachelewa Tu Mkuu, Huyo mtu wako, hadhindi na ujiandae tu kulialia Kwa uvivu wako
 
Kuna watu humu wanapenda kusifia na kuanzisha uzi kuhusu Tundu Lissu lakini hawataamini baada ya Oktoba 28, Magu atamshinda vibaya sana tena hawezi kufika kura 6000,000 za Lowassa
Dua la kuku tu hilo, na madua kama hayo wanafanya wenye maono ya kuku tu!
 
CCM ya Magufuli hali ni mbaya sana, Magufuli yu hoi kitandani Dodoma. Amekata moto. Chezea Lissu wewe. Wamemtoa mzee Lowassa awasemee lakini mzee wa watu bado anawaza mashamba yake alioporwa na Magufuli., ajuhi hata anacho sema.
Huyo mzee amenifurahisha tu kumwambia jiwe hata kama atashinda haijulikani ni kwa kura ngapi?
 
Ni ujinga wa kiwango cha juu kufikiri eti, JigilibeUm atafikia hata nusu ya Kura za Lowasa?
Na wajinga kama ninyi ndio mnaoishiaga kuwa watumwa wa watu wenye maono makubwa, wakati ukidhani kuwa kuna mtu atakuja akuletee mahitaji yako huku Ukiiwa vijiweni kupiga soga, wenzio wanaendelea kupiga hatua na kuziendea fursa

Utachelewa Tu Mkuu, Huyo mtu wako, hadhindi na ujiandae tu kulialia Kwa uvivu wako
Povu la nini subiria matokeo mbona unafura umeshikwa pabaya
 
Back
Top Bottom