PreGE2025 Tundu Lissu atinga Mahakama ya Kisutu kibabe akiwa na begi la vitabu, asema wameyataka wenyewe hivyo watayapata

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mahakama yetu ina kitu
 
wameyaganyaga huku anasota korokoroni?🤣
Hata wengine walikua wanafanya hivi kufunga watu ovyo kwa ajili ya madaraka, kuua watu, kutoa kafara, ila mwisho wa siku wengine waliishia futi sita chini ya ardhi, wengine ni wakimbizi wanatafuta asylum, wengine wako kwenye mahakama za kimataifa wnashtakiwa
 
Kwanini wasiruhusu kesi za namna hii ziwe zinarekodiwa na kuwekwa mtandaoni
 
Mwenyezi Mungu azidi kukutunza na kukupigania Lissu!
 
Wanaamini kwa kufanya hivi, watawanyamazisha wote na hatimaye kujifanyia mambo yao bila bughudhi.
 
😂😂😂😂 ila Lissu ni fyatu🤣🤣🤣
 
Aisee abatishia nyau hadi mahakama .Lisu anasema kama Tanzania imemrudusha jaji Mutunga Airport watakona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…