Uchaguzi 2020 Tundu Lissu atua Katoro - Geita kwa kishindo

 


"Polepole" ataelewa polepole tu.🤣
 
Mimi swali langu la msingi ni hili:-

• Wapinzani watahakikishaje kuwa kuna Tume huru ya uchaguzi?

Utamzuiaje CCM kuiba kura?
Wanaoiba si CCM kama chama, ni viongozi wanaofahamika kwa majina na sura. Kila mhusika atawajibika kama yeye na hujuma aliofanya kuharibu uchaguzi. Kama ni msimamizi, kama ni polisi, kama mwana CCM...wote watawajibika kama wao na si vyombo wanavyoviwakilisha.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hizi ndo nyomi halali No wanafunzi no malori no wasanii
ccm wameumia sana na hili nyomi hawakutegemea
 
Asilimia 99 ya uliyopost hapa ni vurugu tu,

Chadema Wana alergy ya amani,
 
Mbona amekimbia chato?
 
Aisee kura zitapigwa then zitahesabiwa. Pale kwenye majumuisho ndio huwa wanaingiza za kwao. Sisi tutakuwa nazo za kwetu. Aisee tukishinda watatutangaza tu. Wapende wasipende.
Tusubiri tuone, si mara moja katika chaguzi kumekuwa na malalamiko makubwa ya kuibiwa kura au kutokuwepo kwa usimamizi wa haki.
 
That was fake news acheni kujidanganya, ukweli upo field mzee. Nadhani unaweza ona nguvu aliyonayo ingawa huwezi kiri mdomoni.
Iringa leo vipi? Mshauri ni Lissu uchaguzi ndio umeshaisha hivyo. Ajiandale kurudi kumliwaza yuke senator wa UsA rais wa jumuiya ya machoko duniani.
 
EU ya Lumumba chini ya pole pole

Hapana ya mabalozi wa nchi 15 za UE. Hapo sijamtaja wa Italy na Northern Ireland, kumbuka hilo, ndio ni muhimu, Lissu are you aware of this?!!! Umelikoroga usipo linywa utakoga tu, that much I'm sure of it.
 
Iringa leo vipi? Mshauri ni Lissu uchaguzi ndio umeshaisha hivyo. Ajiandale kurudi kumliwaza yuke senator wa UsA rais wa jumuiya ya machoko duniani.
CCM miaka yote mnajazaga viwanja Iringa tokea 2010 ila mmeambulia nini huko? Hapo tunajua mmejaza watu from all corners na wengi wanakuja kuangalia wasanii na promo huwa kubwa kwa hilo nawapongeza but wachache huja kusikiliza sera.

Ila imagine Lissu alitua hapo no Mbowe no Mdee no one else ila yeye tu na kina Bananga afu kajaza nyomi kila kituo mkoani hapo ssa jiulize angekua na timu ya promo pana ikiwa na hamasa ya wasanii kma Kiba na Mondi upepo ungekuwaje?

Kabla hujapima ukubwa wa mkutano linganisha investment ya CCM na Lissu kwenye kampeni. Then piga hesabu nani ka break even kuliko mwenzie?
 
Sikutegemea kama Lissu atapata hilo nyomi Geita nyumbani kabisa😁😁!Lissu atawatoa roho kampeni hizi!

Hivyo hivyo usifanye makosa tena kutotegemea kuwa Lissu atapata kura chini ya 5% hapo 28 okt 2020. Mwambieni ukweli Lissu ajiandae kisokologia. Na washauri yule rais seneta kule marikani aje angalau hapo jirani Kenya siku ile ya matokeo kutangazwa, itasaidia kupunguza majanga huko cdm.
 
Hapana ya mabalozi wa nchi 15 za UE. Hapo sijamtaja wa Italy na Northern Ireland, kumbuka hilo, ndio ni muhimu, Lissu are you aware of this?!!! Umelikoroga usipo linywa utakoga tu, that much I'm sure of it.
Toka vyama vingi hakuna chaguzi CCM kamshinda Maalim kwa gap ya 70% eti 2020 ndio apate 25%, are we serious?

Funny enough hao hao wakitoa takwimu kuwa kuna ukiukwaji wa haki za binadamu mnatoka povu
 

Si safari hii mkuu wangu, si safari hii na rudia. Lissu nyomi yake ni ya tuwanja twa mtaani tu open spaces. Hapo Iringa walio nje na njiani kuekejea sehemu ya tukio ni mara 2 ya walio ndani ya uwanja. Hapo unapata ujumbe gani bwashee?
 
Kura yangu asubuhi na mapema kabisa kwa Lissu!Ukiteseka ni juu yako!
 
karibu katoro mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…