Uchaguzi 2020 Tundu Lissu atikisa ndani ya Wilaya mpya ya Nyehunge

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu atikisa ndani ya Wilaya mpya ya Nyehunge

Naona kila kukicha grafu ya huyu ndugu inapanda. Kuna Jambo la Mungu katika huyu mtu. Kupona tu kwenye marisasi yote yale ni mpango na kusudi la Mungu.

JESUS IS LORD.
 
Bila wasanii wala nini. Go Lissu. You are our Joshua. Tupeleke kanaani. Miaka 60 soon bado tupo Misri. Enough is Enough.
Amina mrembo, tunahitaji reforms katika mifumo kuendesha taifa letu. Tuachane ma utumwa hisani one man show.
 
Ya kutengeneza hiyo!! 😀😀😀
Sikiliza mwanalumumba....Niko kikazi maeneo haya ya Buchosa. Siku magufuli anapita nilikuwepo halmashauri pale Nyehunge ambapo ndo makao makuu ya halmashauri ya Buchosa.

Kazi hazikwenda toka asubuhi mpk saa nane alipoondoka na sababu watumishi wa pale walipewa maagizo wasogee barabarani sio mbali.kulikua na fuso na mabasi ya Nyehunge kadhaa yaliyowaleta wanacm Kuja Nyehunge kumsikiliza Tok vijiji vya pembeni.

Kama kahunda,kanyala,bupandwa nyumbani kwa Eric shigongo nk. Watu woote wale pamoja na wale wa pale Nyehunge(centre) hawafikii robo ya hii nyomi ya Leo.

Tunajua mnajifariji Ila nyoyo zinauma.ila msiwe kenge kiasi hicho kukataa ukweli Huu kua huyu bwana Mungu Yuko upande wake.achaneni na huyo shetani atawapeleka motoni khaaa.hamuelewi tu?
 
CCM ya Magufuli hali ni mbaya sana, Magufuli yu hoi kitandani Dodoma. Amekata moto. Chezea Lissu wewe. Wamemtoa mzee Lowassa awasemee lakini mzee wa watu bado anawaza mashamba yake alioporwa na Magufuli., ajuhi hata anacho sema.
Hivi kuandika habari kama hizi ndo kujifariji au, maana huu ni uongo kabisa.
Yule ni president, ameingia ofisini ataendelea wapo Majaliwa na makamu wake wanakamua bado makada.
 
Sikiliza mwanalumumba....Niko kikazi maeneo haya ya Buchosa. Siku magufuli anapita nilikuwepo halmashauri pale Nyehunge ambapo ndo makao makuu ya halmashauri ya Buchosa. Kazi hazikwenda toka asubuhi mpk saa nane alipoondoka na sababu watumishi wa pale walipewa maagizo wasogee barabarani sio mbali.kulikua na fuso na mabasi ya Nyehunge kadhaa yaliyowaleta wanacm Kuja Nyehunge kumsikiliza Tok vijiji vya pembeni...Kama kahunda,kanyala,bupandwa nyumbani kwa Eric shigongo nk. Watu woote wale pamoja na wale wa pale Nyehunge(centre) hawafikii robo ya hii nyomi ya Leo. Tunajua mnajifariji Ila nyoyo zinauma.ila msiwe kenge kiasi hicho kukataa ukweli Huu kua huyu bwana Mungu Yuko upande wake.achaneni na huyo shetani atawapeleka motoni khaaa.hamuelewi tu?
Kwa hiyo Shigongo hashindi, Magufuli hashindi?😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
 
Uwe unaelewa basi ndugu!! Nimeweka imoj za kucheka maana yake nawacheka buku saba!! Wao si ndiyo wanadai za kufoji 😀😀😀
 
Hivi alipofika chato lisu alipanda chopa? Maana sijaona picha za chato.
Swali limekaa kiukabila ukabila kiubaguzi ubaguzi kiujumbo ujimbo Kama kilivyo iko CHAMA CHAKO na kwa hilo ndio mnaenda kushindww
 
Back
Top Bottom