christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Haaahaa mkuu umeamua kumkaba jamaa kila kona.Bado unarudi kule kule. Wao walisema uchaguzi hawautambui. Kwa hiyo unapozungumzia uchaguzi wa 2020 chadema kwao ni NIL.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaahaa mkuu umeamua kumkaba jamaa kila kona.Bado unarudi kule kule. Wao walisema uchaguzi hawautambui. Kwa hiyo unapozungumzia uchaguzi wa 2020 chadema kwao ni NIL.
Huna lolote, wewe ni kenge tu!Achana na Wagonga ulimbo,,,hakuna chama cha upinzani kwa Tz vyote ni matawi ya chama tawala,,kutokana na mifumo iliywekwa,,,, iliyopo na inayoendelea kuwekwa na chama tawala!!
Mwafaka na mustakabali wa siasa zetu ulikuwa haueleweki. Kwasasa mama kaazimia kuweka mambo sawa,ni upumbavu kutochukua ruzuku.Walipoapa kutokuchukua luzuku yao hiyo sheria haikuwepo?
Kutokana na kura alizopata mgombea urais pia.kutokana na idadi ya wabunge ndani ya bunge
Sasa mazingira ya siasa zetu tangu mwenda zake aende zake mebadilika. Ni ujuha kuendelea na siasa na misimamo ya nyakati za mwenda wakati huu kuna miafakaBado unarudi kule kule. Wao walisema uchaguzi hawautambui. Kwa hiyo unapozungumzia uchaguzi wa 2020 chadema kwao ni NIL.
Na huo ndio ukweli wenyewe,,,hakuna upinzani haswa tz ni matawi ya chama tawala wengi ni njaa kali wanajitafutia namna ya kushiba kwa kujifanya wapinzani,,wakati hata ruzuku ya kuendesha vyama vyao inayotoka serikalini inahidhinishwa na chama tawala,,,watakuhadaa mwisho wa siku wao wanakutana na kugonga cheers na kulipana marupurupu,,,Jitafute/jipiganie mwenyewe ukae sawa ule maisha yako na familia yako,,,hakuna wa kukupigania maisha yako,,wao wenyewe wanajipigania kwa ajili ya maisha yao na familia zao!!!na kaa ukijua upinzani wa kweli si lelemama kama unavyofikiri na kudhani pia!!!Huna lolote, wewe ni kenge tu!
Ila kwa mujibu wa maelezo inaonesha kama unahoji ubunge wabunge wale 19 na ruzuku kitu ambacho ndio umeeleweshwa.Hiyo hoja kwa sheria yake hakuna anayeipinga! Shida inaanzia tu pale chadema walipotangaza hadharani kuwa! Hawatachukua Ruzuku yoyote na kwamba hata huo uchaguzi hawautambui lakini pia, ni miaka kadhaa ilipita kweli bila ya wao kuchukua Ruzuku, kwa nini sasa?
huna uelewa ndio maana wafuas wa ccm huwa mnaitwa NGURUWE kwa taarifa yako hao makahaba wenu hata wakiondolewa leo ruzuku ya chadema iko palepale ila kwa kuwa ccm inafuga mashoga akili ilishawatoka mmebaki na jambo moja tu.Inasikitisha na kutia aibu sana!
Msimamo wa Tundu Lissu na Chadema ni kutowatambua wabunge 19 wa kuteuliwa kutoka ndani ya chama hicho.
Msimamo huo huo pia, ni kutokumtambua mbunge halali wa chama hicho Aidan Joseph Kenan tokea tu walipoapishwa, na chama chao kiliapa kutochukua kabisa ruzuku itokanayo na ubunge wao hewa!
Mh Tundu Lissu ukiulizwa swali leo katika mahojiano ya kipindi cha Medan za siasa katika chanel ya startv kuhusu suala la chama kupokea ruzuku kwa wabunge ambao chama kimekuwa hakiwatambui toka kuapishwa kwao!
Tundu Lissu ni kati ya viongozi wa Chadema ambao wamekuwa na msimamo huo tangu tu uchaguzi wa 2020 ulipokwisha,
Mh Lissu amepata shida na kigugumizi kikubwa mpaka anapata la kuudanganya umma kama siyo kujidhalilisha na kuondoa kabisa hamasa ya yeye kuendelea na kipindi hicho.
Mh. Lissu anasema, Chadema kinapokea luzuku kwa sababu tu ya sheria za tume na siyo chama kutambua wabunge! 🤣🤣
Ningekuwa Mimi ningemwongezea swali lingine tena. Yaani chadema hakitambui kwamba kinawabunge ambao wako Bungeni, halafu kitambue uwepo wa ruzuku? Chama hiki kimekuwa Chuma ulete?
Haki ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais wetu anajua kuwadhalilisha hawa watu wasiojitambua!
Ukiwa na msimamo, tafadhari usionyeshe unyonge na kuyumba kiwepesi!
Tunahitaji kuwa na Magufuli mwingine mwenye misimamo isiyoyumba hata mbele ya kifo
mabwabwa ya ccm kufikia 2025 msipojirekebisha mtatoweka kabisa.Tulishawazoea hao mapoyoyo wa Chadema!
mkuu ndio maana nimekoment hapo juu kuwa ccm inafuga NGURUWE matokeo yake imekuwa na mzigo usio na msaada wowote akiwemo mleta thread, hawa nguruwe wamebaki kufugwa kwenye makorido ya lumumba na hawataki kujielimisha matokea yake ni kuleta thread za kipumbavu na kufikir wote humu ni kama mbumbumbu.Soma katiba na soma sheria ya vyama vingi vya siasa utatambua. CDM kupata ruzuku ni haki yao.
waliapa wapi au kuapa hujui wewe NGURUWE.Walipoapa kutokuchukua luzuku yao hiyo sheria haikuwepo?
Tulipatana tuwe na siasa za kistarab, mbona wewe unashindwa kuwa mstarabu?Tulishawazoea hao mapoyoyo wa Chadema!
comment of lunatic who does not know anything on political space but motivated by lunacy.Achana na Wagonga ulimbo,,,hakuna chama cha upinzani kwa Tz vyote ni matawi ya chama tawala,,kutokana na mifumo iliywekwa,,,, iliyopo na inayoendelea kuwekwa na chama tawala!!
mtajifarij sana sukuma gang ila 2025 tutawakomesha na tunaenda kuwafuta kabisa kwenye uso wa dunia mlizoea kupita bila kupungwa mtajua hamjui.Midomo imezibwa. View attachment 2557093
Usitusemee, mhitaji weweInasikitisha na kutia aibu sana!
Msimamo wa Tundu Lissu na Chadema ni kutowatambua wabunge 19 wa kuteuliwa kutoka ndani ya chama hicho.
Msimamo huo huo pia, ni kutokumtambua mbunge halali wa chama hicho Aidan Joseph Kenan tokea tu walipoapishwa, na chama chao kiliapa kutochukua kabisa ruzuku itokanayo na ubunge wao hewa!
Mh Tundu Lissu ukiulizwa swali leo katika mahojiano ya kipindi cha Medan za siasa katika chanel ya startv kuhusu suala la chama kupokea ruzuku kwa wabunge ambao chama kimekuwa hakiwatambui toka kuapishwa kwao!
Tundu Lissu ni kati ya viongozi wa Chadema ambao wamekuwa na msimamo huo tangu tu uchaguzi wa 2020 ulipokwisha,
Mh Lissu amepata shida na kigugumizi kikubwa mpaka anapata la kuudanganya umma kama siyo kujidhalilisha na kuondoa kabisa hamasa ya yeye kuendelea na kipindi hicho.
Mh. Lissu anasema, Chadema kinapokea luzuku kwa sababu tu ya sheria za tume na siyo chama kutambua wabunge! [emoji1787][emoji1787]
Ningekuwa Mimi ningemwongezea swali lingine tena. Yaani chadema hakitambui kwamba kinawabunge ambao wako Bungeni, halafu kitambue uwepo wa ruzuku? Chama hiki kimekuwa Chuma ulete?
Haki ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais wetu anajua kuwadhalilisha hawa watu wasiojitambua!
Ukiwa na msimamo, tafadhari usionyeshe unyonge na kuyumba kiwepesi!
Tunahitaji kuwa na Magufuli mwingine mwenye misimamo isiyoyumba hata mbele ya kifo
huna uelewa wewe NGURUWE tafuta elimu ili ujue ruzuku inatolewaje vinginevyo utazeekea kwenye makorido ya lumumba na ujinga wako.Sawa ila walikataa na sababu yao ya msingi ni kwamba hawakutambua uchaguzi,hawatambui wabunge wao 19 walio bungeni,na hawamtambui mbunge wao na kila kitu,waka susa wakakimbia nchi ila wamerudi mlango wa nyuma wamechukua Ruzuku tena kubwa kuliko vyama vingine vya upinzani mana wao wana wabunge wengi huko bungeni.
Nguruwe karudie kusikiliza mahojiano ili uelewe kwanin sasa wamechukua ruzuku usijitie wazimu wakati jibu limetolewa, sukuma gang jiandaen 2025 tunawafuta kabisa.Hiyo hoja kwa sheria yake hakuna anayeipinga! Shida inaanzia tu pale chadema walipotangaza hadharani kuwa! Hawatachukua Ruzuku yoyote na kwamba hata huo uchaguzi hawautambui lakini pia, ni miaka kadhaa ilipita kweli bila ya wao kuchukua Ruzuku, kwa nini sasa?
Ni dhahiri hawana umakini wowote wanabwanwaja mno na kusahau mambo mengineMwenyekiti anafanya Mpaka kina lissu waonekane sio watu Makini