Kwa Shigongo huku atapita, maana najua mazingira ya huku kdg, chadema inabidi kuwekeza Nguvu kdg huku next time Mambo yatabadilika.ila magufuli mhh! Labda watumie mbinu zao za gizani zile. Namaanisha pembeni ya Nyehunge wananchi wamezubaa kdg. Ndiko wabunge wa ccm wanapopataga Kura zao za ushindi. Wananchi wa huku Wana blanket usoniKwa hiyo Shigongo hashindi, Magufuli hashindi?ππππππππππ.
Sema kweli yaani hawafikii hata robo??Sikiliza mwanalumumba....Niko kikazi maeneo haya ya Buchosa. Siku magufuli anapita nilikuwepo halmashauri pale Nyehunge ambapo ndo makao makuu ya halmashauri ya Buchosa. Kazi hazikwenda toka asubuhi mpk saa nane alipoondoka na sababu watumishi wa pale walipewa maagizo wasogee barabarani sio mbali.kulikua na fuso na mabasi ya Nyehunge kadhaa yaliyowaleta wanacm Kuja Nyehunge kumsikiliza Tok vijiji vya pembeni...Kama kahunda,kanyala,bupandwa nyumbani kwa Eric shigongo nk. Watu woote wale pamoja na wale wa pale Nyehunge(centre) hawafikii robo ya hii nyomi ya Leo. Tunajua mnajifariji Ila nyoyo zinauma.ila msiwe kenge kiasi hicho kukataa ukweli Huu kua huyu bwana Mungu Yuko upande wake.achaneni na huyo shetani atawapeleka motoni khaaa.hamuelewi tu?
Nilikuwepo siku magu anapita hapo Nyehunge...namaanisha nachosema. Sana Sana idadi ya watu na magari ya msafara wake ndo ilileta Ile kuonekana msongamano.ila idadi km idadi mhh! Magu/ccm wanatumia Nguvu sanaSema kweli yaani hawafikii hata robo??
Kazi ipo. Hapo hakuna wasanii kama wanaotembea na mh kwenye kampeni. Kundi kubwa kwenye mikutano ya Lisu ni la vijana walio jazwa hasira kwa kukosa ajira. Majumbani wapo wazazi wao walio uza kila kitu na madeni mengi waliokopa ili kuwasomesha hao vijana. Kuingia Magufuli ikulu ni lazima, but not such simple.Kwa hiyo Shigongo hashindi, Magufuli hashindi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Lim stone ni Jiwe la chokaaHatari sana,Jiwe linazidi kupondwa na chuma
Hayo ndo madhara ya kufungia upinzani miaka mitano. Magufuli angewaacha wafanye kazi ya siasa hizi hoja za Lissu zisingemsumbua angekuwa anayo majibu. Tatizo ni za ghafula na ni nzito kujibiwa juu juu hazifai. Issue kama Mpwa kuwa hazina mlipaji mkuu wa serikali, uwanja wa kimataifa wa Chato. Watu hawakuyajua kabla ndo maana wampa attention LisuCCM ya Magufuli hali ni mbaya sana, Magufuli yu hoi kitandani Dodoma. Amekata moto. Chezea Lissu wewe. Wamemtoa mzee Lowassa awasemee lakini mzee wa watu bado anawaza mashamba yake alioporwa na Magufuli., ajuhi hata anacho sema.
TakbirrWapo wanaodai kuwa Tundu Lissu anafanya mkutano mjini tu. Hapa ni wilaya mpya ya Nyehunge jimbo la Buchosa na Lissu anatikisa kila kona. Tukutane baadaye Geita mjini
View attachment 1579348
Makamanda..wameshashindwa hao ..pumzi zimekata Mgombea wao PHD holder anadai Chadema wanatumia picha za zamani..mwambieni hekta 25,000 na 1.5 T atazitapika 30/10 saa kumi jioniWapo wanaodai kuwa Tundu Lissu anafanya mkutano mjini tu. Hapa ni wilaya mpya ya Nyehunge jimbo la Buchosa na Lissu anatikisa kila kona. Tukutane baadaye Geita mjini
View attachment 1579348
Muleba - Biharamulo -KatoroHivi alipofika chato lisu alipanda chopa? Maana sijaona picha za chato.
Labda kwa msaada wa tume lakini sio kura za wananchi, Magufuli anachukiwa mno hata na wanaccm.Kuna watu humu wanapenda kusifia na kuanzisha uzi kuhusu Tundu Lissu lakini hawataamini baada ya Oktoba 28, Magu atamshinda vibaya sana tena hawezi kufika kura 6000,000 za Lowassa
Ni ujinga wa kiwango cha juu kufikiri eti, JigilibeUm atafikia hata nusu ya Kura za Lowasa?Huyu sio Lowassa pindueni matokeo muone moto
Wapo wanaodai kuwa Tundu Lissu anafanya mkutano mjini tu. Hapa ni wilaya mpya ya Nyehunge jimbo la Buchosa na Lissu anatikisa kila kona. Tukutane baadaye Geita mjini
View attachment 1579348
Kuna watu watakufa kwa ugonjwa wa Figo mwaka huuKuna watu wananunaaaaa π π
Dua la kuku tu hilo, na madua kama hayo wanafanya wenye maono ya kuku tu!Kuna watu humu wanapenda kusifia na kuanzisha uzi kuhusu Tundu Lissu lakini hawataamini baada ya Oktoba 28, Magu atamshinda vibaya sana tena hawezi kufika kura 6000,000 za Lowassa
kaza babaa wataelewa tu!Wapo wanaodai kuwa Tundu Lissu anafanya mkutano mjini tu. Hapa ni wilaya mpya ya Nyehunge jimbo la Buchosa na Lissu anatikisa kila kona. Tukutane baadaye Geita mjini
View attachment 1579348
Unaota mchana kweupeee!!Bila wasanii wala nini. Go Lissu. You are our Joshua. Tupeleke kanaani. Miaka 60 soon bado tupo Misri. Enough is Enough.
Huyo mzee amenifurahisha tu kumwambia jiwe hata kama atashinda haijulikani ni kwa kura ngapi?CCM ya Magufuli hali ni mbaya sana, Magufuli yu hoi kitandani Dodoma. Amekata moto. Chezea Lissu wewe. Wamemtoa mzee Lowassa awasemee lakini mzee wa watu bado anawaza mashamba yake alioporwa na Magufuli., ajuhi hata anacho sema.
Povu la nini subiria matokeo mbona unafura umeshikwa pabayaNi ujinga wa kiwango cha juu kufikiri eti, JigilibeUm atafikia hata nusu ya Kura za Lowasa?
Na wajinga kama ninyi ndio mnaoishiaga kuwa watumwa wa watu wenye maono makubwa, wakati ukidhani kuwa kuna mtu atakuja akuletee mahitaji yako huku Ukiiwa vijiweni kupiga soga, wenzio wanaendelea kupiga hatua na kuziendea fursa
Utachelewa Tu Mkuu, Huyo mtu wako, hadhindi na ujiandae tu kulialia Kwa uvivu wako