Uchaguzi 2020 Tundu Lissu atikisa ndani ya Wilaya mpya ya Nyehunge

Ila Tundu Lissu ni noma...
Hakuna Television inayofuatilia ana fanya nini wala kutoa taarifa...lakini bado watu wanajitokeza kumlaki na wanapenda sana kuimba ule wimbo anaochukia baba mwenye nyumba...''raisi raisi riasi raisi raisi riasi''
Hahahaa Kimbunga kumba kumba
 
Wapo wanaodai kuwa Tundu Lissu anafanya mkutano mjini tu. Hapa ni wilaya mpya ya Nyehunge jimbo la Buchosa na Lissu anatikisa kila kona. Tukutane baadaye Geita mjini
View attachment 1579348
Buchosa fanyeni kweli jiwe alipokuja huko pamoja na kwamba anaomba kura lakini akawaambia atabomoa nyumba zenu kupanua barabara Bila fidia yeyote
 
CCM ya Magufuli hali ni mbaya sana, Magufuli yu hoi kitandani Dodoma. Amekata moto. Chezea Lissu wewe. Wamemtoa mzee Lowassa awasemee lakini mzee wa watu bado anawaza mashamba yake alioporwa na Magufuli., ajuhi hata anacho sema.
Duuu
 
Sababu ya maumivu. Inashauriwa maumivu yakizidi muone daktari. Sasa watu wakizidi kwa daktari waganga wa kienyeji wanasema huo ni uwongo.
Matunguri yamebuma
 
Wapo wanaodai kuwa Tundu Lissu anafanya mkutano mjini tu. Hapa ni wilaya mpya ya Nyehunge jimbo la Buchosa na Lissu anatikisa kila kona. Tukutane baadaye Geita mjini
View attachment 1579348
Ukiwa Mgeni Wa Siasa Za Tanzania Mgeni kwa Watanzania Hata yanaeza kusumbua Akili Yakoo hahaha. Lakini Ukiamini kuwa Anachokifanya Lissu hafikii hata Nusu Ya Alichokifanya Lowassa Basi Wewe unatulia Na kusubiri Unachoamini Kuwa ndio utachosikia na kushuhudia October 28
 
Hivi alipofika chato lisu alipanda chopa? Maana sijaona picha za chato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…