BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Alijidanganya udikteta wake umeiua Chadema!
Jiwe haamini macho yake😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiwe haamini macho yake😁
Huyu sio Lowassa pindueni matokeo muone motoHata Lowassa mlisema hivyo hivyo bwashee!
Ni historia yake inayo muweka pembeni. Huwezi wafanyia ubaya wa namna hiyo wenzio, wakaendelea kuku endorse.Mgombea wao hauziki!! ha ha ha
Watanzania nimewakubali aisee!! hawa ni zaidi ya Wajumbe!!
Katiba ya JMT inayotumika ktk uchaguzi huu huska unaifahamu vizuri?Katika Kampeni Kuna propaganda siku zote!
Kuna kutengeneza taswira za uongo kuonesha kuwa fulani anakubalika nk!
Mojawapo ya mbinu inayotumika Sana hapa kwetu Ni kutengeneza picha au video za kudanganya macho au chombo Cha habari kupiga picha inayopotosha!
Mbinu hii hivi Sasa inatumiwa na Vyama vyote,hususani CCM na CHADEMA!
Lakini hili la Tundu Lissu kupokelewa na kushangiliwa na maelfu ya watu kila Kona linafikirisha Sana kuelekea Oktoba 28.
Kama wanaomsikiliza huko viwanjsni na kumkubali Ni asilimia 70 basi iko kazi Mwaka huu!
Aidha Kuna kundi kubwa la watu wasioenda kwenye mikutano,kundi hili si la kudharau na hapo ndipo Siri ilipo!
Mtaani kwangu Kuna nyumba Kama kumi hivi ambazo ktk uchunguzi nilifanya hawaendi kwenye mikutano ,Ila Kati yao 70% watampigia kura Tundu Lissu,Hawa nakutana nao vijiweni ,kanisani na jumuia !
Kati yao karibu 50% Ni wastaafu!
Kwa ujumla Uchaguzi huu Ni mgumu kinyume kabisa na ilivyotarsjiwa!
Mimi naishi mji ambao inasemekana Ni ngome Imara yaCCM!
Ni lazima tuukabili ukweli kuwa Tundu Lissu kabidili upepo wa Siasa Mwaka huu ktk Hali ambayo haikutegemewa!
Bila Shaka kwa wapunzani wake Hali hii inawapa wakati mgumu mno!
Ndio maana wenye Dini zao wanasema hii Ni NGUVU YA MUNGU!
Magufuli akiona hizi picha anapoteza kabisa amani ya moyo.Upinzani ulishakufakufa tangu 2015, kilichobaki ni futuhi.
Naona umekuwa mpole sana mama D ,hapo na bado mwaka huu ni zamu yenu kuisoma namba ,lissu mbele kwa mbeleKila mwanadamu ana nguvu za kiroho tofauti inakuja kwenye aina ya roho tuu
kuna watu humu wanapenda kusifia na kuanzisha uzi kuhusu Tundu Lissu lakini hawataamini baada ya Oktoba 28, Magu atamshinda vibaya sana tena hawezi kufika kura 6000,000 za Lowassa
Ya mwaka 2015Ya kutengeneza hiyo!! 😀😀😀
Mkuu, Lissu atapita majimbo yote Tanzania hivyo hata TV na magazeti wakiendelea na ushenzi sawa tu. Na kuanzia tarehe nne jukwaa litakuwa more fire baada ya coalition rasmi.Ila Tundu Lissu ni noma...
Hakuna Television inayofuatilia ana fanya nini wala kutoa taarifa...lakini bado watu wanajitokeza kumlaki na wanapenda sana kuimba ule wimbo anaochukia baba mwenye nyumba...''raisi raisi riasi raisi raisi riasi''
Waache wamekata pumziWapo wanaodai kuwa Tundu Lissu anafanya mkutano mjini tu. Hapa ni wilaya mpya ya Nyehunge jimbo la Buchosa na Lissu anatikisa kila kona. Tukutane baadaye Geita mjini
View attachment 1579348
Ila Mkuu naomba kura yako tafadhali umpigie Lissu..
siwezi kupoteza kura yangu kwa mtu ambaye hajui ataongozaje nchi zaidi tu anawaza aingie madarakani.
Alianza na wajumbe wa kamati kuu. Alivyoona wamempitisha peke yake akdhani wameridhika kumbe waliogopa tu.Ukiwasumbua sumbua sana wajumbe wanakufyekelea mbali