Uchaguzi 2020 Tundu Lissu atikisa ndani ya Wilaya mpya ya Nyehunge

Katiba ya JMT inayotumika ktk uchaguzi huu huska unaifahamu vizuri?
 
Kuna watu humu wanapenda kusifia na kuanzisha uzi kuhusu Tundu Lissu lakini hawataamini baada ya Oktoba 28, Magu atamshinda vibaya sana tena hawezi kufika kura 6000,000 za Lowassa
 
Ila Tundu Lissu ni noma...
Hakuna Television inayofuatilia ana fanya nini wala kutoa taarifa...lakini bado watu wanajitokeza kumlaki na wanapenda sana kuimba ule wimbo anaochukia baba mwenye nyumba...''raisi raisi riasi raisi raisi riasi''
 
Mkuu, Lissu atapita majimbo yote Tanzania hivyo hata TV na magazeti wakiendelea na ushenzi sawa tu. Na kuanzia tarehe nne jukwaa litakuwa more fire baada ya coalition rasmi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…