The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Kwan hujui tunamchukia muiba kura n'a muuaji??Haya siyo matusi mapya, unajingine jipya?
Kujenga hoja huwezi badala yake unajianika ulivyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan hujui tunamchukia muiba kura n'a muuaji??Haya siyo matusi mapya, unajingine jipya?
Kujenga hoja huwezi badala yake unajianika ulivyo!
Soma katiba acha kujizima data ndg, usipofikisha 5% ya matokeo ya Urais huwezi pata ruzuku...hv mnaendaga shuleni kufanya nn?Acha basi ukigeugeu Mkuu!
Kuna vyama vingapi vilishiriki uchaguzi havina luzuku kwa sababu havina mbunge hata mmoja?
Aisee!Nguruwe ni HARAMU,LKN SUPU YAKE NI HARARI, inahitajika uwe mpumbavu wa kiwango vha degree kuamini hayo,
Uchaguzi wa 2020 ambao hawautambui? Au uchaguzi upi?!Nikukumbushe Chadema haipokei Ruzuku kwa Ajili ya Hao Wabunge Chadema inapokea Ruzuku kwa Kushiriki Uchaguzi 2020 na kupata kura zaidi ya ASILIMIA 5 someni Katiba
Wanaitetea mno hiyo Ruzuku na wanaitolea mafungu ya sheria wakati juzujuzi tu walikuwa kinyume mno na hili jambo la Ruzuku, watu bhana!Kinachonichekesha ni kwamba bado kuna mapoyoyo humu yanakaza fuvu kushabikia chadema🤣 wote wajinga kuanzia chama hadi wafuasi
Si ndo wajinga walioijaza nchi hao. Hadi kichefuchefu yaaniWanaitetea mno hiyo Ruzuku na wanaitolea mafungu ya sheria wakati juzujuzi tu walikuwa kinyume mno na hili jambo la Ruzuku, watu bhana!
Acha kidanganya umma uchaguzi upi mnaouita uchafuzi kumbe nanyi ni miongoni mwao hahahaha chawa. Wa ccm Sasa mmekamatwa haswaaaNikukumbushe Chadema haipokei Ruzuku kwa Ajili ya Hao Wabunge Chadema inapokea Ruzuku kwa Kushiriki Uchaguzi 2020 na kupata kura zaidi ya ASILIMIA 5 someni Katiba
Inasikitisha na kutia aibu sana!
Msimamo wa Tundu Lissu na Chadema ni kutowatambua wabunge 19 wa kuteuliwa kutoka ndani ya chama hicho.
Msimamo huo huo pia, ni kutokumtambua mbunge halali wa chama hicho Aidan Joseph Kenan tokea tu walipoapishwa, na chama chao kiliapa kutochukua kabisa ruzuku itokanayo na ubunge wao hewa!
Mh Tundu Lissu ukiulizwa swali leo katika mahojiano ya kipindi cha Medan za siasa katika chanel ya startv kuhusu suala la chama kupokea ruzuku kwa wabunge ambao chama kimekuwa hakiwatambui toka kuapishwa kwao!
Tundu Lissu ni kati ya viongozi wa Chadema ambao wamekuwa na msimamo huo tangu tu uchaguzi wa 2020 ulipokwisha,
Mh Lissu amepata shida na kigugumizi kikubwa mpaka anapata la kuudanganya umma kama siyo kujidhalilisha na kuondoa kabisa hamasa ya yeye kuendelea na kipindi hicho.
Mh. Lissu anasema, Chadema kinapokea luzuku kwa sababu tu ya sheria za tume na siyo chama kutambua wabunge! 🤣🤣
Ningekuwa Mimi ningemwongezea swali lingine tena. Yaani chadema hakitambui kwamba kinawabunge ambao wako Bungeni, halafu kitambue uwepo wa ruzuku? Chama hiki kimekuwa Chuma ulete?
Haki ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais wetu anajua kuwadhalilisha hawa watu wasiojitambua!
Ukiwa na msimamo, tafadhari usionyeshe unyonge na kuyumba kiwepesi!
Tunahitaji kuwa na Magufuli mwingine mwenye misimamo isiyoyumba hata mbele ya kifo
Ila kuna watu ukiwamo mleta mada CDM kupata pesa kunawauma sana.Inasikitisha na kutia aibu sana!

Bro waswahili walisema "penye uzima penyeza rupia".
Wanawakataa mdomoni, lkn moyoni mwao wanawashukuru sana hao wamama 19. Maana bila hao cdm wangekuwa dhofu bin khali.
Wewe Ndiyo Mbulula Kabisa .Acha basi ukigeugeu Mkuu!
Kuna vyama vingapi vilishiriki uchaguzi havina luzuku kwa sababu havina mbunge hata mmoja?
Swala lenyewe Lipo Mahakamani .acha Mahakama Ifanye Kazi YakeKwa sasa sioni u muhimu wowote wa kuwatambua au kutowatambua wabunge wale maana baada ya kukubali kufanya maridhiano na Mkuu wa Nchi ambaye ndiye Mkuu wa Chama tawala hapo ujue Flexibility lazima iwepo kutoka pande zote zilizomo kwenye hayo mazungumzo ya maridhiano !! Kwenye maridhiano huwa hakuna kushupaza shingo !! Kumbuka Siasa sio uadui !! Tundu lisu na Chadema yake wapo sahihi katika hili !
Mburula ni yule aliyeshindwa kujibu swali la kwa nini chadema walisusia Ruzuku na sasa wanapokea!Wewe Ndiyo Mbulula Kabisa .
Kura Za Urais Ilizopata Chadema Zinatosha Kuwapa Ruzuku Tena Nyingi Tu.
Kama Hujui Unatakiwa Kutulia Ueleweshwe.