Inasikitisha na kutia aibu sana!
Msimamo wa Tundu Lissu na Chadema ni kutowatambua wabunge 19 wa kuteuliwa kutoka ndani ya chama hicho.
Msimamo huo huo pia, ni kutokumtambua mbunge halali wa chama hicho Aidan Joseph Kenan tokea tu walipoapishwa, na chama chao kiliapa kutochukua kabisa ruzuku itokanayo na ubunge wao hewa!
Mh Tundu Lissu ukiulizwa swali leo katika mahojiano ya kipindi cha Medan za siasa katika chanel ya startv kuhusu suala la chama kupokea ruzuku kwa wabunge ambao chama kimekuwa hakiwatambui toka kuapishwa kwao!
Tundu Lissu ni kati ya viongozi wa Chadema ambao wamekuwa na msimamo huo tangu tu uchaguzi wa 2020 ulipokwisha,
Mh Lissu amepata shida na kigugumizi kikubwa mpaka anapata la kuudanganya umma kama siyo kujidhalilisha na kuondoa kabisa hamasa ya yeye kuendelea na kipindi hicho.
Mh. Lissu anasema, Chadema kinapokea luzuku kwa sababu tu ya sheria za tume na siyo chama kutambua wabunge! 🤣🤣
Ningekuwa Mimi ningemwongezea swali lingine tena. Yaani chadema hakitambui kwamba kinawabunge ambao wako Bungeni, halafu kitambue uwepo wa ruzuku? Chama hiki kimekuwa Chuma ulete?
Haki ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais wetu anajua kuwadhalilisha hawa watu wasiojitambua!
Ukiwa na msimamo, tafadhari usionyeshe unyonge na kuyumba kiwepesi!
Tunahitaji kuwa na Magufuli mwingine mwenye misimamo isiyoyumba hata mbele ya kifo