Tundu Lissu awa bubu, ashindwa kueleza msimamo wake

Tundu Lissu awa bubu, ashindwa kueleza msimamo wake

Acha basi ukigeugeu Mkuu!
Kuna vyama vingapi vilishiriki uchaguzi havina luzuku kwa sababu havina mbunge hata mmoja?
unaelewa ruzuku huwa inatolewaje wewe nguruwe au unaswagwa tu kama ng'ombe kukoment.
 
Masikini kathread haka kamedhibitiwa kikatili kama kaharifu.
Yaani Kisamvu cha Kopo, mwenyewe amekuja na spidi akakutana na watu wenye hoja za kikatili wakaishia kumla kisamvu.
 
unaelewa ruzuku huwa inatolewaje wewe nguruwe au unaswagwa tu kama ng'ombe kukoment.
Comment yako hii haiondoi uhalisia wa kile Chadema na Lissu walikuwa wanakisimamia kabla ya kuanza kula matapishi yao sasa
 
Masikini kathread haka kamedhibitiwa kikatili kama kaharifu.
Yaani Kisamvu cha Kopo, mwenyewe amekuja na spidi akakutana na watu wenye hoja za kikatili wakaishia kumla kisamvu.
Comment yako hii haiondoi uhalisia wa kile Chadema na Lissu walikuwa wanakisimamia kabla ya kuanza kula matapishi yao sasa
 
Nguruwe karudie kusikiliza mahojiano ili uelewe kwanin sasa wamechukua ruzuku usijitie wazimu wakati jibu limetolewa, sukuma gang jiandaen 2025 tunawafuta kabisa.
Mjinga kazi yake matusi hana hoja! Na wewe ni mmoja wao


Kwa nini wanachukua Ruzuku leo na siyo awali?
 
Wewe mtoa post , kwa hiyo huwa hutumii hata dakika 1 kisoma katiba,pia ujuwe kuna mardhiano ambayo ni kusamehe na kuanza ukurasa mpya

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Inasikitisha na kutia aibu sana!

Msimamo wa Tundu Lissu na Chadema ni kutowatambua wabunge 19 wa kuteuliwa kutoka ndani ya chama hicho.

Msimamo huo huo pia, ni kutokumtambua mbunge halali wa chama hicho Aidan Joseph Kenan tokea tu walipoapishwa, na chama chao kiliapa kutochukua kabisa ruzuku itokanayo na ubunge wao hewa!

Mh Tundu Lissu ukiulizwa swali leo katika mahojiano ya kipindi cha Medan za siasa katika chanel ya startv kuhusu suala la chama kupokea ruzuku kwa wabunge ambao chama kimekuwa hakiwatambui toka kuapishwa kwao!

Tundu Lissu ni kati ya viongozi wa Chadema ambao wamekuwa na msimamo huo tangu tu uchaguzi wa 2020 ulipokwisha,

Mh Lissu amepata shida na kigugumizi kikubwa mpaka anapata la kuudanganya umma kama siyo kujidhalilisha na kuondoa kabisa hamasa ya yeye kuendelea na kipindi hicho.

Mh. Lissu anasema, Chadema kinapokea luzuku kwa sababu tu ya sheria za tume na siyo chama kutambua wabunge! 🤣🤣

Ningekuwa Mimi ningemwongezea swali lingine tena. Yaani chadema hakitambui kwamba kinawabunge ambao wako Bungeni, halafu kitambue uwepo wa ruzuku? Chama hiki kimekuwa Chuma ulete?

Haki ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais wetu anajua kuwadhalilisha hawa watu wasiojitambua!

Ukiwa na msimamo, tafadhari usionyeshe unyonge na kuyumba kiwepesi!

Tunahitaji kuwa na Magufuli mwingine mwenye misimamo isiyoyumba hata mbele ya kifo
Analeta habari za Nguruwe haramu ila supu yake halali.

Ina maana Chadema sheria hiyo ya tume wameijua leo na siyo toka 2020 walipotutangazia kuwa hawawezi kuchukua ruzuku kwa uchaguzi haramu?

Jamaa ni vinyonga ajabu.
 
Ukiwafuatilia baadhi ya wachangiaji, haswa wale wanaotetea misimamo ya CHADEMA Utagundua kuwa na wao hawaelewi,yaani wana ukasuku fulan katika suala la ruzuku-Mara 'tuna mbunge' mara 'sababu za , ushiriki wa uchaguzi' mara 'sheria inaruhusu, inasema hivyo'- wapo wapo tu kama Lissu...

Kweli bwana Kisamv, watwangie tu wachague, mbaazi, njegere au kunde
😁😁😌
 
Ila kwa mujibu wa maelezo inaonesha kama unahoji ubunge wabunge wale 19 na ruzuku kitu ambacho ndio umeeleweshwa.
Elewa kama fedha ya ruzuku haihusiani na wabunge kwahiyo LIHARIRI ANDIKO LAKO
Mfano, bunge lina viti 200, chama A kikawa na wabunge 100 pia kikawa kimeshinda uRais, chama B kikawa na wabunge 100 ila hakikusimamisha mgombea urais,; je inamaanisha kuwa hiki chama B hakitapata ruzuku kabisa sababu hakina kura za urais?
 
Mjinga kazi yake matusi hana hoja! Na wewe ni mmoja wao


Kwa nini wanachukua Ruzuku leo na siyo awali?
Kuchukua ruzuku leo ni matokeo ya maridhiano, kongine ukumbuke kuwa, ruzuku hiyo wanawekewa hawajaenda kuidai.
 
Nimeamini, wanasiasa hawawezi kumpendeza Mungu! Si wakweli hata kidogo
Huo ndio ukwel!! Mara msemakweli ni mpenz wa MUNGU, mara makanisani na msikitin kila cku!! NB; Hakuna mwanasiasa wala kiongoz wa kisiasa mweny hofu ya MUNGU hakuna!!!!
 
Na huo ndio ukweli wenyewe,,,hakuna upinzani haswa tz ni matawi ya chama tawala wengi ni njaa kali wanajitafutia namna ya kushiba kwa kujifanya wapinzani,,wakati hata ruzuku ya kuendesha vyama vyao inayotoka serikalini inahidhinishwa na chama tawala,,,watakuhadaa mwisho wa siku wao wanakutana na kugonga cheers na kulipana marupurupu,,,Jitafute/jipiganie mwenyewe ukae sawa ule maisha yako na familia yako,,,hakuna wa kukupigania maisha yako,,wao wenyewe wanajipigania kwa ajili ya maisha yao na familia zao!!!na kaa ukijua upinzani wa kweli si lelemama kama unavyofikiri na kudhani pia!!!
Duh.......au basi
 
Mfano, bunge lina viti 200, chama A kikawa na wabunge 100 pia kikawa kimeshinda uRais, chama B kikawa na wabunge 100 ila hakikusimamisha mgombea urais,; je inamaanisha kuwa hiki chama B hakitapata ruzuku kabisa sababu hakina kura za urais?
Hapa wapo wanaozunguzia uhalisia na hisia. Hizo ni hisia
 
Nikukumbushe Chadema haipokei Ruzuku kwa Ajili ya Hao Wabunge Chadema inapokea Ruzuku kwa Kushiriki Uchaguzi 2020 na kupata kura zaidi ya ASILIMIA 5 someni Katiba
saws ila chadema haiutambui huo uchaguzi ndio maana walituambia wamekataa kupokea ruzuku , kumbe baada ya maridhiano uchaguzi wameutambua na tume ni huru na kuwekea alama wamevuta mpunga
 
Back
Top Bottom